rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia awarejesha kazini Watumishi zaidi ya elfu nne (4,000+) walioondolewa kipindi cha Magufuli kwa madai ya kugushi vyeti

    Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7. Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko...
  2. Mdogo wangu ana kipaji cha kumwigiza Rais Samia

    Habarini za leo wakuu, Leo nimekuja na hii video ikimwonyesha mdogo wangu anayeweza kumwigiza Rais Samia mwanzo mwisho.
  3. Z

    Rais Samia, safari za nje ziambatane na hotuba zenye mvuto. Hongera Mama wa Barbados, umetikisa kikao

    Suala la hotuba zisizo na mvuto limekuwa ni tatizo sugu kwa awamu zote nne zilizopita na sasa hii ya tano zimeendelea kusikika, nimeondoa awamu ya Nyerere. Wakati wa Magufuli hazikujitokeza kabisa kwa kuwa hakusafiri nje ya nchi. Rais Samia ameingia na tabia ya kusafiri nje kwa kujitangaza...
  4. Mko wapi mliodai maendeleo ya watu?; Rais Samia kayaleta

    Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2020, CHADEMA walikuwa wakilalama kwamba nchi yetu inajali maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu. Wakawa wanaishambulia miradi kama ule wa Rufiji, SGR, Fly Overs na mingine. CCM kama chama tawala wakatetea miradi hiyo na kusema hivyo vitu ni kwa ajili...
  5. Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi, Scotland: Rais Samia ametuangusha

    Wanabodi, Kama mtanzania, inawezekana umepata nafasi kufuatilia yanayojiri nchini Scotland kwenye mkutano unaohusu mabadiliko ya tabia nchi. Mkutano huu umehudhuriwa na viongozi wengi akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alihutubia mkusanyiko huo. Tofauti na nchi kama China, Marekani na...
  6. Zanzibar: Rais Samia kuwa Mgeni rasmi Maazimisho ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad. Kwa siku mbili

    Rais Samia atakuwa Mgeni rasmi katika maazisho ya Hayati Maalim Seif Hamad Shalif Mjini Zanzibar. Maazimisho yatafanyika Golden Tulip Airport Hotel Zanzibar kuanzi tarehe 05 hadi 06 Novemba 2021 siku ya Ijumaa na Jumamosi. Je, rais Samia ni rais wa Wote? Maalim Seif alifariki dunia saa tano...
  7. Hata kwenye Katiba inayotubana kuna viongozi wenye nafuu, sijaona mbadala wa Rais Samia

    Yes, ni kweli katiba yetu imepitwa na wakati na imebana sana uhuru wa kisiasa, Lakini katika maisha haya ya Watanzania licha ya hiyo katiba sijaona kiongozi mwenye nafuu kuzidi Raisi wetu. Hebu naomba ukumbuke tu kile kipindi cha magufuli yani katiba ilitumika ndivyo sivyo, uhuru wa kujieleza...
  8. Rais Samia ahutubia mkutano wa tabia nchi, asema 30% ya pato la Taifa sio endelevu

    Leo Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amehutubia mkutano wa Tabia nchi unaofanyika Scotland, katika hotuba yake fupi na kuongelea Tanzania ilivyoathirika na mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo kuongezeka kwa kina cha bahari na kutafuna ardhi yenye rutuba, kuyeyuka kwa barafu ya mlima Kilimanjaro pia...
  9. Glasgow, Scotland: Rais Samia ahutubia Mkutano wa Umoja wa Mataifa unaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Mabadiliko ya Tabianchi ni suala la Dunia nzima, hivyo suluhisho lake linapaswa kuwa la Ulimwengu wote Ameeleza kuwa hatua za pamoja zikichukuliwa na Mataifa, inawezekana kuokoa Ulimwengu. Ametoa wito kwa Mataifa yaliyoendelea kusaidia yale...
  10. C

    Huu ni utoto na ushamba. Hizi propaganda za uongo zinamsaidia nini Rais Samia?

    Inasikitisha sana kuna machawa pro max wa kiwango cha dunia, alivyokuwa new york wali edit screens za matangazo za Times Square, cha ajabu nini hadi mu edit? Si hela ilipwe tu tangazo liruke kwenye zile screens Ali Kiba, Diamond, Zuchu matangazo ya albamu zao yasharuka sana Sasa kubwa zaidi...
  11. Daraja Korofi la tangu Uhuru la Fundimbaga -Tabora mita 45 kwa muda mchache liko tayari

    Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA, Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga, Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma...
  12. J

    Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

    === Wananzengo anayejua maana ya arrangement hii kwenye hii COP26 Glasgow Scotland iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania pembeni ya Rais Joe Biden wa Marekani, === <Mkao huu kiprotokali unamaanisha nini?>
  13. Rais Samia na mitihani migumu

    Sijui sana kuhusu awamu nyingine za uongozi, lakini nimemuona Kikwete, nimemuona Magufuli, na sasa namuona Samia. Kati ya Marais hao, siajona aliyepitia mambo mazito ndani ya muda mfupi kumzidi Samia: 1. Kuchukua uongozi kufuatia kifo cha mtangulizi wake. 2. Suala la Corona. Huu umekuwa...
  14. Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26). Anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo (Novemba 02, 2021) na pia...
  15. Majaliwa asema CCM kumpeleka kwa wananchi Rais Samia 2025

    Dodoma.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 29, 2021 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma wakati akifungua mafunzo ya...
  16. Q

    James Mbatia: Kwa sasa Rais Samia hawazi matatizo ya wananchi anawaza uchaguzi wa 2025 tu

    “@ChademaTz , @ACTwazalendo , #CUF na sisi @nccrmageuzihq hebu tuondoe viburi vyetu tukae pamoja tuzungumze kuhusu nchi yetu, kwann tukose furaha kwenye nchi yetu? Tuoneshe mshikamano wetu katika kupigania haki katika nchi yetu”. - M/kiti Taifa Ndugu #JamesMbatia #KongamanoLaCUF “Samia Suluhu...
  17. Rais Samia: Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki, akitoa rai kwa Mahakama kuendelea kutoka Hukumu na Maamuzi ya Haki kwa Watu wote. Akizungumza leo Oktoba 28, 2021 amesema, "Serikali itaendelea kuelimisha Jamii juu ya...
  18. Rais Samia, pamoja na sifa unazomwangia Jumaa Aweso, huyu siyo mwaminifu

    Waziri Aweso kila siku yuko kwenye kamera na waandishi na yaonekana rais anaamini ni mtendaji mzuri. Kwa tabia za Waziri huyu na watendaji wa wizara hii, tatizo la maji halitakwisha nchi hii. Ifikie hatua miradi yote inayotangazwa, kama haifanyi inavyotakiwa, wahusika wote wafukuzwe kazi. Aweso...
  19. Rais Samia alalamika maneno yake kugeuzwa juu chini, awapa viwanja wachezaji Twiga Stars kwa kutwaa kombe la COSAFA

    Leo Rais Samia Suluhu atapokea kombe la COSAFA Ikulu ya Dar es Salaam kutoka timu ya wanawake, Twiga Stars ililipata kombe hilo nchini Afrika Kusini baada ya kuishinda timu ya wanawake ya Malawi. Kuwa nami kwa yatakayojiri ========= Anaeongea sasa ni Katibu mkuu, Dkt. Hassan Abbas na...
  20. Carol Ndosi: Rais Samia aache kusisitiza kila mara kuwa yeye ni Rais mwanamke, haipendezi

    Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi lazima aseme kuwa yeye ni Rais mwanamke na yeye ni mwanamke. Amesema kuwa amekuwa akirudia mara kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…