rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania H Polepole: Serikali ni kama nyumba isiyo na mwenyewe

    Balozi msitaafu Humphrey Polepole amewaomba watanzania wasimuhukumu kwa kushindwa kutoa matokeo mazuri kwenye kazi yake ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na baadae nchini Cuba kwa sababu alikuwa hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa watendaji wa Serikali ya Rais Samia kwani wengi...
  2. JamiiForums Tanzania TASAF inatumia Tshs Bilioni 900 kuhudumiwa watu milioni 5

    Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika...
  3. JamiiForums Tanzania Hatuhitaji kufanya majaribio Rais Samia ameweza kuivusha salama Tanzania hatuna budi kumuamini muda mwingine tena

    Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena. Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia amewaonesha wana CCM utaratibu wa Rais kuwa Mwenyekiti wa Chama ni mbovu. Rais ni lazima akiogope Chama, na si Chama kumuogopa

    Kwa yanayoendelea Tanzania, ikiwa kwa CCM, Mwenyekiti angekua sio lazima awe yule ambaye ni Rais, Naamini CHAMA KINGEKUA KIMESHAMREJESHA RAIS KWENYE MSTARI. Sasa Rais ambaye ana miliki vyombo vya Dola, ndio huyo huyo Mwenyekiti, yaani ana nguvu za kichama na Serikali kuwadhibiti wapinzani wake...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiulizia bei ya Samaki katika Soko la Wamachinga Parking Nzega mjini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiulizia bei ya Samaki katika Soko la Wamachinga Parking Nzega mjini wakati alipotembelea Soko hilo ili kujionea na kutatua changamoto mbalimbali katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia alikuwa anamalizia ngwe ya mwisho ya hayati Magufuli. Mchakato mwingine ulipaswa kuanza upya

    Kwa mujibu wa katiba yetu ya mwaka 1977 kuwa Rais aliyepo madarakani akifa basi makamu wake moja kwa moja anakuwa Rais kumalizia ngwe yake. Kwa bahati nzuri hayati Magufuli alikuwa mwanzoni kabisa mwa ngwe yake ya mwisho. Rais Samia alipaswa kumalizia ngwe hiyo na baada ya hapo kiti kilitakiwa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia apata mpinzani mwingine: Rose Kahoji wa CUF atangaza nia ya kugombea Urais

    Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), Rose Kahoji amekuwa mwanamke wa tatu nchini kutangaza nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
  8. JamiiForums Tanzania Samia na Mbowe hand shaking.: Je hii ni dhihaka, dharau na kejeli dhidi ya CHADEMA na Tundu Lissu?

    Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Samia kasalimu Amri na kutaka kurudi kama 2021-2022

    Msishangae Raisi Mama Samia mambo ya nchi naona hayaendi vizuri sasa anatafuta middle man wa kumsaidia ili aweze kujirudi. Mtu huyo anataka awe Mbowe ili naye Mbowe aonekane ndiye kasaidia kurudisha amani ya nchi. Chadema haizuiliki tena na Mama ameshaona nchi haitatawalika kwa mwenendo huu...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tupimane kwa matokeo ya kazi na sio maneno

    Ndugu wananchi ninapohitimisha napenda kutoa wito na maelekezo yafuatayo kwanza tubadili mtazamo na namna tunavyofanya kazi na kupimana kwani dira 2050 imeweka lengo na shabaha kubwa kufikia uchumi wa kati wa kati wa juu wa dola trilioni moja" 🗣"ni wazi kuwa hatutoweza kufikia lengo hili kama...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dira imeweka msisitizo kwenye suala la Haki, Maadili na utamaduni

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika siku maalaum ya uzinduzi wa Dira ya taifa 2050 amesema Dira hiyo ya taifa imeweka msisitizo katika suala la haki, na kulinda maadili na utamaduni wa watanzania akisema kuwa haya ni maeneo muhimu kwa ustawi wa watanzania ...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mahakama za Tanzania zitimize wajibu bila upendeleo, chuki na uonevu

  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumetoka kwenye kutawaliwa na taifa moja lenye nguvu. Tanzania lazima tuendelee kutofungamana na upande wowote

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye uzinduzi wa dira ya taifa ya maendeleo 2050 Rais Samia amesema kuwa Tanzania itaendelea na sera yake ya kutokufungamana na upande wowote kwani uchumi wa sasa haumilikiwi na taifa moja pekee kama ilivyo zamani Tunashudia mabadiliko makubwa kutoka kutawaliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Hatua kwa hatua namna wahuni walivyobadili njia za Rais Samia kutoka kuwa shujaa Hadi haya yanayoendele bila yeye Kujua anavyoingizwa chaka

    Miaka Mitano ya Hatari Magufuli, Licha ya makubwa na mazuri yake yote, Suala la Uminywaji wa Haki za Watu, Demokrasia , kukaendelea kuzalisha Wimbi kubwa la Watu wenye Hasira, Chuki na Visasi. Huenda hilo pia lilichangia uwepo wa Mashambulizi makubwa juu ya UHAI wa JPM. Hatua ya Kwanza ...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, Rais Samia usikubali Misaada ya kuingilia Sovereignty yetu!

    Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!. Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na...
  16. JamiiForums Tanzania Nabii wa MUNGU amuonya Rais Samia Kujitenga na Machawa, aelezea Kinagaubaga Kwa Mifano Machawa , Athari yao na jinsi ya kuwaondoa !!.

    Natamani Ujumbe Huu, AUONE RAIS SAMIA, na Mungu amsaidie asikie saauti yake !!. Machawa wamempoteza Rais SAMIA !!. https://www.facebook.com/share/r/16rjwu6mHy/
  17. JamiiForums Tanzania Uko sahihi Lusinde makosa mengine ni yetu Wenyewe halafu tunamtupia Lawama Rais Samia na CCM yake, tubadilike tafadhali bado hatujachelewa

    Kuna jamaa namfahamu ni Mlinzi na anapokea Mshahara wa Shilingi Laki Moja na Elfu Themanini za Kitanzania ila ana Watoto Sita na Mahawara Watatu halafu Kutwa tu ukikutana nae Kijiweni ndiyo Mkosoaji mkubwa wa Serikali ya Rais Samia na Kukilaani Chama Cha Mapinduzi (CCM) utadhani Samia na CCM...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia itisha Press, ongea na Taifa kutuliza hali ya hewa

    Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia. Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau...
  19. J

    JamiiForums Tanzania UNESCO: Kila $1 kwenye elimu ya mtoto wa kike inazalisha $3 kwenye GDP. Rais Samia katumia $47.8m kujenga shule za sayansi za wasichana

    CHUKUA KALAMU NA KARATASI, UNESCO: KILA $1 KWENYE ELIMU YA MTOTO WA KIKE INAZALISHA $3 KWENYE GDP | RAIS SAMIA KATUMIA 47.8M KUJENGA SHULE ZA SAYANSI ZA WASICHANA 26 Rais Samia amejenga shule 26 za Sayansi kwa wasichana kwenye mikoa 26. Tunafahamu,Ukiwekeza dola moja ya Kimarekani kwenye...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anunua ambulance mpya 700 tofauti na ambulance 540 za tangu uhuru

    Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia. Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…