rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hawa watu 4,5OO waliopata ajira kipindi cha Rais Samia baada ya kuufanyia Mkoa wa Arusha mabadiliko makubwa ya kiuchumi wasiache kumshukuru sana

    Rais Samia amejenga Viwanda vipya zaidi ya 1,000 Vikitarajiwa Kuchangia TZS40bn hadi TZS60bn ya Pato lote la Mkoa wa Arusha na kuajiri walalahoi 4,500. Mkoa wa Arusha umeendelea kuwa miongoni mwa vinara wa maendeleo ya sekta ya viwanda nchini, kufuatia utekelezaji wa sera thabiti za viwanda na...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi Rais Samia umetuongzea WanaCCM amani, furaha na moyo wa kujiamini kisiasa zaidi ukilinganisha na wenzet u ambao wasiojua hatima yao

    Usibishe huo ndiyo ukweli wanaCCM wapo na furaha mipango yao yaenda vema uzoefu silaha muhimu. Jemedari pongezi zake
  3. U

    JamiiForums Tanzania Wadau Unabii sahihi ni kuwa Samia ni chaguo la Mungu na ataongoza Tanzania salama kabisa hadi 2030 Unabii tofauti ni Shiriki

    Huo ndiyo Unabii sahihi wa kiroho na lazima ukamilike
  4. JamiiForums Tanzania Pinda ahutubia Kongamano la Vyama vya Ukombozi akimwakilisha Rais Samia nchini Afrika Kusini

    Wazuri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mizengo Pinda, amesema ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika unapaswa kudumishwa kwa kuzingatia maadili ya ukombozi, misingi ya haki, usawa wa maendeleo jumuishi kwa wananchi kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia amechangia millioni 200 Ujenzi wa kanisa Kuu la Christ Cathedral Church, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenan Laban Kihongosi, akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Kuu la Christ Cathedral Church, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro na kufanikisha kuchangishwa jumla ya Shilingi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nyie Wajasiriamali zaidi ya 1,400 mnakumbuka mlivyopanga biashara zenu chini kabla ya Rais Samia hajatoa TZS27bn za ujenzi wa soko kuu la Mwanza?

    Rais Samia ametumia TZS26,61bn kujenga Soko Kuu Mwanza linalochukua wafanyabiashara 1,400 na maduka 500, maegesho ya magari zaidi ya 190 kwa Pamoja. Madhumuni ya Rais Samia ni kuongeza mapato ya ndani kwa halmashauri pamoja na kuhamasisha shughuli mbalimbali za kibiashara Ukanda Mzima wa ziwa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanza haikuwa na Hospitali ya Rufaa ya Serikali kabla ya Rais Samia kutoa TZS25bn

    Rais Samia amejenga Hospitali ya Rufaa Mwanza kwa TZS25bn,akaboresha huduma za afya Bugando kwa TZS10bn na akafanya ukarabati wa hospitali kwa TZS5bn Rais Samia katika jitihada zake za kuimarisha huduma za afya nchini ya Serikali yake ya Awamu ya Sita ametekeleza miradi yenye thamani ya...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Wa Upendo Mkuu Kwa Rais Samia, Kama Mwanadamu Mwenzangu.

    Ushauri huu ni wa upendo mkuu. Na upendo ndiyo amri kuu tuliyopewa na Mungu wetu. Tena tunaulizwa, utawezaje kusema unampenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia ndugu yako? Ninaamini Rais Samia ni muumini wa Mungu, mtu anayeamini katika maisha baada ya kifo, hukumu ya Mungu, na ufufuo wa wao...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwahiyo mtu akila kichapo kwenye 'Knockout ya Mama' ndio inamaanisha Rais Samia kawakung'uta wapinzani wake?

    Mi nauliza tu swali, mlianza kwenye comedy hadi mkampa tuzo, na wakasema mama ndio mchekeshaji wa kwanza😂😂 haya tukatulia. Sasa kwenye Knockout ya Mama mtu akila kichapo inamaanisha kala kichapo kwaajili ya mama, au mama kala kichapo au walioshinda ndio wameshinda kwaajili ya Samia? Mwisho...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi mbona kwa vitendo na kauli za Samia ni kama tayari ameshajipitisha urais 2025/2030

    Kwa yanayoendelea na muafaka ukipatakana wa uchaguzi, kuna dalili nyingi za uvunjifu wa amani. samia matamko na vitendo vyake ni kama tayari ameshajipitisha urais anasubiri wa ngazi za chini aletewe. Tusipokuwa naye makini akipita kimabavu huyu si ajabu atataka kutawala milele.
  11. JamiiForums Tanzania Hayati John Magufuli akiingia ofisi za chama - CCM kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea u - Rais kwa awamu ya pili mwaka 2020

    https://youtu.be/IE9sYQ6WgE0?si=C66gZnDjjqoCBh1k Hii ni hatua muhimu ta kwanza ndani ya chama iliyofanywa na Hayati Rais Magufuli alipokuwa anakiomba chama chake CCM kimteue kugombea u - Rais wa JMT kwa awamu ya pili mwaka 2020... Huyu Samia Suluhu Hassan achilia mbali kuwa yeye ndiyo itakuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Bila Shaka Mkutano wa Leo wa CCM umedhihirisha uungwaji mkono wa Rais Samia kutoka Viunga vyote vya nchi

    Hata mimi nimejifunza kitu hapa. Yaani iwapo kuna mtu ana mashaka na uungwaji mkono wa Rais Samia ndani ya chama chake basi leo imedhihirika tena mbele ya Dunia kwamba Wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa wanayo imani kwa mwenyekiti wao. Kwamba hakuna wajumbe wenye sauti ya popo waliojificha...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
  14. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Kuchukua Fomu ya Urais Mwezi Ujao. Vijana Wajipanga Kumsindikiza Kwa Maandamano Makubwa Yatakayo Itikisa Nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa kuchukua Fomu Ya Urais Mwezi Ujao. Hii ni Baada ya hii leo Tume Huru ya Uchaguzi kutangaza kwa tarehe ya uchukuaji na urejeshaji wa Fomu Za Uteuzi wa...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Hata kama walikiuka kanuni Januari 19, 2025 bado Rais Samia ndiye bora kuliko wote wanaotamani kuwa wagombea wa CCM

    Japo wengi wanashabikia kwa kutofahamu, lakini kazi aliyoifanya Samia ni kubwa sana katika nyannja zote. Hata wapinzani wanaponda sana utawala wa Samia lakini katika waliopo CCM sasa hivi pengine Samia ndiye bora kuliko wote Haya ni mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan (Machi 2021 – Julai 25...
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi Rais Samia ashawahi kugombea ubunge na kushinda kwa njia ya kuchaguliwa?

    Wabobezi wa mambo tunaomba mtusaidie au alipitishwa kwa ubunge wa viti maalumu?
  17. JamiiForums Tanzania Je Rais Samia atavunja mwiko wa historia ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu wa Tanzania kwa miaka 15 mfululizo baada ya Mwl. Nyerere?

    Tukiangalia historia , desturi na katiba zetu viongozi ngazi za juu kuanzia waziri mkuu , makamu wa Rais na Rais hushika nafasi hizo kwa kipindi kisichozidi miaka kumi. Aliyewahi kuzidisha kipindi hicho ni baba wa taifa tu Mwalimu Julius K. Nyerere. Je kwa mwenendo huu Inawezekana tukapata...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Samia atapitishwa kuwa mgombea anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni mapema

    Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema, Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na...
  19. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia sikiliza neno la bwana kuhusu Urais 2025

    ...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia usiwe king'ang'anizi, chutama ufuate taratbu za kumpata mgombea Urais CCM

    Kwa huu upepo ulivyo ingekuwa nchi zilizoendelea Rais Samia angejiuzuru au kuomba radhi kuwa alikosea na kuanzia utaratbu upya wa kumpata mgombea urais. Matokeo yake amekuwa kinganganizi kama Zuchu, amejilipua liwalo na liwe. Samia unavuna ulichopanda, mauaji uliyoyafanya, watu waliobakwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…