rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania UVCCM Manzese wamvaa Heche kauli ya kuundwa kwa serikali ya mpito na kuongozwa na wageni ni uhaini

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 urudiwe wakisema kauli hiyo inapaswa kupuuzwa kwani hakuna...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama katika ibada iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jimbo Kuu la Dodoma, tarehe 13 Desemba 2025
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ilijaa unyenyekevu na hisia kali sana. Imeonesha kuwa alistahili kukalia kiti cha Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jenista Mhagama alikuwa 'Kiraka'

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema aliyekuwa Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama alikuwa mstari wa mbele kuwatumikia Wananchi, Mwalimu wa uongozi na Mtu mwenye hofu ya Mungu na kwamba yeye alimuita kiraka kwakuwa kila Wizara aliyomuweka aliifanya kazi yake...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa? Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema? Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu? Yuko wapi Samia?
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Rais Samia hana uhalali wa kuiongoza nchi yetu, Serikali yake ni haramu

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara John Heche amesema kuwa Rais Samia hana uhalali wakuiongoza nchi yetu kwa kuwa serikali yake ni haramu na ni mtawala asiye halali. Ameyasema hayo leo Desemba 11,2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari akiwaambia kuwa huo ndio msimamo wa chama hicho...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

    Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 11, 2025
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba Ya Rais Samia kwa Wazee wa Dar es salaam Ndio Iliyolituliza Taifa na Kuzima Maandamano

    Ndugu zangu Watanzania, Hotuba iliyotolewa na Rais Samia kwa Taifa kupitia wazee wa Dar es salaam ndio Iliyolituliza Taifa na kuzima kabisa habari za maandamano yaliyokuwa yamepangwa na kuchochewa na wajinga wachache walio nje ya Nchi. Ambao inaonyesha wazi wanapokea vijisenti vya mabeberu na...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni muumini wa capitalism. Cheza karata zako vizuri kipindi hiki maana akija Rais mwingine hujui misimamo yake

    Moja ya falsafa kali za kutoka kiuchumi ni kua capitalist mzuri, kwa mfano nchi yetu ni changa sana hivo opportunity ni nyingi sana, Yaani kila sehem ukigusa kuna hela lakini sio kiurahisi ivo, unatakiwa uzingatie vitu hivi kadhaaa 1) President aliepo anasimamia wapi katika vita ya uchumi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 List: Rais Samia ni namba 4 kwa watu wenye nguvu zaidi duniani

    Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne. Mnaionaje hii list? Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM https://x.com/420Cousin/status/1997726092719693830?s=09
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,036

    Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036) Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi watakuwa wanafungiwa ndani kama kuku mpaka Rais Samia na Mstaafu Kikwete wanyooshe mikono juu?

    Kila kona leo isipokuwa vijijini watu wamekaa ndani na hawatoi hata pua nje. Ila Waandamanaji wamesema wataandamana mpaka Rais Samia aachie nchi. Sasa tutaishi maisha haya kila mara wakiitisha maandamanl?
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia akutana na Kaimu Balozi wa Marekani

    Ubalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baba Levo: Nawasihi vijana msishiriki vurugu kuharibu amani ya nchi yetu, kwanini ushambulie jitihada za Rais Samia?

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo amewasishi vijana na watanzania wa ujumla kuepuka kushiriki vurugu zozote zitakazoharibu amani ya taifa akieleza tayari Rais Samia tayari amehakikisha maendeleo ya Tanzania akitaja miradi ya huduma za afya na miundombinu ya SGR na bwawa...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ujumbe wa Rais Samia kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025

    "Ndugu wananchi Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anapenda kuwatakia wananchi wote heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Desemba, aidha serikali inawashauri wananchi wote ambao tarehe 9 desemba 2025 hawatakuwa na dharura kuitumia...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Ya Rais Samia Suluhu Haitaki Tarehe 09.12.2025 Watanzania Kusherekea Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana kibarua kizito sana cha kuwaongoza watu wa aina hii

    Kuna mambo mengi sana yanayoonyesha kuwa Watanzania wengi ni aidha watu wasio na akili timamu au ni watu ambao maisha yao yanaendeshwa kwa upepo. Ni watu wanaoishi kwa matukio. Yawezekana Watanzania wengi hawana life flame. Wanaishi tu bora liende. Tuchukulie ile issue ya yule Sungusungu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia haamini kabisa falsafa za Nyerere

    Nyerere alikataa familia moja kuwa na rundo la viongozi, Samia kavunja rekodi kwa kuweka watoto, wakwe na ndugu kwenye ngazi za juu za uongozi, kibaya zaidi inasemekana mtoto wake wa kiume ana nguvu kuliko hata mkuu wa majeshi huyu generali wa mchongo.
  20. JamiiForums Tanzania Anayefahamu Rais kapatwa na nini atuambie. Si kawaida yake kutosafiri nje ya nchi kwa muda mrefu hivi

    Anayefahamu kilichomkuta huyu mtu atujuze. Tangu ajiapishe baada ya uchaguzi hajasafiri mpaka sasa, na sio jambo la kawaida kabisa. Nini kimemfanya akose appetite ya kuzurula huko nje, kama ilivyo ada yake? 😁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…