rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tuheshimiwe kama tunavyowaheshimu mataifa mengine

    "Kama taifa tunapenda tuheshimiwe kama sisi tunavyoheshimu mataifa mengine. Na katika kulinda maslahi ya nchi hakuna mbadala. Ni lazima tuhakikishe tunalinda utu, heshima na uhuru wetu." - Rais Samia Suluhu akihutubia na kufungua Bunge la 13
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tutaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari ili watanzania wapate haki ya taarifa

    Katika hotuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutubia bunge la 13 amesema Serikali yake itaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari iliwatanzania aweze kupata haki ya taarifa za ndani na nje ya nchi Pia amesema wataendelea kutambua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia atangaza msamaha kwa washtakiwa wa kesi ya uhaini, “hasa kwa walioingia kwa kufuata mkumbo“

    Rais Samia amesema kuna vijana ambao ulikuwa ukiwaangalia walikuwa wakionekana wakifuata mkumbo lakini hawakuwa wakielewa kile walichokuwa wanafanya. Hivyo ameagiza vyombo vya ulinzi vijana wote waliofanya makosa kwa kufuata mkumbo wafutiwe makosa yao. Rais Samia amenukuu mstari kutoka kwenye...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tutaweka mazingira kuhakikisha tunakuza vijana kwenye uongozi

    Rais wa Jamuhuri ya muunano wa Tanzania Dkyt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutunia bunge la 13 kwa mara ya kwanza amesema serikali itaanza kukweka mazingira mazuri kwa ajiliya kukuza vijana katika uongozi na iatezesha vyuo nchini kusimamia masuala ya malezi na program za mentorship
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunajiandaa kuanza majaribio bima ya afya kwa wote

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Serikali inajiandaa kutoa huduma ya bima ya afya kwa wote ambayo itakua ni kuanza kwa mageuzi ya huduma ya afya nchini
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nitaunda Tume ya Maridhiano na Upatanishi ‘baada ya kujua kiini cha vurugu’

    Rais Samia amesema ataunda tume ya maridhiano na upatanishi na kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba baada ya kujua kiini cha vurugu kwenye uchaguzi mkuu.
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kwakuwa watanzania wamenipa ridhaa, sitachoka kunyoosha mkono wa maridhiano

    Samia kapiga kijembe taasisi za kimataifa kuwa maridhiano yatafanywa kwa taratibu za Kitanzania, na sio kutokana na presha zao. Leo Samia anachoma tu! ==== Rais Samia amesema kwakuwa watanzania wamempa ridhaa ya kuongoza nchi kwa mara nyingine basi hatachoka kunyoosha mkono wa maridhiano...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia

    Rais Samia amesema Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Oktoba 29 mamilioni ya watanzania walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Sisi wazazi wenu tungefanya mliyofanya nchi hii isingekuwa na neema kama sasa

    Ila Samia anazidi kuongezea watu hasira tu, kwahiyo wazazi wao walitoa polisi nje kuua watoto wao? Ndio anahalalisha yaliyotokea kwa kusema mkubwa hakosei? Rais Samia kasema kama wao wazazi wangefanya waliyofanya vijana (maandamano) basi nchi hii isingekuwa na neema. Amewaambia vijana...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Wananchi wamethibitisha kushiriki uchaguzi ndio njia ya kubadilisha viongozi wasioridhika nao

    Rais samia amewashukuru wananchi kushiriki vilivvyo kwenye uchaguzi kuanzia kujiandisha pamoja na kujityokeza kwa wingi kupiga kura na kuchagua vviongozi wanaowataka. Rais Samia ameongeza kwa kusema wananchi wamethibitisha kushiriki uchaguzi ndio njia ya kubadilisha viongozi wasioridhika nao...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tutajarajie nini kwenye hotuba ya Rais Samia leo akifungua bunge na kumwapisha waziri mkuu mpya

    Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa kiini macho wa wizi wa kura, maandamano, mauaji ya halaiki yaliyofanywa na police, Vyombo vya...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhutubia na kufungua Bunge la 13, leo Ijumaa Novemba 14, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=qb1BTEzjtbI Pia soma: ~ Rais Samia kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu, leo Novemba 14, 2025 ~ Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwamposa kama ni Nabii wa Mungu wa kweli mbona alimuombea rais Samia na vurugu zikatokea?

    Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu. Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala., Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu? Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Coaster Kibonde: Natamani sana Rais Samia aniteue kuwa Kiongozi katika Serikali yake

    Bwn Kibonde alisema yeye akiwa Rais wa Tanzania atampa ajira Rais Samia, lakini baada ya kubwagwa kwenye nafasi hiyo amepeleka huruma sasa apewe uteuzi. Jinsi Samia anavyopenda sifa basi anaweza kumpa uteuzi wa hata katibu tawala wa wilaya =============== Aliyekua Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchambuzi wa Siasa Herman Manyora adai Rais Samia hatomaliza miaka 5 madarakani

    Mchambuzi maarufu wa siasa kutoka Kenya, Herman Manyora, amezua gumzo baada ya kudai kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hatoweza kumaliza kipindi chake cha miaka mitano madarakani. Akizungumza katika mahojiano na Tedd Agwa, Manyora alisema hali ya kisiasa nchini Tanzania inaashiria...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Siku 100 za Rais Samia zimeanza na Mauaji, kesi za Uhaini kwa Vijana na kutaka maridhiano batili

    Wakuu, Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe, alizungumzia Sera zake na mambo atakayotimiza kwa wananchi ndani ya siku 100. Soma GE2025 - Ahadi za...
  19. JamiiForums Tanzania LIVE BUNGENI: UTEUZI WA WAZIRI MKUU MPYA, RAIS SAMIA KUHUTUBIA LEO

    https://www.youtube.com/live/HC9UL5gBJzE?si=xsGjR6En5h3eFIvJ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…