rais

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais Samia ni shabiki wa Baraza la seneti na bunge la kitaifa la Kenya.

    Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
  2. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais Samia ni shabiki wa Baraza la seneti na bunge la kitaifa la Kenya.

    Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
  4. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba.
  5. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba.
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia amesema wanataka anayepokea simu naye anakatwa salio ili kuimarisha Uchumi

  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Profesa Abraham Kithure Kindiki aapishwa kuwa Naibu Rais Kenya

    Profesa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa Naibu Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Kenya. Kindiki ameapishwa na Msajili wa Mahakama nchini Kenya, Winfrida Mokaya mbele ya Jaji Mkuu Martha Koome, katika hafla inayoandaliwa kwenye jumba la Mikutano la KICC jijini Nairobi. Kindiki anachukua...
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu rais mteule wa Kenya Kindiki Kithure kuapishwa kesho. KICC

    #BREAKING: Naibu rais mteule wa Kenya, Kindiki Kithure, ataapishwa hapo kesho katika jumba la mikutano la KICC. Ikumbukwe kuwa leo Mahakama Kuu jijini Nairobi ilifutilia mbali agizo la Mahakama ya Kuu ya Kerugoya, Kaunti ya Kirinyaga kuzuia kuapishwa kwa Prof. Kithure Kindiki kama Naibu Rais...
  9. JamiiForums Tanzania Afrika ina Rais mmoja tuu Mwanamke, Samia Suluhu Hassan

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya marais wa kike duniani, wasifu wao, na bara wanakotokea. Muhimu ni kunote kwamba Samia Suluhu Hassan ndiye rais pekee wa kike barani Afrika kwa sasa. 1. Samia Suluhu Hassan - Tanzania (Afrika) • Wasifu: Samia Suluhu alizaliwa mwaka 1960 Zanzibar, Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Ni nani Salma Madai, Mtaalamu wa IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Akizungumza na mwanablog Magendela kupitia SALMA MADAI IT ANAYETEMBEA NA NDOTO ZA RAIS DKT SAMIA Novemba, 2023, mdada mrembo wa sura na umbo, ameelezea ndoto za kuwa Rais wa Tanzania siku baadae. Salma ambaye amekuwa akijiita Salama wa Samia Suluh katika mtandao instagram, amedai kuwa na asili...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Oktoba 29, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Ukumbi wa Johari Rotana Dar es Salaam, leo tarehe 29 Oktoba, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=pO386W-gVjw
  12. JamiiForums Tanzania Malawi: Kiongozi wa Upinzani ashtakiwa kwa Njama za Mauaji ya Rais Chakwera

    Patricia Kaliati (57) Mwanasiasa wa ngazi ya juu wa Upinzani na Katibu Mkuu wa chama cha UTM, amekamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za kupanga njama za kumuua Rais Lazarus Chakwera, huku Wanasiasa wengine wa upinzani wakidai kuwa mashtaka hayo yana msukumo wa Kisiasa. Kaliati, alifikishwa...
  13. JamiiForums Tanzania Makamu wa Kwanza wa Rais Othman Masoud atoa rai kwa ZLS kusimamia haki za wananchi

    Makamu wa kwanza wa rais Othman masoud amekitaka chama cha wanasheria Zanzibar (ZLS) kusimama imara kutetea haki za wananchi zinapovunjwa hasa katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Tamko hilo amelitoa wakati akifunguwa mkutano mkuu wa mwaka chama hicho uliofanyika visiwani Zanzibar na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hii ni katika kuweka historia...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi achangia milioni 100 ukarabati wa Kanisa Katoliki Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha Uhuru wa Kuabudu na kuziagiza Taasisi za Kidini kuendelea kuiombea Nchi amani na umoja. Rais Dk, Mwinyi amefahamisha kuwa Taasisi za kidini zina wajibu mkubwa wa kushirikiana na...
  16. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Rais anapokataa kuishi Dodoma?

    Je vyombo vya ulinzi haviwezi kumlazimisha ? Je vyombo vya ulinzi vinashindwa Nini kumtaka Rais akaishi Dodoma? Hasara za Rais kutokuwa na makazi maalumu si ni hasara kwa walipa Kodi maana gharama za kumlinda uongezeka ? Mabilioni yaliyojenga ikulu dodoma je ni hasara? Hasara kwa Nani? Kama...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Achangia Milioni 100 katika Ujenzi wa Kanisa la AICT

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu maendeleo na ustawi wa nchi. Dkt. Biteko amesema...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Samia

    Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
  19. JamiiForums Tanzania Ina maana Rais Samia amekwenda Kizimkazi badala ya kwenda kwenye mkutano wa Commonwealth.

    Kwa nini hakwenda Samia na Waziri Kombo kama alivyokwenda Indonesia na Januari.? Mi nadhani nchi yetu ina special relationship na UK,rais alipaswa kwenda kwenye ule mkutano. After all Malkia ndiye aliyeamua ugomvi na Maalim Seif katika Uchaguzi uliopita. Magufuli alikuwa poised kumuondoa...
  20. JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Iran: Usijibu Mtego wa Israel

    Kama kuna mtu yupo karibu na Rais wa Iran, Ayatollah, amfikishie ujumbe huu: Asithubutu kujibu mashambulizi ya Israel – huu ni mtego wa hatari! 1️⃣ Mpango wa Kimkakati wa Israel imeanza na mkakati wa kuwadhoofisha washirika wake wa karibu, makundi ambayo yamekuwa tishio kubwa kwake. Baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…