rais

  1. Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu siku kadhaa tangu alipogundulika kuwa na Covid 19

    Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa kufanya mkutano wa kwanza jimboni Florida siku kadhaa tangu alipogundulika na maambukizi ya Virusi vya Corona. Rais Trump aliwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la wazi huko Sanford; Florida bila ya...
  2. Q

    GE2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki

    12 October 2020, Index number: AFR 56/3051/2020. 1. EXECUTIVE SUMMARY Tanzania has been independent since 1961 with President John Magufuli as the country’s fifth president, elected into office in October 2015. On 28 October 2020, Tanzanians go to the polls in general elections. Under...
  3. Interview ya Rais Kenyatta katika France24

    In an exclusive interview with FRANCE 24 while on an official visit to France, Kenya's President Uhuru Kenyatta discussed the main challenges facing him. Asked about the fight against terror, the Kenyan leader denied reports that the US military has sought authorisation to carry out drone...
  4. GE2020 Prof. Lipumba, Dodoma - Chemba: Mkinichagua Oktoba 28, kuwa Rais wa Nchi hii nitawekeza kwa watu, kisha watu wawekeze kwenye vitu

    MKINICHAGUA OKTOBA 28, KUWA RAIS WA NCHI HII NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA" DODOMA- CHEMBA Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa...
  5. Huu Ugonja wangu ni kama alivyotangaza Rais. Niombeeni dugu zanguni

    Muficha uchi hazai. Mimi nina ugonja wa kupeda mwanamke mweupe. Huyo nikimuona halafu ana hipsi moyoni nafurahi sana. Hapa dukani pagu kaliakoo awo wanawake weupe wamekuwa wakinunua vitu kwa bei ya chini sana sababu nakuwa mnyoge kwawo. Mimi ni meusi, napeda niwowe muke mweupe na nipate watoto...
  6. Namshauri Rais Magufuli wanafunzi kuanzia darasa la tatu mpaka la saba wawe wanalipwa tsh.1000/kila siku tasilimu, wapo kama milioni moja

    Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao. Pili, kuwaepusha na kurubuniwa na watu wenye nia mbaya. (wajomba bandia) Tatu kuwaepusha na vipigo na kuchomwa moto toka kwa walezi wenye roho...
  7. GE2020 Prof.Lipumba, Handeni: Mkinipa kura za kutosha Oktoba 28, na nikawa rais nitasimamia elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" HANDENI VIJIJINI Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi...
  8. J

    Prof Kitila Mkumbo aibukia KKKT Kimara kwa Mchungaji Matsai, mchungaji amshukuru Rais Magufuli kwa flyover za Ubungo

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa. Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za...
  9. U

    Kwa Kutambua Mchango Wake Mkubwa Kwenye Sekta Ya Elimu Nchini, Skuli Mpya Na Ya Kisasa Yapewa Jina La Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefungua Skuli ya Sekondari Mwanakwereke, ambayo hivi sasa inatambulika kwa jina la Skuli ya Sekondari ya Dkt. John Pombe Magufuli. Katika ufunguzi huo, Dkt. Shein amesema katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wa...
  10. B

    Ukiwa Rais wa nchi ni vema ukawa rafiki wa wapinzani, tenga hata muda wa kuongea nao

    Ukiwa Rais wa nchi yoyote ile ni vema ukawa rafiki au karibu na wapinzani wote hata muda wa kufanya nao mazungumzo jitahidi uupate, dunia ya sasa hivi sio dunia ya kuwa na maadui bali kuongeza marafiki ila usalama wako unakuwa ni mkubwa sana. Inaweza ikatokea mmoja akamhitaji mwingine ili...
  11. GE2020 Prof. Lipumba: Serikali imeua viwanda vyote hapa Tanga, nikiwa Rais nitasimamia kwa makini sekta ya kilimo na maendeleo ya viwanda

    SERIKALI IMEUA VIWANDA VYOTE HAPA TANGA,NIKIWA RAIS NTASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" TANGA Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa...
  12. J

    Rais Magufuli ashiriki kwa njia ya mtandao maombi ya kuiombea nchi ya Kenya Mungu aiepushie Corona

    Rais Magufuli ameshiriki kwa njia ya mtandao maombi ya kitaifa yaliyofanyika nchini Kenya kuliombea taifa hilo Mungu aliepushie ugonjwa wa Corona. Maombezi hayo yaliyofanyika Ikulu ya Kenya yalishirikisha viongozi wote wakuu wa nchi hiyo na Rais Magufuli alishiriki akiwa nchini Tanzania...
  13. GE2020 Profesa Lipumba akiwa Mkinga, Tanga: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais ili nisimamie maendeleo ya kiuchumi nchini

    NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS ILI NISIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA" TANGA- MKINGA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili misukosuko ya utandawazi unaokuwa kwa kasi bila kuharibu...
  14. N

    Rais wafokee wakandarasi kwa kuchelewesha SGR kati ya Dar na Morogoro

    Habarini wana jamvi. Juzi hapa tulimsikia rais akiwa-mind wakandarasi kwa kuchelewesha mradi wa stendi mpya ya kisasa pale mbezi jambo ambalo hakulitegemea tena mbele ya mgeni wake, Rais wa Malawi. Sasa ni bora tumwambie kuhusu hili la SGR, maana tuliambiwa mwezi Novemba mwaka jana ingekuwa...
  15. B

    Polepole akielezea hatari za madaraka makubwa ya Rais

    Humphrey Polepole akielezea hatari za madaraka makubwa ya Rais kwa mujibu wa katiba iliyopo nchini Tanzania Rais amekuwa kama Mungu Mtu
  16. Malawi: Rais Chakwera atoa ufafanuzi kuhusu suala la kutovaa barakoa alipokuwa katika ziara yake nchini Tanzania

    Rais Lazarus Chakwera Alhamisi alirudi nchini kwakwe baada ya kukatisha ziara yake nchini Tanzania kutokana na kupata dharura. Muda mfupi baada ya kufika katika uwanja wa ndege wa (KIA) Rais huyo alitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kutokana na madai ya Wananchi wa Malawi kwamba alikuwa...
  17. K

    GE2020 Tulia Ackson, Wana Mbeya tunasema fedha siyo za Rais fedha ni za umma, usitupotoshe

    Dr. Tulia Ackson Ni vyema ukajifunza unapozungumza na Wananchi na ukatambua nafasi ya kazi unayotuomba tukupatie Wana Mbeya. Kazi ya Mbunge siyo kwenda kuomba fedha kwa Rais, fedha za nchi ni zetu. Kazi ya Mbunge Ni kwenda kusimamia utungwaji wa sheria, usimamizi wa rasilimali zetu zikiwemo...
  18. S

    GE2020 ANGALIZO: 28/10/2020 tumchague Rais anayeshaurika na anayetimiza matakwa ya Wananchi

    Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake. Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye. 28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.
  19. Acheni hizo nani 'aliyewadanganyeni' kuwa Rais Dkt. Magufuli hapendi Wasema kweli na wanaopingana nae pia?

    Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili. HabariLeo Haya sasa wale 'Visokolokwinyo'...
  20. GE2020 Prof. Lipumba akiwa Tanga: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii ili niweze kutokomeza njaa kwa wote na kuhakikisha lishe bora kwa Wajawazito na Watoto

    NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA" TANGA-KOROGWE MJINI Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…