rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  2. L

    Rais Samia Asikitishwa na Kifo Cha Muhammad Buhari Rais Mstaafu wa Nigeria. Atuma Salamu Za Rambirambi na pole kwa Rais wa Nigeria

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za kifo cha Rais mstaafu wa Nigeria Muhammad Buhari. Soma Pia: Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, amefariki...
  3. GE2025 Nitaipigia kura CCM kama Samia hatokuwa mgombea wa nafasi ya urais

    Ninaahidi kuipigia kura CCM kama tu samia hatopewa nafasi ya kugombania nafasi ya urais Samia hatoshi, mbadala wake anahitajika.
  4. PreGE2025 Vyombo vya Dola, Mna uhakika Samia hatoendelea kuwaingiza kwenye mtego wa matumizi ya Nguvu na Uvunjifu wa Haki za Raia?

    Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
  5. M

    Access Group: Rais Samia mwanamke mwenye nguvu zaidi Africa

    RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Access Tanzania Protase Ishengoma ikulu, Dar es Salaam. Tuzo hiyo imetambua mchango wa mageuzi ya...
  6. L

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Amuwakilisha Rais Samia Katika Kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu Mteule wa KKKT Dayosisi Ya Mwanga.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Katika kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu...
  7. M

    Zaidi ya majiko 452,445 yasambazwa bure kuchochea Nishati safi

    RAIS SAMIA NA MAPINDUZI YA NISHATI SAFI. ZAIDI YA MAJIKO 452,445 YASAMBAZWA BURE. LENGO KUPUNGUZA VIFO VYA WA KINA MAMA Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo nishati hafifu ya mkaa na kuni kwa mwaka ni zaidi ya 33,000, au zaidi ya vifo vitokanavyo na UKIMWI nchini, Rais Samia agawa...
  8. L

    GE2025 Itakuwa ni aibu, fedheha na chukizo mbele za Mwenyezi Mungu kwa Mtanzania yeyote ambaye hatampigia Kura ya Ndio Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Natambua na kuelewa ya kuwa Ni kweli huwezi kuungwa mkono na kila mtu, ni kweli huwezi kupendwa na kila mtu,ni kweli huwezi kukubalika kwa kila mtu ,ni kweli huwezi kuwafurahisha watu wote,ni kweli huwezi kuwaridhisha mioyo yao watu wote. Hata ungewafanyia wema gani...
  9. C

    GE2025 Chini ya rais Samia mapato ya korosho yaongezeka mara nne (4)

    Mwaka 2021 wakati Rais Samia anaingia madarakani, Uzalishaji wa korosho ulifikia Tani 216,907 zilizoiingizia Tanzania $181M sawa na TZS452.5bn. Mwaka 2024/25 Tani 528,260 zilizalishwa na thamani yake ni $600M sawa na TZS 1.6Trilioni. Chini ya Rais Samia Mapato haya ya Korosho yameongezeka...
  10. R

    Wazo pana la mradi mkubwa wa kukuza uchumi kwa Serikali ya Rais Samia: Kagera ijengwe SGR Mwanza to Bukoba

    Utakuwa mradi wa fungua uchumi kanda ya Kagera....wa mizigo ya Uganda, Rwanda, Burundi to Dar es salaam Port by SGR
  11. L

    Rais Samia ayapaisha Mapato ya Korosho mara nne zaidi kufikia Trilioni 1.6 kutoka Billioni 452.5

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Nyota ya Matumaini,ni daraja la matumaini. Ni ngazi ya wanyonge, ni tumaini la watanzania, ni faraja kwa watu. Ni kiongozi ambaye amekuja kuinua maisha ya watu ,kuondoa Umaskini wa watanzania,kuwapa tabasamu safu. Kugusa maisha ya watanzania na...
  12. Kwani RC Chalamila ana mashaka na uwezo wa Rais Samia kuongoza mabadiliko!!?

    Mnisamehe lakini sasa budi niulize maswali yangu kadhaa, nipate mantiki na uelewa na nipate majibu ya kimantiki ya Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam. Kwanza braza Chalamila anisaidie kuelewa ni Watanzania wangapi wanaishi "Ikulu" , Boma, Ushuani na ni wangapi wanaishi "Kitaa" na ikiwa anajua kwamba...
  13. Rais Samia anapata wapi Mamlaka ya kukashifu Makanisa na kuyaita Makanisa ya Kishetani?

    Yeye Makanisa yanayomsifia ndio anayapenda na kuyasifia yanafanya kazi ya Mungu Makanisa yanayokemea Utekaji ,Upoteaji na Mauaji, anayaita Makanisa yanayofanya Kazi ya Shetani !!. Kwamba anataka kuwaambia Wakristo Tanzania Kua kanisa hili msali, like msisali??.
  14. Rais Samia awapa STAMICO leseni kubwa ya uchimbaji madini ya Nikeli katika eneo la Ntaka Nachingwea-Lindi

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde (Mb) amebainisha kuwa Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameelekeza kutolewa kwa leseni ya uchimbaji madini ya nikeli kwa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na kwa Wachimbaji wadogo waliokuwepo katika eneo la vilima vya...
  15. L

    Serikali ya Rais Samia Yaweka mikakati na Mipango ya Kuhakikisha kila Mtazania anakuwa na Pato la Millioni Moja na Laki Tano Kwa Mwezi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anataka kuwafanya na kuwawezesha watanzania wote Waishi Maisha mazuri na ya heshima na staha Utafikiri wapo Washington au New York City Marekani ,au Amsterdam Uholanzi au London uingereza au Dubai au Paris Ufaransa au Berlin Ujerumani au Genneva Uswiswi,Roma...
  16. L

    GE2025 PICHA: Miradi Mbalimbali iliyokamilishwa na Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa usiku na mchana akitoa na kuidhinisha mabilionea kwa Matrilioni ya pesa kuelekeza katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya...
  17. J

    Rais Samia aongeza viwanda vipya 30,000

    == Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na jumla ya Viwanda 50,000. Miaka minne ya Rais Samia Tanzania imefikia jumla ya Viwanda 80,128 sawa na viwanda vipya 30,128 ambavo ni sawa na ongezeko la 60.3% ndani ya miaka minne(4) . Tanzania kwa sasa inaziada ya tani 3m za sementi...
  18. L

    Uchapakazi wa Rais Samia walinasa na kuliteka kundi la Wasomi na Vijana Wa Vyuo Vikuu. Wapania kumpigia kampeni nyumba kwa nyumba

    Ndugu zangu Watanzania, Mambo yanazidi kunoga, mambo yanaendelea kuwa matamu, mambo yanaendelea kuwa motomoto. Rais Samia anaendelea kuteka mioyo ya watu, Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga mioyoni mwa watu, Rais Samia anaendelea kuteka na kukonga mioyo ya watu, Rais Samia anaendelea...
  19. J

    GE2025 Afrobarometer: Rais Samia atashinda Uchaguzi akigombea na yeyote kwa 83%

    == Utafiti uliofanywa na taasisi maarufu ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania. Kwa mujibu wa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani zaidi na Rais Samia kutokana na jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha...
  20. Rais Samia: Kiswahili ndiyo Lugha ya kutuunganisha Afrika, Tanzania tuko tayari kutoa Walimu na vifaa vya kufundishia kuja Comoro

    Rais Samia amesema Kiswahili kina uwezo wa kuwaunganisha Waafrika na kupendekeza kitumike kama lugha ya mawasiliano, elimu na biashara katika nchi za Afrika, ikiwemo Comoro. "Lugha pekee ya Kiafrika inayoweza kutuunganisha au kuunganisha watu wetu ni kiswahili, hivyo ilikujenga umoja nitumie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…