rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Hayati Magufuli alijenga vituo vya afya 44 kwa miaka mitatu, Rais Samia anajenga 220 kwa miezi mitatu

    RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3 Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya...
  2. T

    Waziri Mwigulu: Serikali imekusanya Tsh Bilioni 63 tozo miamala ya simu, zitajenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa

    Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa. Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
  3. T

    Royal Tour: Rais Samia aeleza Watanzania faida ya kutangaza utalii kimataifa

    Leo Alhamisi Septemba 02, 2021 Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan wakati akisalimia wananchi wa eneo la Tegeta Jijini Dar es Salaam amewaeleza Watanzania faida ya kipindi cha filamu maarufu cha Royal Tour chenye lengo la kuitangaza Tanzania Kimataifa kwenye eneo la vivutio vya utalii...
  4. Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

    Mapema Leo wakati Rais Samia yupo Tegeta jimbo la Kawe kwa Mchungaji Gwajima akiongea na wananchi na wakazi wa Kawe waliojitokeza kumsikiliza ameongea mengi lakini kati ya hayo ni pale aliposema "Gwajiboy oyeee, tunachanja, hatuchanji? Haya mheshimiwa gwajima endelea" Kwa kauli hii Spika na...
  5. Rais Samia ana nia njema, tumuunge mkono tumtie nguvu mama yetu

    Kasi ya ustawi wa maendeleo na ujenzi wa Taifa imara imeendelea kuonekana katika uongozi huu madhubuti wa Serikali ya awamu ya Sita ya Mama yetu Mh. Rais Samia Suluhu. Ujenzi wa miundombinu katika sekta za barabara,maji, nishati elimu na afya imeendelea kupamba moto kote nchini. Kazi hiyo ni...
  6. Rais Samia anakuza utalii wetu kupitia 'The Royal Tour’

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ● Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama...
  7. Rais Samia: Mikopo ya Wahisani ina Riba kubwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amewaambia watanzania kwa sasa wahisani hawaleti misaada nchini, wanataka biashara ili kugawana faida Amesema kwa sababu hiyo ni lazima tujinyang'anye wenyewe ili kufadhili miradi ya nchi hii Ameyasema hayo alipokuwa Tegeta akisalimia wananchi akiwa katika safari ya...
  8. U

    Rais Samia afanya mazungumzo ya simu na Kansela wa Ujerumani (Angela Merkel)

    Rais Samia amezungumza na Kansela Wa Ujerumani Bi Angela Merkel Leo kutokea Ikulu ya Magogoni ----
  9. T

    Watanzania tembeeni kifua mbele, mnalia kidogo Rais Samia anawasikia, anawabembeleza

    Kwa nchi za wengine tena hata nyingi tu za majirani😂 raia kukaa mtandaoni na kuanza kuinanga Serikali, kuisema na kuibagaza kwa jambo fulani basi angeshikwa au hata Serikali ingeleta jeuri na kiburi isisikilize wananchi na ingeendelea na ilichopanga lakini hiyo haiwezi kutokea Tanzania kwa Mama...
  10. Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30% Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
  11. Z

    Spika Ndugai: Tusimuachie Mama (Rais Samia) peke yake

    "Tusimuache Mama Peke yake" Kauli hii imetolewa na Spika wa Bunge Mhe. Ndugai leo hii Bungeni wakati akithibitisha adhabu ya Mbuge wa Kawe na Ukonga. kauli hiyo ameitoa kwa hisia kali huku akimnyooshea kidole Waziri wa Mambo ya ndani kuchelea au kusita kuchukua hatua ama kukemea viashiria vya...
  12. T

    Royal Tour: Faida ya Rais Samia kurekodi kipindi kutangaza utalii kimataifa

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji Kimataifa. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ●Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa...
  13. M

    Rais Samia amepoteza ushawishi kwa wananchi

    Huu ndiyo ukweli, bila kumung'unya maneno rais Samia hana ushawishi mkubwa kwa wananchi. Nimezunguuka mitaani na kutaka kujua maoni ya wananchi juu ya Rais Samia, wengi ninaozungumza nao ni kama wamepoteza hope kwa rais Samia. Lakini kitu kingine nilichonotice ni kuwa wananchi wako aware sana...
  14. H

    Rais Samia, usije ukalaumu kuwa hukujua

    Rais Samia, anatakiwa kutambua kuwa nje ya Serikali (TISS), kuna supper intelligence ambayo TISS haipo. Huku nje ya Serikali, kuna wataalam wa uchumi ambao kwenye Wizara ya mipango na uchumi, hawapo. Huko nje ya Jeshi la Polisi, kuna watu wanajua nadharia ya usalama ambayo ndani ya Jeshi la...
  15. Q

    Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

    Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.
  16. P

    Rais Samia Suluhu tumia madaraka yako mwachie huru Mbowe

    Kwa heshima kubwa Mheshimiwa Rais SSH nawasilisha kwako ombi maalum kwamba, kwa mamlaka uliyo nayo na kwa kutumia ofisi zilizopo kikatiba mwachie huru Ndg. Freeman Aikael Mbowe. Hoja yangu naijenga katika misingi ya kuliponya Taifa na majeraha ya chuki na kutokuelewana. Mhe. Rais nakariri...
  17. Ni mapema mno kumnyooshea kidole mheshimiwa Rais, Tumpe muda!

    Nianze na suala la kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani bw. Freeman Aikael mbowe kukamatwa kwa kiongozi huyo wa upinzani kwa tafsiri ya kisiasa inaweza kuonekana ni agizo kutoka juu ili kudhoofisha upinzani au kukwamisha mapambano ya kudai katiba mpya. Lakini ukweli ni kuwa kukamatwa kwa mbowe...
  18. TLP: Tunampongeza Rais Samia kwa kuondoa VRF ya 6% kwenye HESLB pamoja na mkopo wa bilioni 106 kwa wanafunzi elfu 10 walionyimwa

    Ndugu Wananchi wenzetu, Mpaka Rais Samia anaingia madarakani zaidi ya watoto wa masikini elfu 10 hawakupewa mikopo, Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020/21 hadi 570BL FY2021/22 Kwa Sasa,kila mtoto wa masikini aliyefaulu kwenda chuo kikuu kupatiwa mkopo...
  19. Rais Samia, nilikutahadharisha mapema

    Nilikuandikia uzi humu kukutahadharisha jinsi walivyojiandaa kukuhujumu Urais wako. Sisi tunakujua fika jinsi ulivyo, wewe ni mama usiye na makuu,una huruma, una utu ,ndo maana kuna kipindi ulianza kutofautiana na JPM enzi za uhai wake kwa sababu ya utu wako. Uliapa kufanya maridhiano na...
  20. TLP Tanzania: Tunaungana na Watanzania kumpongeza Rais Samia kwa kununua Pamba "Cash" na kuongeza bei kwa 125% FY2021/22

    BEI YA PAMBA JUU,TOKA TZS 810 FY2020|21 HADI TZS 1,800 FY2021|22,KILA KONA YA NCHI NI SAMIA SAMIA|SAMIA,NASISI TLP TUNAUNGANA NA WATU HAWA, Ndg Wananchi, Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg FY 2020|21 mpaka Tshs 1,720-1,800/kg FY2021|22 kwa kilo,Hii ni sawa na ongezeko chanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…