WANANCHI WA BARIADI MMEKOPWA PAMBA NA HAMJALIPWA PESA ZENU HADI LEO HII SIO HAKI.NIPENI KURA OKTOBA 28, NIWE RAIS NITATUE TATIZO HILI "PRO.LIPUMBA"
BARIADI- SIMIYU
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Lipumba amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha wakulima...
Zipo ishara za wazi sana kuwa Rais Magufuli anaenda kushughulikiwa vilivyo na jumuiya za kimataifa na litakalotokea mpaka watanzania wenyewe watashangaa.
Nimemsoma Dr. Christopher pahala (Huyu ni mbobezi wa mambo ya uchaguzi Afrika) anasema wazi kuwa ipo hofu Tanzania kuwa kama Zimbabwe baada...
Jana tarehe 01 Oktoba ilikuwa ni Siku ya Wazee duniani. Tumemsikia Magufuli kwenye Kampeni akiwalaghai Wazee na watanzania kwa ujumla wao ati Serikali yake ya CCM inawajali Wazee na inawalinda kwa nguvu zote!
Huo ni urongo na Unafiki mkubwa na pengine ni lugha tu ya kuombea kura!
Kuna matatizo...
Trump na mke wake Melanie wakutwa na virus vya Corona.
Rais wa Marekani Donald Trump na mkewe wakutwa na #CoronaVirus, amesema ataanza kukaa karantini haraka iwezekanavyo
Rais Trump alipima baada ya msaidizi wake, Hope Hicks KUkutwa na maambukizi na kufanya maambukizi ya #COVID19 kuingia...
Jamani ni kweli tunafata nyayo za Ethiopia? Nauliza maana ni kama tunaanza kufanana ndege, mareli, umeme miradi, mbona kama tunafanana nao tu halafu wao pia hawatoagi ajira na serikali inadhibiti kila kitu.
Halafu wao wanaangalia maendeleo ya vitu kama sisi tu tumeanza kufanana nao.
Naogopa...
Kama binadamu Mkapa alikuwa na udhaifu wa kuwa mbabe au ujivuni kiasi flani. Lakini kama kuna kiongozi ambaye ingekuwa mfumo wetu upo vizuri aliyekuwa na akili alikuwa Mkapa.
Alijiamini kupita kiasi.angekuwa amejishusha kiasi flani alikuwa ana uwezo wa kuifikisha nchi mbali sana. Alikuwa na...
Habari Wana wa JF.
Niende madani.
Tangu Rais Magufuli aingie madarakani mwaka 2015, kumekuwa na mabadiliko katika utumishi wa umma. Kuna mengi ila nizungumzie haya machache.
1. Mosi, Watumishi wa umma wengi wamefungua maduka madogo ya rejareja ili kujikimu kimaisha.
2. Pili, Watumishi wengi...
Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni mkoa wa Songwe na sasa yuko Tunduma.
MAGUFULI: Ninafamu kuna kero moja kwa kinamama inaitwa kampeni ya mama kamandoo ambapo wamama wanapochelewa kwenda kliniki wanatozwa 50,000. Naifuta leo moja kwa moja hiyo tozo.
Kwa hiyo pasitokee mtu yoyote kutoka wizara...
Moja ya kazi nzuri aliyofanya Mheshimiwa Rais Magufuli ni kupiga vita ufisadi na rushwa kwa vitendo. Mashauri makubwa ya ufisadi 407 yamepelekwa mahakama ya mafisadi na mashauri 385 yamesikilizwa.
Aidha kupitia Takukuru mashauri 2,256 yalifunguliwa ambapo mashauri 1,926 tayari yametolewa uamuzi...
Leo Rais Magufuli amefika Vwawa mkoani Songwe katika mkutano wa kampeni, pamoja na mambo mengine Rais Magufuli aliongelea Songwe kama sehemu ya mwisho kupewa hadhi ya mkoa hivyo ataujali kama mtoto wa Mwisho kwenye familia. Pia alimkaribisha Juliana Shonza kuongea na wananchi ambae anamaliza...
Watu wenye vifijo na bashasha za kila aina wamemsubiri Tundu Lissu tangu asubuhi uwanja wa Mashujaa. Hawataki kunyamazishwa na mtu waimba rais, rais, rais duh Lissu ni ana mvuto.
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/09/2535222_BdH_lQCAKL9EjZkc.mp4
RAIS MAGUFULI NI MGOMBEA URAIS KAMA MIMI NA ANASIMAMA SEHEMU YOYOTE ANASALIMIA NA HAZUIWI LAKINI MIMI MNATAKA KUNIZUIA NISISALIMIE WANANCHI WA DIDIA"PROF. LIPUMBA"
KATA YA DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI
NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA"
DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI...
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waleo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.
Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati...
NIKIWA RAIS NITAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI,KUFANYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI"PROF.LIPUMBA"
USHETU,SHINYANGA
Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana.
Kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Dunia ya mazingira ya kufanya biashara ya mwaka 2020 – (Doing Business 2020), Tanzania ni nchi...
NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NIUNDE SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA"
USHETU, SHINYANGA.
Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi,
kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majerahay anayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini...
NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NIUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA"
USHETU, SHINYANGA.
Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majeraha
yanayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini...
Huu ni ushauri wangu wa dhati na wa kweli kwa Rais Magufuli na CCM wote. Magufuli aache kupiga kampeni.
Nasema hivyo kwa sababu naamini kuwa kadiri anavyozidi kupiga kampeni wapo wapiga kura lukuki anawapoteza kirahisi kabisa. Nasema ukweli na ndivyo ulivyo.
Aidha kama atalazimika kuendelea...
Uwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa 1976.
Ni kampeni za kihistoria, karibu.
==========
Updates;
MIGORI, IRINGA
LUKUVI: Tunaomba kawilaya, utawala ni mgumu sana. Wasiwe wanawafata wakurugenzi, wakuu wa wilaya kilomita 125. Namuombea...