rais

  1. JamiiForums Madarasa ya Rais Samia, Jimbo la Namtumbo

    MADARASA YA RAIS SAMIA- JIMBO LA NAMTUMBO Tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutatua changamoto ya miundombinu ya Elimu yaani madarasa 102. Wanafunzi Wameripoti...
  2. B

    JamiiForums Ridhiwani Kikwete afanya ziara Jimboni, agawa vifaa vya masomo na kukagua miradi

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete Jana Ijumaa Januari 06, 2023 amefanya ziara Jimboni kwake ambapo amekagua ujenzi wa madarasa 13 kata ya Msata ambapo Serikali ya Rais Samia imetoa milioni 280 kujenga...
  3. JamiiForums Taifa linasubiri serikali mpya aliyoahidi Rais Samia

    Mwezi mmoja umepita toka Rais aliposema kwamba anataka kufanya mabadiliko - labda mabadiliko makubwa katika Serikali yake. Nadhani watu wote wanalitazama hili jambo kwa mtazamo chanya ambapo wanatumaini litakuwa na lengo la kuboresha kazi.
  4. K

    JamiiForums Rais Samia: Muda wa siasa za uhasama umekwisha

    Leo, Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo katika sehemu ya hotuba yake amewasisitiza vijana wa UVCCM kuachana na siasa za kuchokozana na ugomvi na hata ikitokea watakosolewa basi wajibu kwa hoja. "Zama za...
  5. JamiiForums Rais Samia: Vijana wa leo wanakimbilia kwenye kutaka utajiri, baada ya muda utajiri unawapiga

    “Nilikuwa na mazungumzo na Katibu wa Chama, katipa somo, nalikopa kutoka kwake. Vijana wa leo tunakimbilia kwenye kutaka utajiri. “Uwe na jumba zuri, gari zuri, mambo yako yaende hivyo, lakini bahati mbaya baada ya muda utajiri unakugeuka na unakupiga, kama ni nyumba au gari huwezi kutunza...
  6. JamiiForums Rais Samia: Kazi ya Serikali si kutengeneza ajira bali kuweka mazingira mazuri

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo katika kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi. Amesema Mapinduzi ya Kisiasa tumeshajikomboa, kuanzia 64 mpaka leo siasa imetufikisha mbali sana, lakini Mapinduzi ya Kiuchumi na Ustawi wa Jamii bado ndio mapambano...
  7. JamiiForums Rais Kagame akataa nchi yake kupokea Wakimbizi wa DR Congo

    Rais Paul Kagame amesema Nchi yake haiko tayari kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia migogoro kwa maelezo kuwa hilo sio tatizo la Rwanda hivyo hawezi kubeba mzigo usi wake. Kagame amesema chanzo cha mgogoro wa DRC na Rwanda ni mabaki ya vikosi vya Wahutu wenye itikadi kali ambao walijaribu...
  8. JamiiForums Vifaranga kwa maelfu vyachomwa moto awamu ya sita! Uchokozi kwa Rais Samia

    VIFARANGA KWA MAELFU VYACHOMWA MOTO AWAMU YA SITA! UCHOKOZI WA RAIS SAMIA! 1.0 Utangulizi 1) Rais Samia Suluhu Hassan alimkashifu Hayati John Pombe Magufuli hadharani kwa eti kuchoma moto vifaranga. Mbaya zaidi, hii ilitokea mbele ya mgeni, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya. 2) Ndio maana...
  9. JamiiForums Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

    Hapo vip! Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo. Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote ana haki ya kuwa mtawala. Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi. Mbona Rais wa Tanzania anaweza...
  10. K

    JamiiForums Rais Samia amefanikisha kwa mara ya kwanza wanafunzi zaidi ya milioni moja kwenda shule kwa pamoja

    Leo Jumatatu ya tarehe 09/01/2023 wanafunzi wamefungua shule ikiwemo wanafunzi 1,073,941 walioanza kidato cha kwanza ambao wote walipangiwa shule hakuna mwanafunzi ambaye yuko nyumbani kusubiri chaguo la pili "Second Selections" Ikumbuke tangu kuanza kwa utoaji wa elimu bila malipo nchini...
  11. JamiiForums Brazil: Wafuasi wa Rais wa zamani wavamia Bunge, Mahakama ya juu na Ikulu

    Wafuasi hao wa Jair Bolsonaro ambaye hakukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa Urais, Jumapili Januari 8, 2023 walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu katika Mji Mkuu wa Brazil, wiki moja baada ya kuapishwa kwa, Rais Luiz Inacio Lula da Silva. Mamia ya waandamanaji waliruka vizuizi vya usalama...
  12. B

    JamiiForums Dkt. Samizi amshukuru Rais Samia kutafuta fedha za ujenzi wa barabara ya Kibondo-Mabamba

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amesema Rais Samia ameweka historia nyingine jimboni kwake kwa kufanikisha kutafuta fedha Bilioni 63 kuanza ujenzi wa barabara kubwa ya kiuchumi kutoka Kibondo- Mabamba inayokwenda kuunganisha mkoa wa Kigoma Kagera na...
  13. JamiiForums Hongera Rais Samia, lakini siasa siyo uadui

    Hongera mh. Rais Samia kwa mtazamo na maono yako kuzingatia misingi na falsafa za maridhiano. Safari hii ni ndefu sana ambayo bado naviona visiki kwenye msamaha wa mikutano ya hadhara ambayo ilizuiwa kwa upande mmoja ili kudhoofisha upande wa pili. Nakupongeza kwa kuwa umezingatia misingi...
  14. R

    JamiiForums Wana CCM wenzangu ule Uchawa mliokuwa nao wakati wa Rais Magufuli mbona siuoni wakati huu wa Rais Samia, tatizo ni nini?

    Sijaelewa ni kitu gani kimewatokea hawa jamaa. Enzi za Chuma Jpm walikuwa moto sana. Kule youtube alikuwepo Cipyrian Musiba, kule Twitter ndio usisema account kama zote. Vyama vya idara mbali mbali vya chama shamra shamra huku na kule. Pesa walikuwa wanapat wapi? Mbona mmepoa sana wakati huu?
  15. L

    JamiiForums Mwenyezi MUNGU Aendelee Kumjalia Afya njema Rais Wetu Mama Samia Katika Kuelekea kufunga miaka Miwili ya mafanikio na Matumaini katika kila secta.

    Ndugu zangu watanzania, Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anaelekea kufunga miaka Miwili Tangia alipoapishwa kuwa Rais wa Taifa Letu,Imekuwa Ni miaka ya kazi,miaka ya utumishi uliotukuka,miaka ya kujenga umoja wa watanzania,miaka ya kushikamana Kama Taifa,miaka ya kupanda na...
  16. JamiiForums Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuri

    Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
  17. S

    JamiiForums Aliyemrekodi nesi mbishi apandishwe cheo. Rais Magufuli alimpandisha cheo trafiki aliyemrekodi mke wa Waziri Mahiga

    Kuna clip imesambaa kwenye mitandao ikimuonyesha nesi anayelazimisha kutumika dawa zilizo expire. Huyu aliyerekodu video ile na ikarushwa tukaifaidi anastahili kupongezwa na kama ni mfanyakazi basi apandishwe cheo. Mwaka 2016 mke wa Waziri Maiga alifanya kosa la kutoheshimu zebra crossing...
  18. M

    JamiiForums Ahadi ya kuajiri askari wapya wa wanyamapori itatekelezwa lini?

    Ahadi ya Ajira ya kuajiri Askari wapya wanyamapori itatekelezwa lini?
  19. JamiiForums Nitajie Rais wa Africa aliyefanikiwa kudhibiti nchi kwa kuwa mlaini/mpole mpole (polite)

    Tunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi. Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza kudhibiti nchi kwa kuwa mpole? Tuanze na Nyerere, Mandela. Kenyata nk. Je, walikuwa na haiba zipi ktk...
  20. JamiiForums Wanahabari wanaodaiwa kuvujisha Video ya Rais Salva Kiir akitokwa haja ndogo wakamatwa

    Kiongozi wa Muungano wa Waandishi wa Habari wa nchini humo, Patrick Oyet, ameripoti kuwa Wanahabari 5 wanashikiliwa na Idara ya #UsalamawaTaifa kuanzia Januari 3 na mmoja kuanzia Januari 4, 2023. Shirika la Uangalizi wa Waandishi wa habari la Committee to Protect Journalists (CPJ) limetoa wito...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…