rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa Ufupi, Rais Samia hataki kabisa Waumini wa Ufufuo na Uzima Waabudu , Leo wameamua kusalia Dhehebu jingine, Nako Polisi imewafata hukohuko!

    Unaweza dhani ni mazingaombwe,, na pengine ukajiuliza, Hawa Polisi Wana akili kweli? Mwisho jibu linabaki kua ni kweli Hawana akili. Ndugu msomaji, Kufuatia Msajili , Kufungia Kanisa Kihuni huku Wizara ikisema haijafungia Kanisa. WAUMINI wa UFUFUO na Uzima, kufuatia Mabomu ya Wiki ilopita...
  2. GE2025 CCM ni kubwa kuliko mtu, leteni mgombea Urais mpya atakayeponyesha majeraha ya watu

    Niliwahi Uliza humu, Dola Mnauhakika Rais Samia kua Mgombea, hawaingizi kwenye mtego wa matumizi ya nguvu kupitiliza??. Ishu nzima ya Bandari Kwa Waarabu, Watanzania wakapinga katakata Kwa Hoja ,Kwa Katiba, na Kwa Mifano !!.yaan Bandari alojenga Kipenzi Cha Watanzania JP Kwa matrillion ya...
  3. N

    Rais Samia kwenye hutuba zake hamtaji mumewe kama viongozi wengine wana

    Ukifatilia hutuba nyingi za viongozi wanapoitimisha kuhutubia anatoa shukurani Kwa watu wake wakaribu kama mke, watoto nk, lakini naona mama amtaji mumewe kama sehemu ya watu muhimu kwake juzi wakati wakuvunja bunge sijasikia akisema au baba yetu hayupo? Naleta hoja.
  4. Rais Samia kuwa mgeni rasmi ufunguzi wa jengo jipya la Kanisa la Mwamposa (Arise & Shine)

    Habari mpya ndio hiyo kila mtu anakaribiahwa siku ya tarehe 5.7.2025 wahi bila Kukosa kwani Kitakuwa na watu wa Mataifa mengi.
  5. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Rais Samia anastahili pongezi kwa aliyoyafanya

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo kwa humu jf, nimeweka hoja na swali "Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Kwa Aliyoyafanya, Anastahili Pongezi na Shukrani Stahiki!. Watanzania Wenye Shukrani Tumshukuru au Bado?". Juzi Ijumaa nimemsikiliza kwa makini...
  6. GE2025 Sheikh Hameed: Kachukueni fomu isipokuwa ile ya mwisho ya Rais Samia

    Wakati taifa likielekea katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, Waislam nchini wamehimizwa kuchukua fomu katika vyama vyao vya siasa na kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Rai hiyo imetolewa na Imam wa Msikiti wa Manyema, Dar es Salaam, Sheikh Hameed...
  7. Kwa Maagizo ya leo ya Rais Samia kwa Wakuu wa Mikoa wapya, ni dhahiri Tanzania hakuna Chaguzi Huru. Chadema wako sahihi na No Reforms No Election

    Akiwa anawaapisha Wakuu Wapya wa Mikoa Ikulu Dodoma, Rais Samia kawasifia kuwa wengi wao wamelelewa tangu chini na Chama cha Mapinduzi na kwa sababu mwaka huu ni wa Uchaguzi wakahakikishe wanasimamia Uchaguzi vilivyo na kuwadhibiti vilivyo Wapinzani. Hakuishia hapo katoa Maelekezo maalum kwa...
  8. Kwa alichokizungumza Rais Samia Chadema wanahaki ya kusema NRNE

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya uapisho wa viongozi wapya leo, amemuelekeza Mkuu mpya wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, kuhakikisha anailinda heshima ya Mheshimiwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ambaye anatoka mkoani humo.Aidha, Rais Samia...
  9. Rais Samia: Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka

    "Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na mtikisiko wa uchumi kidunia" - Rais Samia akihutubia Bunge la 12. Pia, Soma Serikali: Deni la taifa...
  10. Wakati Spika Tulia akisema Hamna Utekaji Wala Upoteaji watu bila Kushuhudia, Rais Samia analiagiza Jeshi la Polisi kuzuia Upoteaji watu !!

    Sasa huyu ndio Rais wa Mabunge !! Huyu ndio Mbunge, Msomi wa Sheria !! Wakati analinajisi Bunge tukufu, Jana Ndani ya Bunge hilohilo Rais Samia akaliagiza Jeshi la Polisi kudhibiti Upoteaji watu!!. Tanzania imefikia hatua ya Kila MTU mwenye Mamlaka anakua Chawa Kwa ajili tu ya Hakikisho...
  11. Ukiondoa uchawa na kumaliza miradi ya Jiwe, rais Samia amefanikisha nini?

    Twaelekea kwenye uchaguzi. Tumtathmini rais Samia Suluhu Hassan. Nionanvyo mimi, amfanikisha yafuatayo: Mosi, kuwakamata wapinzani na kuwafungulia kesi za kubambikiwa, Pili, ameweza kuwa daktari kwa muda mfupi tena bila kupoteza muda darasani, Tatu, amejitahidi kukaa kimya na kusema sana kiasi...
  12. PreGE2025 Rais Samia: Niwashukuru waajiri wangu Watanzania, hakika wao ndio hamasa na chachu ya mimi kufanya yote haya

    "Niwashukuru waajiri wangu Watanzania, hakika wao ndio hamasa na chachu ya mimi kufanya yote haya".Rais Samia Suluhu Hassan
  13. S

    Hivi unafahamu kuwa kwa katiba hii, rais Samia anaweza akaamua wabunge wanaomaliza ubunge wao leo wapite wote majimboni na kurudi bungeni?

    Yeye ndiye kateua tume na yeye ndiyo kateua wakurugenzi watakaowatangaza washindi wa ubunge. Tudai katiba, ili rais asiwe kama Mungu!
  14. Rais Samia: Serikali haijawahi kuingilia uhuru wa Mahakama

    Rais Samia alisisitiza kwa nguvu kuwa Serikali haijawahi, na haitawahi, kuingilia uhuru wa Mahakama. Alisema kuwa Mahakama ni mhimili huru unaofanya kazi zake kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi. "Serikali haijawahi kuingilia uhuru wa Mahakama. Uhuru wa Mahakama ni jambo tunaloliheshimu na...
  15. S

    Rais Samia: Kukua kwa deni la taifa kunatokana pia na mikopo ya marais wa awamu zilizopita, sio yeye peke yake

    Katika vitu ambavyo vimeniacha mdomo wazi ni taarifa ya Rais Samia akihutubia bunge, kwamba kukua kwa deni la taifa hakutokani tu na mikopo anayoomba yeye peke yake, bali fedha madeni mengine ni mikopo iliyoombwa na maraisi wa awamu zilizopita. Kwa maneno mengine ni kwamba, katika kipindi...
  16. B

    PreGE2025 Rais Samia: Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea

    Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani imeongezeka. Jambo ambalo hatujafanikiwa vya kutosha ni ajali za...
  17. M

    Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
  18. Rais Samia mpaka sasa hajaonekana Bungeni ili alivunje Bunge la 12, kuna nini?

    Rais Samia mpaka sasa hajaonekana Bungeni ili alivunje, kuna nini? Awali tuliambiwa ataingia Ukumbini saa Tisa lakini mpaka sasa saa Kumi na dakika 23 bado hajatoke na hakuna taarifa yoyote. Hapa Spika Tulia akitoa ufafanuzi wa utaratibu wa Bunge wakati Rais na wageni wakiingia Bungeni, na...
  19. Tetesi: Huenda Rais Samia asilivunje bunge rasmi leo hii

    Kwa upande wa Zanzibar tayari Mheshimiwa Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la wawakilishi Zanzibar mnamo tarehe 23 Juni Kama ilivyokuwa imepangwa na badala yake akaongeza uhai wa Baraza la wawakilishi Zanzibar mpaka tarehe 13 August 2025. Rais Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza...
  20. PreGE2025 Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhutubia na kufunga Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tukio hilo litafanyika leo Juni 27, 2025 bungeni jijini Dodoma ambapo baada ya kufunga Bunge hilo hatua hiyo itaruhusu kuanza kwa mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…