rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Vita dhidi ya Rais Samia ni vita dhidi Tanzania, hatutakubali mchafue taswira ya Rais wetu

    Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu, ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo. Kikundi cha wapuuzi wachache wanaopambana kuchafua maamuzi na utendaji kazi wa Rais Samia tunatangaza vita...
  2. Rais Samia anarudisha mikutano ya hadhara ya vyama siasa

    Ni kilio cha muda mrefu cha wanasiasa wa Tanzania hususan vyama vya upinzani. Wanataka kurudishwa kwa mikutani ya hadhara ambayo ni haki yao ya Kikatiba, lakini iliminywa wakati wa utawala wa awamu ya tano chini ya Hayati Rais John Pombe Magufuli. Leo kwenye mkutano wa wadau wa siasa nchini...
  3. Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

    Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa, Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima. Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi. KWA UFUPI: ========...
  4. Siasa za kutishana hazitoimarisha Amani- Rais Samia

    Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo. Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria mama anashusha nondo
  5. Polepole na wenzake wasingetamani kusikia Rais Samia akigombea 2025, Nawakumbusha Rais Samia yupo hadi 2030

    Polepole anawakilisha kundi la watu ndani ya CCM ambao hawataki na wasingependa kusikia Rais Samia Suluhu Hassan akifanya vizuri na kuipaisha awamu ya Tano. Polepole na wenzake wasingependa kuona Rais Samia akigombea kwa awamu nyingine mwaka 2025, wanatamani Rais Samia aishie 2025. Polepole...
  6. M

    Hivi tokea Rais Samia aingie Madarakani ameshazungumzia na Kukemea Rushwa ya Ngono Shuleni, Vyuoni na Makazini?

    au huenda Yeye ( kama Mwanamke ) hiki siyo Kipaumbele chake na kwamba kila Mwanamke wa Kitanzania ailinde 'Rasilimali Tamu' yake Mwenyewe tu? Niyaonayo kwa hili ni makubwa mno tu.
  7. Rais Samia wananchi wanalia sikia kilio, nchi inaenda arijojo!

    Hivi kweli kipande Cha sabuni enzi za Kikwete kilipanda kikafika shilingi Mia, eti juzi kwa utawala wako kimefikia shilingi 300/; nakumbuka mtungi wa Gesi ulikuwa kama sio 25000/; ulikuwa 30000/:leo hii kweli kutoka 45000/; mpaka 60000 serikali Iko kimya? Kilo moja ya sukari ni 2800/: kabisa...
  8. Rais Samia: Hayati Magufuli ndiyo aliuwasha moto kwenye madini

    Rais Samia akihutubia kwenye hafla ya utiaji saini mkataba wa uchimbaji madini amesema moto uliowashwa na hayati rais Magufuli kwenye sekta ya madini hautazimika na Tanzania haitarudi nyuma tena kulala usingizi wa pono kama zamani. Rais amewaonya wote wanaotorosha madini waache mara moja. My...
  9. Rais Samia awaonya Viongozi wanaotumia ubabe migodini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Wakuu wa Wilaya, Wabunge na Serikali za Mitaa kutoa ushirikiano mzuri kwa Wananchi badala ya kufanya ubabe Migodini. Amesema, "Wabunge ambao maeneo yenu miradi hii ipo, iwasaidie kujenga Maendeleo na nchi sio iwajenge ninyi binafsi. Kuna ile...
  10. Rais Samia: Hatutaruhusu utoroshwaji madini kuendelea. Zifanyike doria kuwabaini wahusika

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo 2025, Serikali inalenga Sekta ya Madini iweze kuchangia 10% ya Pato la Taifa. Ameeleza hayo katika Hafla ya Utiaji Saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini. Amesema, "Tunasikia Madini yamepenya huku na huku, jitihada zinafanyika...
  11. Rais Samia: Polisi hawatakiwi kutisha watu wanapowakamata

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu Akiwa katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kazi No. 1/2021 amesema, "Wakati mwingine mtu anakamatwa tu bila kosa la maana. Zipo tuhuma za...
  12. Rais Samia fahamu kwamba Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa elimu, Wakuu wa wilaya na walimu wakuu wana mtandao wa wizi wa pesa za madarasa

    Mimi ni mwalimu wa miaka mingi. Nina mates wangu wengi ktk taaluma ya ualimu mikoa mingi ya nchi hii. Hii siyo mara ya kwanza kuwa na ujenzi wa madarasa, tatizo ni ubora duni unaotokana na wizi wa watendaji wakuu wilayani na halmashauri. Wizi mkubwa ni wa Sementi, mbao na mabati kiasi kwamba...
  13. Mfumuko wa Bei Marekani na Ulaya: Nako Rais Samia alaumiwe Magufuli akumbukwe?

    Hapa Tanzania bwana siku hizi, kiila kitu utasikia lawama zinaenda kwa mama wa watu Rais Samia. Yani hata mahali hahusiki kabisa utasikia analaumiwa Mama wa watu kiasi kwamba tunajiuliza mnabebesha mizigo asiyostahili kiwa sababu yeye ni mwanamke na ninyi mmezoea viongozi wanaume au ndio hizo...
  14. Ikulu, Dar: Tanzania na Kenya zakubaliana kushirikiana katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona

    Tanzania na Kenya zimekubaliana masuala mbalimbali ikiwemo kuimarisha Mpaka, kushirikiana katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona na kushirikiana kwenye Sekta ya Utalii. Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam baada ya Utiaji Saini wa Hati za Makubaliano na Ushirikiano...
  15. Ni kweli Rais Samia sio mfuatiliaji? Wasaidizi wake wana msaada gani? Kazi yao ni nini? Au na yeye hashauriki?

    Ukweli ni kwamba kuna matukio Rais wetu amekuwa akiingizwa mkenge ni pengine kwa makusudi au kwa bahati mbaya hasa na wasaidizi wake! Mh Rais alipoingia madarakani alichagua wasaidizi kutoka kada mbali mbali kuanzia uchumi, siasa, diplomasia na kila kona! Lakini pamoja na wasaidizi hao bado...
  16. Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Kuelekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa leo tarehe 08 Desemba, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu wananchi nawasalimu kwa jina la...
  17. Tundu Lissu apongeza kufutwa kwa kesi, atamani kauli ya Serikali ya Rais Samia

    Imefahamika kwamba kesi tano zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu zimefutwa tangu Rais Samia aingie madarakani. Gazeti la Mwananchi, limezungumza na Tundu Lissu aliyepongeza kufutw akwa kesi hizo kwa kusema ni JAMBO JEMA. Licha ya kwamba hakuna mahali ambapo Serikali...
  18. Nadhani Mbowe siyo gaidi

    So nimekuwa nikifollow up case ya Mbowe kupitia Twitter. Nasoma ushahidi uliotolewa hadi sasa. Ninaona kuna element za kwamba Mbowe alikuwa anapanga mipango kadhaa ya kisiasa. Mfano kuna witness mmoja aliyekuwa mpiga picha wa Sabaya, alieleza jinsi Mbowe alivyomtafuta ili ajue moves za Sabaya...
  19. CHADEMA wampongeza Rais Samia kwa kuimarisha Uhuru wa kutoa maoni

    === Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wake Salum Mwalim Juma wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia kwa Vitendo Uhuru wa kutoa maoni na kukusanyika, Ndugu zangu wa Chadema huu Sasa ndio Uzalendo wa kweli kwa...
  20. M

    Rais Samia ruhusu bidhaa za ujenzi toka nje, unatuua wananchi

    Mh. Rais ongea na wafanyabiashara wa ndani washushe bei ya bidhaa za ujenzi hasa bati kama wataleta visingizio "nonesense" Ruhusu bidhaa hizi zitoke nje kwa wingi ili tupate unafuu wa bei wananchi wako. Kwanini Serikali yako inataka kishindwa kila kitu mama. Hivi hilo baraza linakusaidia nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…