Wakuu
Nimekutana na hii Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii inamuonesha mjomba wa bibi harusi akipokea kipigo baada ya kudaiwa kumsifia Rais Samia kwa kusema "Samia ni rais mzuri"
Nimefuatilia mijadala ya watu sehemu mbali mbali na kugundua kuwa huu wa utawala wa Mama watu wanasema hawaukubali.
Mbaya zaidi wanasema tangu tumepata uhuru huyu ndie mkuu wa nchi anayechukiwa na raia wake !
What is going on?
Husika na mada tajwa hapo juu.
Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu.
ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa.
ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi...
Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?
Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema?
Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu?
Yuko wapi Samia?
Utawala wa kijeshi wa Guinea-Bissau, umepitisha Katiba ya mpito ya miezi 12 ambayo inawazuia Rais wa mpito na Waziri Mkuu kugombea katika uchaguzi ujao, wiki mbili baada ya maafisa wa Jeshi kufanya Mapinduzi ambayo yaliisimamisha Katiba.
Kwa mujibu wa Shirika la habari la Reuters, hati hiyo...
Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump umeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, kuachana na mipango yoyote ya kumchunguza na hata kumshtaki Rais Trump na maafisa wa utawala wake pale watakapomaliza muda wao mwaka 2029.
Utawala wa Trump umeitaka mahakama ya ICC kufanya...
Kulingana na Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umemem Tanzania TAMESA imetaarifu Umma kuwa Kivuko cha MV Kazi kinachotoa huduma katika eneo la feri kimesimama kutoa huduma zake kuanzia leo December 09 kutokana na Kupata hitilafu kwenye mifumo yake ya Uendeshaji.
TAMESA imeshauri watumia wa kivuko...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa...
Jamani nikiwa kama Mtanzania kada mwaminifu wa CCM naomba Mama angalau atupungie mkono, maana kwa mara ya mwisho tumemuone siku akiongea na wazee wa Daresalamu, tumekumisi
Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne.
Mnaionaje hii list?
Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM
https://x.com/420Cousin/status/1997726092719693830?s=09
Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036)
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
adhabu
george simbachawene
halisi
hii
huruma
kiongozi
maana
msamaha kwa wafungwa
raisrais samia
samia
samia suluhu hassan
upendo
upendo kwa watu
wafungwa
wote
Kila kona leo isipokuwa vijijini watu wamekaa ndani na hawatoi hata pua nje.
Ila Waandamanaji wamesema wataandamana mpaka Rais Samia aachie nchi.
Sasa tutaishi maisha haya kila mara wakiitisha maandamanl?
Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee.
Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka...
Gerson Msigwa najua umeifungia JF na wewe huingiii humu ila mie napitia hapa hapa kukutaka useme wazi hizo bilioni 200 ziko kwa nani tuzifuate?
Hizo ni Kodi zetu zirudi kwetu, au mpaka tuvae nguoza kijani tuonekane CCM tukakutane na vibaka walioajiliwa Halmashauri wakiongozwa na wakurugenzi...
"Ndugu wananchi Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anapenda kuwatakia wananchi wote heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Desemba, aidha serikali inawashauri wananchi wote ambao tarehe 9 desemba 2025 hawatakuwa na dharura kuitumia...
Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
raisrais samia
rais samia suluhu
samia
samia suluhu
serikali
serikali ya tanzania
siku
suluhu
tanganyika
tanzania
tarehe
uhuru
uhuru wa tanganyika
watanzania
“Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
Nyerere alikataa familia moja kuwa na rundo la viongozi, Samia kavunja rekodi kwa kuweka watoto, wakwe na ndugu kwenye ngazi za juu za uongozi, kibaya zaidi inasemekana mtoto wake wa kiume ana nguvu kuliko hata mkuu wa majeshi huyu generali wa mchongo.
Waislam ndio walikua front kupigania uhuru, ukisikiliza hotuba yake mwalim Nyerere Bagamoyo aliwashukuru waislam kuwa mbele kupigania uhuru ambapo taasisi nyengine zilikua kimya.
Ndio hivi sasa, waislam wapo front kulinda tz huku wengine wakiwa wamejificha