rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana wanastahili makazi bora kwa gharama nafuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuonesha dhamira yake ya dhati ya kuboresha maisha ya vijana kwa kutaka kuongezwa kwa uwekezaji katika ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'?

    Wakuu, Karibu wenye kila mkutano wa ndani ambao Rais Samia huwa mgeni rasmi, huwa kunakuwa na vikundi vywa kutumbuiza yaani wasanii wakubwa wa muziki, wa mashaiemri, kuna ngoma nk. Sasa wasanii hawa wakimaliza kufanya shughuli zao huenda moja kwa moja kwa Rais Samia kupokea bahasha zao na...
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Tathimini: Uzinduzi wa Sera Mpya ya Taifa ya Ardhi na Dhamira ya Rais Samia

    Utangulizi Mnamo Machi 17, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la 2023, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma. Uzinduzi huu unaashiria hatua muhimu katika...
  4. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Spika, Mussa Zungu: Yaliyoonekana kuwa magumu yamewezekana kwa Rais Samia

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu kwaniaba ya Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo Machi 17, 2025 amesema ndani ya miezi minne ya Rais Samia Suluhu Hassan mambo mengo yaliyokuwa yameshindikana yamefanyika ikiwemo maandalizi na uzinduzi wa sera ya Ardhi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania kuchora ramani yake mpya

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo mbioni kuanza mchakato wa kuchora ramani mpya ili kuendana na mabadiliko yaliyojitokeza. Pia, Soma: Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70 Rais Samia amesema mara ya mwisho ramani ya Tanzania ilichorwa mwaka 1978 huku vitu...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi

    Wakuu Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi ya mifumo ya usimamizi wa sekta ya Ardhi Tanzania. Pia, Soma Prof. Mkumbo afananisha tuzo aliyopewa Rais Samia na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, asema haya nimafaniko ya CCM
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70

    Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini. Magari na vitendea kazi hivyo yamekabidhiwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi mkoani Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Sera...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kagera: Wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 "wamshukuru" Rais Samia kwa kutenga Bilioni 4 kwa ajili ya Ujenzi wa shule yao

    Wakuu, Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutenga zaidi ya bilioni nne kujenga shule mpya ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa Dini waomba kwa Rais Samia kuwa na uwakilishi Bungeni kulingana na Madhehebu Yao. Mimi napinga Wazo hilo

    Ndugu zangu Watanzania, Viongozi wa Dini Wameomba na kumsihi Rais Samia awapatie nafasi ya kuwa na uwakilishi Bungeni ili waweze kushiriki vyema katika kutoa michango na mawazo katika utungaji wa sheria zinazogusa masuala ya Imani . Mimi Lucas Hebel Mwashambwa napinga wazo hilo kukubaliwa na...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Familia ya Hayati Magufuli yaongoza maandamano ya Amani Chato, yapongeza Rais Samia kwa kukamilisha miradi

    Familia ya Hayati Rais John Pombe Magufuli ikiongozwa na Mtoto wa Dr. Magufuli aitwaye Jesca Magufuli, imeongoza maandamano ya amani leo March 16 2025 Chato, Geita kumuenzi Hayati Magufuli na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza na kukamilisha miradi iliyoanzishwa na Hayati...
  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kagera: Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wamshukuru Rais Samia kutenga bilioni nne ujenzi shule ya wasichana

    Wakuu uchawa unapandikizwa kwa nguvu mpaka kwa wanafunzi, hizi kauli za mitano tena kwa hawa watoto na za kumezeshwa na watu wasiojitambua. ==== Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera...
  12. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba, amewataka wanasiasa wanaopinga, kuheshimu jitihada za Rais Samia

    Wakuu uchawa unakomaa kila siku == Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba, amewataka wanasiasa wanaopinga juhudi za Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuacha kupotosha jamii na badala yake kuheshimu juhudi za serikali katika kuleta maendeleo. Akizungumza na waandishi wa...
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyepinga Samia na Nchimbi kupitishwa kama wagombea Urais CCM, apeleka shauri lake mahakamani kupinga ukiukwaji wa Katiba

    Ni yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea u - Rais, haraka katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro naye bila hata kufuata utaratibu akapokea "maagizo toka juu" atangaze kuwa mzee huyu...
  14. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi uzinduzi wa sera ya Taifa ya ardhi

    WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi itazindua rasmi Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 toleo la mwaka 2023, Machi 17, 2025 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center jijini Dodoma ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo atakua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa mitungi 1,000 kwa mamalishe na babalishe wa mkoa wa Arusha

    Kwaniaba ya Rais Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amekabidhi mitungi ya Gesi 1000, kwa Umoja wa Wajasiriamali wanaopika chakula Mkoani Arusha (Mamalishe na Babalishe), akiwasihi kuendelea kumuombea kheri kutokana na mapenzi yake makubwa...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa milioni 200 ujenzi wa msikiti Tanga

    Wakuu, Tunaendelea kuangalia meno ya TAKUKURU na msajili wa vyama vya siasa! Pia soma: Pre GE2025 - Hizi ndizo zawadi, misaada na michango iliyotolewa na Rais Samia tangu aingie Ikulu. Ni maandalizi ya Urais 2025? ===== Rais Samia amekabidhi kiasi cha shilingi Milioni 200 ikiwa ni ahadi...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof Jay: Rais Samia alikuwa kama Mama yangu, alipata uchungu wa Mama

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
  18. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suhuhu Hassan, mama wa Taifa naomba unialike hapo ikulu nije kunywa chai mama

    Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji. Ntashukuru sana mama japo sikubaliani na wewe katika mambo kadhaa ila natamani kunywa chai ya ikulu...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mungu muumba mbingu na nchi. Nyie ambao mnamtukuza sana Rais Samia jiangalieni

    Hii MADA haina uhusiano na kusifia mazuri au makubwa aliyoyafanya Rais Samia. Huu Uzi hauna uhusiano na kukandia au kufifisha shughuli za Rais Samia. Uzi huu ni kwaajili ya onyo . Nyie mnaomsifia Rais Samia kwa malengo yenu binafsi either kutaka cheo, pesa au ulinzi wa shughuli zenu...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchekeshaji Said Said atumia Milioni 7 kutengeneza bango na kuweka picha akiwa na Rais Samia barabarani, kusambaza majiji yote

    Mchekeshaji Said Said, aliyepiga picha na Rais Samia wakati wa usiku wa Tuzo za Wachekeshaji (Tanzania Comedy Awards), ameweka mabango ya picha hiyo katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo Dodoma. Akiweka wazi gharama alizotumia, Said amesema ametumia zaidi ya TSh milioni 7 kutengeneza na...
Back
Top Bottom