rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Yupo wapi Rais Samia?

    Uko wapi mama yangu kwenye vilio na misibani hatukuoni Mbwa wako wakali uliowapa mafunzo huko ulaya ambao unawalisha kwa fedha ulizotuchangisha kwa maguvu mbona Sasa wanawang'ata na kuwaparura wenetu!! Nilifikiri utaitikia Ile milio mikali ya kengele za kanisa zilizotishia kupasua...
  2. I

    Mmekuwa watu wa kucheza na dola mkijua Rais Samia atakuwa mtu wa kuwafutia kesi!

    Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuingia madarakani mwaka 2021 na kuombwa sana na Wanachadema na makundi mbalimbali kwenye jamii kuhusu kufutiwa kesi ya Ugaidi iliyokuwa inamkabili Mh Freeman Mbowe na wenzake,kwa hekima kubwa na kulinda 4R's zake alifanya hivyo! Kupitia kwa Mzee Jakaya Mrisho...
  3. PreGE2025 John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu

    John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu "Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi...
  4. L

    Rais Samia angekuwa Raia na amezaliwa Marekani angelazimishwa Kugombea Urais na angepita na kushinda kwa kura nyingi sana kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiiangalia Marekani ya Sasa unaona wazi kabisa kuwa inamhitaji sana mtu na kiongozi aina ya Rais Samia. Ilikuwa inahitaji kuwa na Samia wake kwa sasa wa kuweza kuiongoza Marekani. Marekani hii ambayo imeshindwa Kumaliza vita vya ukrein pamoja na mauaji kule Gaza...
  5. PreGE2025 Rais Samia abeba gharama za Simba Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch, Aprili 27, 2025...
  6. Rais Samia akizindua Toleo la Sheria Zilizofanyiwa Urekebu la Mwaka 2023 Chamwino Dodoma Aprili 23, 2025

    Rais Samia akizindua Toleo la Sheria Zilizofanyiwa Urekebu la Mwaka 2023 Chamwino Dodoma Aprili 23, 2025 https://www.youtube.com/live/po15xrrRr54?si=lMhXCak4Dxa0aCp1
  7. B

    PreGE2025 Kiliba: Wanavyuo tunaposema tunamuhitaji Rais Samia arudi madarakani tuna hoja za msingi

    Vijana haswa hawa viongozi wa chuo wanajisahau sana baadaye wakirudi mtaana wanaanza kulalamika tena kwa hivi sasa wana platform wanaishia kuimba mapambio. === Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za elimu ya Juu Nchini Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na viongozi WA Serikali y Wanafunzi...
  8. Kumkamata Heche ni uonevu wa Samia kwa wapinzani wake, Hili linadhihirisha Samia Hafai Kuliongoza Taifa hili

    Katika taifa linalojivunia kuwa la kidemokrasia, uhuru wa kujieleza na usawa mbele ya sheria ni nguzo kuu zinazopaswa kulindwa kwa nguvu zote. Hata hivyo, hali halisi ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imeanza kufifisha matumaini ya Watanzania wengi waliotamani kuona enzi...
  9. K

    Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa Heche na kuwekwa gerezani Tundu Lissu

    Tusimumunye Maneno: Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa kwa John Heche na kuwekwa gerezani Lissu . Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye...
  10. L

    Rais Samia ni taa juu ya kilele cha mlima na pumzi mpya kwa Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika ninamshukuru Sana Mwenyezi Mungu kwa Kupata Bahati ya kipekee na adimu ya kuongozwa na Rais Samia Akiwa ni Rais Wa Nchi ,Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama. Ni historia kwangu ambayo najivunia na ambayo nitaisimulia kwa...
  11. Samia sio malaika na Heche sio Shetani!

    Ndugu Watanzania! Tuna taarifa kuwa Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. John Heche alipokwenda kuhutubia Kariakoo. Tumezungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Bara) Mhe Amani Golugwa alisema kuwa wamefika vituo vyote vya Polisi katika Jiji waliambiwa hayupo...
  12. K

    Ni aibu kwa Rais Samia na CCM kushidwa hoja kwa kiasi hiki

    Ni Aibu kwa Raisi Samia na CCM kushidwa hoja kwa kiasi hiki. badala ya kujadili hoja wanakimbilia kuwashika na kuwafungulia mashtaka wapinzani. Ni Mtanzania gani mwenye akili yake haoni yanayo endelea. Nani mwenye akili zake ataenda kupiga kura kwa mazingira haya!
  13. Rais wangu mlima wenye mawe magumu haukosi dhahabu, shusha upanga ,wapinzani wana hoja wasikilize usiwapuuze

    Mtanzuko uliopo ambao kundi Fulani linahisi halitendewi haki hauwezi kutatuliwa kwa kutumia jeshi la polisi ,mahakama na magereza ! Ni sauti yako tu tena ni kikao Cha nusu saa tu Kila kitu kitakuwa sawa !! Inua simu moja tu waambie wapinzani njooni tuzungumze ! Usitumie nyundo au panga kumuua...
  14. H

    Ukimwacha Mwalimu Nyerere, Marais Wengine Wote Wameshindwa Kuacha Legacy Kwa Taifa. Je, Rais Samia Ataondoka Bila Legacy?

    Mwalimu Nyerere, legacy yake kamwe haitafutika. Legacy ya Mwalimu Nyerere ni kuwaongoza Watanganyika kupambania uhuru wao mpaka ulipopatikana. Legacy haiwezi kuwa kujenga daraja, barabara, shule au hospitali, maana huko mbeleni, hivyo vitu vitakuja kujengwa vilivyo bora na vingi maradufu...
  15. B

    PreGE2025 Butiku: Hata Rais Samia anajua umuhimu wa Reforms kabla ya uchaguzi. "Kwa hali ya sasa kuna rushwa, wizi, haki haipo!"

    Haya ni maneno ya Mzee Butiku: Kwamba Samia anayajua, kumbe shida nini? Kama angependa kuendelea hata kama kina M7 si aseme tu? Ya nini kuitisha chaguzi viini macho? Ya nini kusumbua watu magerezani au hata kuwa na vyama vya siasa?
  16. Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

    Wanabodi Funga kazi ya urekebu wa sheria za Tanzania, kesho Rais Samia atatoa tangazo rasmi, la kuanza kutumika kwa sheria zaidi 400 zilizorekebishwa. kuanza kutumika. Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari. Paskali
  17. Kongamano Miaka 61 ya Muungano Samia funga kazi. Kati ya Kero 25 ametatua 15 zimebaki 3, apewe maua yake

    Wanabodi Angalizo la Uchawa! Baada ya kutokea fani mpya ya uchawa, kuna watu wenye akili fupi humu, ukisifu tuu jambo lolote zuri la Rais, unanyooshewa kidole cha uchawa!. Tofauti ya pongezi za kweli na pongezi za kichawa. Pongezi za kweli ni mtu unapongeza kwenye mazuri, na ikitokea...
  18. PreGE2025 Saashisha Mafuwe: Mambo mengi niliyomuomba Rais Samia jimbo la Hai amenipa, Wananchi si mmeona?

    Wajasiriamali na wafanyabiashara katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Jumapili ya Pasaka ya April 20,2025 walisheherekea sikukuu hiyo pamoja na Mbunge wa Jimbo lao la Hai Saashisha Mafuwe Mbunge Saashisha alikutana nao kwa lengo lakuwasikiliza changamoto zao pamoja nakuwaeleza...
  19. PreGE2025 Maafisa usafirishaji (bodaboda na bajaji) wanasema mitano tena kwa Rais Samia

    Maafisa usafirishaji Tabora wapo bega kwa bega na Rais Samia Suluhu.
  20. K

    Hayati Mkapa pekee ndiye angeweza kufanya mdahalo na Lissu

    Bado Mkapa angeshidwa lakini Mkapa alikuwa Rais anaye jiamini kama Nyerere. Maraisi wengine wote walikuwa na hata huyu Mama Samia hawajiamini kwa kuweza kutetea hata sera zao wenyewe. Huyu Mama hawezi kufanya mdahalo hata kama ni kutetea sera zake mwenyewe hata Heche au Lema hata waweza. Huyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…