rais

  1. JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Samia kufanikisha mradi wa gesi asilia nchini

    Na George Bura, Dar es Salaam Juni 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali na kampuni kubwa za uchimbaji mafuta duniani zikiwemo Equinor na Shell kwa ajili ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa uchakataji na...
  2. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Rais Mnangagwa azindua shamba la bangi

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amezindua shamba la bangi kwa ajili ya dawa lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 27. Shamba hilo limewekewa kiwanda cha kisasa cha usindikaji ambacho bangi yake itatumika kama suluhisho la matibabu ya kibaolojia na bidhaa za dawa katika soko la ndani...
  3. JamiiForums Tanzania Uongozi ni akili si mabavu, hongera Rais Samia!

    Nimependezwa jana na hotuba ya Jana ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya 2022/2023. Bajeti inekaa vizuri sana. Nampongeza Mh Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha. Hakika serikali imeonesha nia ya kubana matumizi kwa akili kubwa sana. Jana ndio nilijua hivi kumbe Kuna watu wanalipwa mishahara ambayo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tunatwanga maji kwenye kinu. Rais Samia anamaliza pesa za walipa kodi kwa safari zisizo na tija

    Haingii akilini kwa kila jambo Rais anasafiri ovyo ovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi. Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari. Mkuu wa nchi ana heshima zake na sio kuwa kila event ashuhudie. Ndio maana tuna Mabalozi na ofisi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna watu wasio na Imani na Rais? Mbona nguvu kubwa inatumika kuwaaminisha Watu mazuri yake? Wanaomsifu wana Iman naye?

    Fuatilia siasa za nchi mbalimbali Duniani, RAIS wa nchi anapokuwa katika miaka ya uongozi ambayo siyo ya uchaguzi uwezi kusikia kusifu na kumwabudu Kama ilivyo Tanzania Hali inayoendelea nchini Kwetu inafanya baadhi ya Watu kuhoji labda wanaosema Wana imani na RAIS hawana Imani naye Bali...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais wangu na Serikali kwa Ujumla Tears cannot bring Joy to people But can bring Development. Joy can bring Both. Hongereni kwa Kazi ya kutuongoza

    Viongozi wangu pamoja na Rais wangu hongereni kwa kazi ya kulijenga Taifa Changa kimaendeleo lakini Kongwe kiumri , kama mna nia ya Kweli na hii Nchi basi kuna Namna Mbili kuu za kuongoza na zote zitatupa maendeleo : 1. Machozi, hii ni njia Ngumu kidogo na ndio alijaribu kuipitia Hayati JPM, ni...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

    Rais Samia amekutana na mjomba wake Oman ambaye ni mwarabu
  8. JamiiForums Tanzania Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure

    Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure. Wanafunzi 90000 wa kidato cha tano na wanafunzi 50000 wa kidato cha sita. Ili kupunguza adha wanazokumbana nazo ada za watu hao imefutwa. Hivyo elimu bila ada itakuwa kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Pia inaangaliwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu wa Omani afika kumuona Rais Samia Hassan katika Kasri ya Al Alam

    14 June 2022 Muscat, Oman By: ONA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ampokea Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili alipofika katika makazi ya wageni mashuhuri (VIP) Kasri ya Al Alam kuonana na rais Samia Suluhu Hassan . Mazungumzo ya Mh. Rais Samia Hassan na Mufti Mkuu wa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tumpe Muda Rais Samia, ni Mapema sana kulaumu au kupiga makofi

    Muda siku zote ni msemaji na ni shahidi mzuri sana ,Mara zote husema ukweli hivyo tusubiri mpaka 2025 ndio tufanye majumuisho. Tunakosoa sana na kupongeza sana lakini ni Mwaka na kidogo tu Mama yuko madarakani. Mama anasafiri kila wakati, nchi tunakopa pesa ,anakusanya Tozo ,anatafuta maeneo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais, Wananchi tunaomba msamaha wa Kodi za nyuma uhusishe pia kodi za Pango la Ardhi

    Wakuu Salam! Moja kwa moja kwenye mada! Hivi karibuni akiwa ziarani katika moja ya mikoa ya kanda ya ziwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alizitaka mamlaka za kodi kuacha kudai kodi za kuanzia miaka miwili (2) nyuma, huku akibainisha wazi kuwa kitendo cha kodi hizo kulimbikizwa ni uzembe wa...
  12. JamiiForums Tanzania Shamte: Katiba ya nchi haijasema 'Head of State' atawale miaka 10, miaka mitano ikiisha tutafute Rais mwingine lakini siyo huyu

    Baraka Shamte ni mwanasiasa nguli visiwani Zanzibar ambae pia ni mtoto wa Waziri mkuu wa Kwanza wa Zanzibar, Mohammed Shamte amesema Rais wa sasa wa visiwa hivyo, Hussein Mwinyi hatoshi kuendelea baada ya miaka yake mitano kwisha. Shamte amesema miaka yake mitano inakwisha na kurudia kosa ni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mexico, nchi jirani kabisa na Marekani, ameikosoa vikali sera ya NATO katika vita vya Ukraine na kuiita ya 'kishenzi'

    Mexico’s president slammed NATO’s policy on the Russian invasion of Ukraine on Monday, calling it “immoral.” President Andrés Manuel López Obrador’s did not mention NATO or the United States by name, but his comments were the latest example of his party's ambiguous stance on the invasion...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, leo Juni 13, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania Rais Samia amewahakikishia wa Oman mazingira mazuri ya biashara kuwa na sera thabiti za fedha. Akizungumza katika Kongamano lililojumuisha Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, Rais...
  15. JamiiForums Tanzania RC Kafulila: Kwa Uchumi huu wa Gesi wa Rais Samia sasa ni wazi Tanzania kuongoza kiuchumi EAC

    RAIS SAMIA NA UCHUMI WA GESI, TUPO NJIA SAHIHI Na David KAFULILA Jumapili, Juni 12 , 2022 Jana, Juni11, 2022, Rais wetu SSH ameshuhudia makubaliano ya awali ya uwekezaji wa $30bn kati ya Serikali yake na kampuni kubwa 5 za kimataifa ambazo ni Equinor, Shell, ExxonMobil, Medco Energy na...
  16. JamiiForums Tanzania Tsh Bilioni 100 za Rais kila mwezi kwenye mafuta ni neema kwa Watanzania

    Na John Mwakanga, Mbeya Kupanda kwa bei za mafuta ni janga linaloendelea kuitikisa Dunia kwa ujumla. Kwa kuelewa uzito wake kwa wananchi wa Tanzania, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imejitwika jukumu la kupunguza gharama kwa wananchi kwa kutoa ruzuku ya bilioni 100 kila mwezi. Juni 10...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tupate Katiba Mpya haraka ili tumfute kazi Rais Samia na Bunge kibogoyo la CCM

    Bila Katiba Mpya dalili zinaonyesha tunakwenda kuumia kabisa. Tunakwenda kuuzwa kama manyumbu. Mradi wa LNG lindi hauta tufaidisha hata kidogo bali utafaidisha Samia na genge lake la CCM ya wajanja. Tupate katiba mpya ambayo itatupa wananchi nguvu ya kumkataa. Nguvu ya kuvunja bunge kibogoyo...
  18. JamiiForums Tanzania The Oman Connection: Kikwete in 2012 and Samia in 2022

    Salaam wakuu, Tuachane na habari za Ngorongoro huko Loliondo kwa muda kidogo. Kuna hizi picha mbili za Kisiasa. Baada ya Miaka 10, Sehemu alipopigia Picha Kikwete ndipo Kapigia Picha Rais Samia. Wote Wamefanya ziara kwa Siku 3. Pia soma: 1. Mwarabu wa Loliondo: Challenge to TCRA 2...
  19. JamiiForums Tanzania Suala la COVID-19, Rais Samia anaigiza?

    Ujue kuna mambo mengine ya ajabu sana hasa kwa mtu anayetumia akili vizuri kutafakari mambo. Juzi Rais Samia akiwa Kagera alihimiza kuhusu kichukua tahadhari zote za COVID-19 na akaenda mbali kuwataka wananchi wachanjwe. Leo ameonekana Oman akiwa hajavaa barakoa na anashikana mikono na watu...
  20. JamiiForums Tanzania Tunisia; Mwandishi wa habari kizuizini kwa kutoa maoni kumhusu Rais

    Polisi nchini humo wanadaiwa kumshikilia mwanahabari Salah Atiyah kwa kutoa maoni katika mahojiano ya televisheni kwamba Rais Kais Saied alilitaka jeshi kufunga makao makuu ya chama cha wafanyakazi cha UGTT na kuwafunga viongozi wa upinzani kifungo cha nyumbani Waendesha mashtaka wa jeshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…