Mohamed Ould Abdelaziz amesema Maafisa wa Usalama wamemzuia alipokuwa Uwanja wa Ndege wa Nouakchott akijiandaa kupanda ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa, pia wakiishikilia pasipoti yake.
Amesema "Nilijitambulisha lakini wakanizuia licha ya kuwa sina zuio lolote la Kimahakama.” Serikali...
Sote tunafahamu kuwa katika mwaka wa kwanza wa uongozi wa Rais Samia Suluhu, Serikali imefanikiwa kujenga vyumba vipya vya madarasa 15,000 kwa ajili ya wanafunzi wa Sekondari pamoja na shule za msingi (shule shikizi).
Mwaka uliokwisha (2022) Serikali imejenga vyumba vya madarasa 8,000 kwa ajili...
Watanzania tuwe wakweli.
Rais Samia ndiye mwanamke ambaye ni shujaa ukilinganisha na wanawake wote walio wahi kuwa Marais hapa Africa. Rais Samia anajiamini, ana maamuzi yenye tija kwa Taifa.
Apongezwe kwa busara zake.
Ukamatwaji huo wa Ovidio Guzman-Lopez ambao pia umetajwa kuihusisha Marekani kumesababisha machafuko maeneo tofauti kwenye Jimbo la #Sinaloa kutoka kwa makundi ya kihalifu na kusababisha kifo kwa maafisa watatu.
Ovidio ‘The Mouse’, ndiye anaendesha biashara za dawa za kulevya na uhalifu...
Ndugu zangu watanzania,
Huo ndio ukweli kuwa kwa Sasa Hakuna mpinzani au mtu yeyote kutoka upinzani mwenye uwezo wa kushindani na Rais Samia Jukwaani Na hata katika sanduku la kura, kwa Sasa Rais Samia ndiye kiongozi mwenye ushawishi mkubwa Sana hapa Barani Afrika na ukanda huu wa Afrika...
Rais wetu, Mama Samia, kwanza tukupe hongera sana kwa kazi kubwa na inayoonekana kwa Taifa letu, hakika kazi unaimudu na unaiweza kisawa sawa.
Rais tunakuomba pamoja na juhudi zako kubwa za kujenga nchi na kuwa hudumia wananchi wote ikiwemo wafanya kazi wa umma, nikupe siri, tupia jicho kali...
Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
Jakaya kikwete kakuhakikishia kuwa hautapingwa na mtu yoyote kuchukua fomu.
Kweli utachukua fomu na utagombea.
Lakini utapingwa ndani ya mioyo ya wanaCCM wasiopenda ouvu na ufisadi wa kundi lenu. Watakunyima kura.
Ndugu Zangu Watanzania,
Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi...
Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.
Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then...
Hizi ni siasa za kushangiliana bila kuulizana maswali, lakini miezi michache iliyopita huyu huyu Samia alichochea kuchukiwa kwa Spika, ambaye ni mbunge alipokosoa tabia ya serikali kukopa. Jana kasema huenda chawa wake watakuvamia ukitumia matusi kumkosoa, mbona Ndugai alipomkosoa alishirikiana...
Amani iwe nanyi.
Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu.
Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa...
Rais Samia amesema kwakuwa CCM ndiyo waliyoweka serikali basi wakosolewe.
Asema anaamini akikosolewa anaoneshwa changamoto ilipo na akiifanyia kazi changamoto ile watu wakamuamini ataendelea kubaki.
Na kutokana na hilo haviiti vyama vingine kama vyama vya upanzani bali vyama vya kumuonesha...
Ndugu zangu watanzania,
Maisha Ni pamoja na kuwa na furaha Moyoni,Ni pamoja na kufurahia uwepo wako Duniani,Ni pamoja na kufurahia aina ya maisha unayoishi,Ni pamoja na kufurahia aina ya uongozi uliopo madarakani kwa namna unavyogusa maisha yako ya kila siku.
Serikali na uongozi uliopo hasa...
Yanaandaliwa maandamano makubwa kuwahi kutokea jijini Mbeya na UVCCM.
Sababu kuu ya maandamano haya ni kumpongeza mama Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa nchini.
Wanadai wao pia walifungwa midomo kwa zaidi ya miaka 5 na walishindwa kupata majukwaa ya kuongelea.
Rais katika hotuba yake kasema vyama pinzani/kosovu vitaendelea kuwa kosovu alimradi yeye yupo madarakani. Kwamba watakachokosoa, na serikali yake ikaona vina mantiki basi haraka wanafanyia kazi na Rais anapata pongezi zake na wanaaminiwa na wananchi na wanaendelea kushika dola.
Wakati Rais...
Kwa habari nilizonazo ni kwamba Kampuni ya Sahara Media inayomilikiwa na ANTHONY DIALLO iko katika kipindi kigumu kuelekea kufilisika au kupigwa mnada kutokana na madeni makubwa yanayo mkabili mmiliki wake hasa kutoka kwa wafanyakazi wake wa vituo vya Star TV, Radio Free Africa na KISS FM...
Kama wengi mlivyofuatilia leo Januari 3, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alifanya mkutano na viongozi na wawakilishi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini Tanzania. Pamoja na hoja mbalimbali alizozungumza mojawapo ni kuondoa zuio...
Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na viongozi wa vyama vya siasa leo Januari 3, 2022, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema:
Taifa letu limekuwa na mfumo wa ukandamizaji wa demokrasia kwa muda mrefu, kuanzia ngazi ya taifa hadi vitongozi, lakini tutaangalia kwa macho angavu...
RAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano.
Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.