rais

  1. JamiiForums Tanzania Aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan 2022

    ALIYOYAFANYA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Aliyoyafanikisha mwaka 2022. Madarasa Mapya 15,000 Wanafunzi 907,802 Wajiunga Kidato cha Kwanza kwa Pamoja Ada Kidato cha 5 & 6 Yafutwa, Elimu Bure Msingi hadi Sekondari Nyongeza ya...
  2. JamiiForums Tanzania Watu aliowasema Rais Samia kuhujumu Bwawa la Nyerere ni kina nani?

    RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika awamu ya 5 chini ya Hayati Dk John Pombe Magufuli waliamua liwalo na liwe ila Bwawa la Nyerere lijengwe licha ya hujuma kubwa zilizofanyika na baadhi ya watu ili mradi huo usitekelezwe. “Awamu ya tano tukasema liwalo na liwe lakini azma hii ya Mwalimu...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia amlilia Pele, ampa pole Rais wa Brazil

  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameshinda, watanzania tumeshinda, Taifa limeshinda na tunamaliza mwaka kwa ushindi

    Ndugu Zangu, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa kwa hakika Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan Ameshinda katika mapambano ya kulijenga Taifa letu na kuwaongoza watanzania katika ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe na Taifa letu limeshinda kwa kubaki likiwa Imara na Tulivu. Rais Samia...
  5. JamiiForums Tanzania Rais tatizo halipo kwenye Elimu na mitaala

    Tatizo ni wenye dhamana hawana kazi ya kufanya. Wanakushauri vby hawafanyi kazi wao, wanaofanyakaz ni watu wa kada za chini. Kuhusu kupunguza maafisa Elimu ni kutafuta kick. Wataka sifa kwako. Wanataka posho zao zisigiswe watu wa kada za chini hawana hata posho ya maji uhai ya 500. Haohao...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Majaliwa amuwakilisha Rais Samia kumjulia hali Lowassa

    MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KUMJULIA HALI LOWASSA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika ya Kusini. Akizungumza na wanafamilia kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Samia...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti Siku 100: Rais Ruto amefanya vibaya kwenye Usalama wa Chakula

    Utafiti uliofanywa na taasisi ya #Infotrak umeonesha Siku 100 za #Uwajibikaji wa Rais Ruto kwenye Masuala ya Chakula haujawaridhisha Wananchi na hivyo kumuweka kwenye wastani wa 40%. Ruto amekubalika zaidi kwa Wananchi kwa wastani wa 56% baada ya kuanza kutolewa Mikopo ya Tsh. Bilioni 947.4 kwa...
  8. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Bernard Membe kumrithi Rais Samia S. Hassan

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi. Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais. Ni wazi...
  9. JamiiForums Tanzania Rais mstaafu wa Korea Kusini aachiwa huru

    Rais wa zamani wa Korea Kusini, Lee Myung-bak amepata msamaha wa Rais na kukatiza kifungo chake cha miaka 17 jela kwa ufisadi. Rais wa Korea Kusini, Yoon Seok-yeol ametoa msamaha huo kwa Lee, leo Jumanne ya Desemba 27, 2022 kama sehemu ya msamaha wa watu wengi ambao ni kawaida katika nchi hiyo...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wampongeza Rais Samia na Serikali yake kwa kuwasha taa ya matumaini katika mioyo yao

    Ndugu zangu , Katika Taifa lolote lile Vijana wakiwa na Matumaini Katika mioyo Yao ndio Amani ya Taifa,Ndio utulivu wa Taifa,Ndio ustawi wa Taifa,Ndio upendo waTaifa.Hakuna utulivu ,amani ,mshikamano ushirikiano, upendo Wala utulivu ikiwa vijana wamekata Tamaa ya maisha,ikiwa vijana hawajuwi...
  11. JamiiForums Tanzania Angola: Mahakama yaagiza kukamatwa Mali za Tsh. Trilioni 2.3 za Mtoto wa Rais Eduardo dos Santos

    Mahakama ya Juu (ASC) imetoa agizo la kuzuiwa kwa Mali za Isabel dos Santos kama ilivyoombwa na Wizara ya Umma baada ya kudaiwa kuwa zimetokana na #Ubadhirifu na #Ufisadi wa Mali za Umma. Taarifa hiyo imeagiza kuzuiwa kwa Fedha katika Benki zote, Akaunti za Amana za Muda, Maombi yote ya Fedha...
  12. JamiiForums Tanzania Jina la Magufuli limetajwa sana mwaka 2022

    Hayati Rais John Pombe Magufuli ndiye mtu aliyetajwa sana katika mwaka huu 2022,penye hoja na pasipokuwa na hoja,ndiye Rais pekee ambaye atazidi kuendelea kutajwa mara nyingi kwenye awamu hii na awamu zijazo na hata kwenye uchaguzi ujao,alikuwa ni mmoja wa viongozi wachache sana wazalendo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Hakainde Hichilema afuta rasmi Adhabu ya Kifo Zambia

    #JFDATA: Kati ya mwaka 2015 hadi Desemba 2021, Watu 28,670 Walihukumiwa Kifo duniani kote kwa njia ya Kunyongwa, Kupigwa Risasi, Kukatwa Kichwa na Kuchomwa Sindano ya Sumu. Mwaka 2021 pekee Watu 2052 Walipewa Adhabu ya Kifo kwenye Nchi 56 ikiwa ni Ongezeko la 39% na 579 kati yao Wameshauawa...
  14. JamiiForums Tanzania Makamba unampa taarifa za uongo Rais kwa faida ya nani?

    Kwa Mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nishati kwa mwaka 2021/2022 nanukuu "Kuendelea na Ujenzi wa Mradi wa Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) MW 2,115 ambao hadi kufikia mwezi Mei, 9 2021 utekelezaji wake kwa ujumla umefikia asilimia 52'" mwisho wa kunukuu. Sasa juzi Januari...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania tumsaidie kumtajia viongozi wasiofaa Rais anapokwenda kuisuka upya Serikali

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi mpango wake wa kuisuka upya Serikali yake baada ya kubaini baadhi ya watu hawaendani na kasi wanayoitaka wananchi katika kujiletea maendeleo. Kama watanzania utendaji wa viongozi wetu hasa wateule wa Mh Rais wote tunaufahamu kuanzia Waziri Mkuu...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiingiza tena Tanzania kwenye Nchi 10 Tajiri zaidi Africa 2022|23

    Top Ten Richest Countries in Africa in 2022/23 by GDP 10. Ghana 🇬🇭 73.8 Billion USD 9. Tanzania 🇹🇿 77.5 Billion USD 8. Ethiopia 🇪🇹 105.3 Billion USD 7. Kenya 🇰🇪 114.6 Billion USD 6. Angola 🇦🇴 124 Billion USD 5. Morocco 🇲🇦 133 Billion USD 4. Algeria 🇩🇿 193 Billion USD 3. South Africa 🇿🇦 426...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyo ndani ya Rais Samia imemfanya kuwa mkweli na muwazi katika Uendeshaji wa Serikali

    Ndugu zangu, Rais Samia Ni kiongozi wa kipekee Sana, Ni kiongozi mkweli na muwazi Sana. Ni kiongozi mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU. Ni kiongozi ambaye Dhamira yake na kifua chake kimetawaliwa na hofu ya Mwenyezi Mungu. Ni kiongozi ambaye ukimsikiliza unaona Hataki kuzungumza...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Tumpatie Rais Samia utulivu amalizie miradi ya kimkakati iliyopo

    Na Thadei Ole Mushi. Watanzania wangeelewa umuhimu wa hii miradi miwili mikubwa SGR na Bwawa la Mwalimu Nyerere linalozinduliwa leo wangeipongeza Serikali kwa kuendelea kuhakikisha inakamilika hata kwa kukopa halafu tuje tulipe. Ni miradi ambayo ni ya kimkakati na itaifungua hii nchi sana hivyo...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba mkumbushe Rais kuwa hata madai ya watumishi yame 'mature'

    Ni habari ya kuhuzunisha kwa watumishi wa umma nchini, kupitia hotuba yake ya kusaini mikataba ya ujenzi wa reli ya mwendo kasi (SGR), Rais Samia Suluhu Hassan akitoa ufafanuzi wa ulipaji wa madeni alisema nchi lazima ilipe madeni ya nje kwasababu yame "Mature", akasisitiza kuwa tukikopa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…