rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 “Mimi ndiye Rais” “Mimi ndiye Amiri Jeshi Mkuu”. Maneno haya wanayatumia vibaya kuanzia Jakaya, Magufuli na sasa Samia

    Hii kauli ya “Mimi ndiye Rais” ni Kama vile inatumika kutisha wanaohoji kuhusu haki zao Mwaka 2015 September wakati wa kuelekea uchaguzi Kikwete aliwatisha Wananchi kwamba “Mimi ndiye Rais sitaki mtu kuandamana, na mtakiona cha mtema kuni.” Ina maana ni kuwatisha Wananchi wasitimize haki yao ya...
  2. GE2025 Rais Samia: Msivunje amani sababu ya uchaguzi. Kuweni kama mimi, mama yenu, nachokozwa sana ila sichokozeki

    Kumbe mama anachokozwa sana, naye achokozeki! Ni likuwa silijuwi hilo ==================== “Msivunje amani sababu ya uchaguzi. Kuweni kama mimi, mama yenu, bibi yenu, dada yenu; nikichokozwa msichokozeki. Niwaombe sana mtunze amani na utulivu. Tumejipanga vyema, kwa hiyo hakutakuwa na pepe wala...
  3. GE2025 Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma agalagala barabarani kuziomba kura za Rais Samia

    Vituko na vibwanga vya wanasiasa vinazidi kuendelea. Huyu mbunge wa viti maalum akiwa na wanachama wengine wameonyesha ushamba na uchawa wa pro max katika kuomba kura. Nipo pale mbele naendelea kushuhudia vituko vya karne =============== Katika kipindi hiki cha kampeni za Urais, Ubunge na...
  4. GE2025 Rais Samia: Tunafanya kazi ili kuinua Taifa na utu wa mtu na ndio maana tunasema Kazi na Utu, tunasonga mbele

    "Tunafanya kazi ili kuinua Taifa na utu wa mtu na ndio maana tunasema Kazi na Utu, tunasonga mbele, sasa hii ni kwa Taifa hata mtu mmoja mmoja, ukifanya kazi ipasavyo unainua utu wako mwenyewe kwasababu kazi itakulipa ujira na ujira utatumia kufanya maendeleo yako binafsi, lakini ukifunga mikono...
  5. GE2025 Samia: Wenzetu wanayolalamikia hakuna lisilozungumzika, mengi tumekaa, tumeyafanyia kazi, tusilete vurugu

    Naona mama Samia anapeleka ujumbe kwa CHADEMA bila shaka. Lakini akumbuke kama yangekuwa yamefanyiwa kazi basi vyama vyote ikiwemo CHADEMA ingeshiriki uchaguzi. Halafu bingwa angejulikana katika sanduku tena bila uonevu. ======================= “Wenzetu wanayolalamikia hakuna...
  6. GE2025 AZAM TV mnatukosea wateja wenu na kuwagawa, kwa kuweka hotuba ya mgombea wa CCM ambazo kiuhalisia ni kampeni!

    Kumekuwa na utaratibu wa kila siku ya mechi kubwa dakika chache kabla ya mechi kuanza mnaweka hotuba ya mgombea wa CCM au machawa wake ikiambatana na ahadi kibao ambazo kiuhalisia ni kampeni! Hii ni dhulma kwa wateja wenu wasiomuunga mkono huyo mgombea lakini pia mnajenga chuki na matabaka kwa...
  7. B

    Rais samia amemzidi Magufuli, Tume imeweka usawa, hatukupaswa kuwa masikini- mzee Paschal Mayala

    19 September 2025 RAIS SAMIA AMEMZIDI MAGUFULI, TUME INEC IMEWEKA USAWA, HATUKUPASWA KUWA MASIKINI - MZEE PASCHAL MAYALA https://m.youtube.com/watch?v=oftPkSsFP4I Mwandishi mkongwe mzee Paschal Mayala akiwa studio. Nguli huyu wa tasnia ya habari pia ni mwanachama hai /active katika mijadala...
  8. R

    GE2025 Rais Samia: Ahadi ya CCM Miaka 5 ijayo ni kudumisha Demokrasia, Utawala Bora na kujenga Taifa linalojitegemea

    Mgombea wa nafasi ya rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassana akizungumza na Wananchi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo, tarehe 18 Septemba, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar amesema ahadi za Chama cha Mapinduzi...
  9. GE2025 Felista Njau abadili mkakati, aingia masokoni kumnadi Rais Samia

    Felista Njau, ameibua mbinu mpya kwa kuacha mikutano ya hadhara na badala yake kuingia moja kwa moja masokoni, akiwafikia wakina mama na wafanyabiashara wadogo. Njau, ambaye sasa ni sehemu ya timu ya kampeni za CCM, anasema mkakati huo unalenga kuwafikia makundi ambayo mara nyingi hayapati...
  10. GE2025 Vijana wa Zanzibar: Rais Samia anatosha kuendelea kuwa Rais wa Tanzania kutokana na maendeleo aliyoyaleta

    Kuna baadhi ya vijana wanachokizungumza hakileti maana yoyote kwenye maendeleo yao binafsi, wanaishia kufanya uchawa usio na manufaa kwao ================= Baadhi ya Vijana kutoka Visiwani Zanzibar wameeleza namna ambavyo Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt Samia Suluhu Hassan...
  11. GE2025 Rais Samia: Hakuna maendeleo yanayomalizika katika awamu moja

    Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema maendeleo ni mchakato wa hatua endelevu na hakuna awamu inayoweza kuyakamilisha yote. Akizungumza leo kwenye mkutano wa kampeni Makunduchi, visiwani Zanzibar, Dkt. Samia...
  12. Apostle Fadhili Kemuel: Ni laana kumtukana rais wa nchi

    Hekima ni ulinzi Usiruhusu itikadi Yako ikufanye kukosa adabu. Usimtukane RAIS wa nchi. Hekima ni ulinzi"- Apostle Fadhili Kemuel
  13. GE2025 Wasira: Kwa sasa ni Rais Samia, atakayekuja baada yake Mungu ndiye atakayeamua

    Wasira: Kwa sasa ni Dk Samia, atakayekuja baada yake Mungu ndiye atakayeamua.
  14. GE2025 Shilole: Uwezo wa Mama kwenye siasa ni mkubwa mno. Kwa kweli ni Role Model

    TATHMINI YANGU MIKOA 10. . Mimi kama msanii, Namshukuru Mungu, naishukuru CCM kupitia Mwenyekiti wake na Mgombea Urais, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa nafasi ya kwenda mikoani kwenye kampeni. Kama msanii, mimi na wenzangu tulikuwa na jukumu la kuburudisha...
  15. GE2025 Kiongozi wa dini Kigoma aeleza sababu za kumchagua Rais Samia uchaguzi mkuu 2025

    Mmoja wa Viongozi wa Dini kutoka Manispaa ya Kigoma amesema wameshuhudua mabadiliko makubwa Mkoani humo tangu Rais Samia Suluhu ashike madaraka. Ametaja miradi mbalimbali iliyotekelezwa na kuwaasa wananchi kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuendelea na uongozi wake katika nafasi ya Rais wa...
  16. GE2025 Nafanya biashara kwa sababu ya mama Samia

    Naona machawa wanaendelea kukichufua na kumkingia kifua Rais Samia Lakini nikiitizama hii video ya hawa wafanyabiashara naona walilamba asali kwanza ndio wakapata nguvu ya kuongea yote
  17. GE2025 Rc Ruvuma atoa shukrani kwa rais Samia kutoa magari mapya 24 kwa ajili ya shughuli za jeshi la polisi

    Rc Ruvuma atoa shukrani kwa rais Samia kutoa magari mapya 24 kwa ajili ya shughuli za jeshi la polisi
  18. Rais Samia: Leo nimepata nafasi, naitazama mechi ya Simba na Yanga

    Bi Mkubwa leo kaamua kumpumzika kuwacheki Yanga na Simba mechi ambayo inaendelea kwa sasa uwanja wa Mkapa. Anawatazama moja ya wapiga kura na wanufaika wa goli la mama
  19. O

    Tetesi: Mange: Serikali yatoa maagizo ya kuwatambua Viongozi wa Dini wasiomuunga mkono Rais Samia

    Ameandika Mangekimambi "Amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku Mchengerwa, mkwe wa Rais katuma barua kwa wakuu wa mikoa wote wapeleke listi ya wachungaji ambao hawapo na Samia. Yani ni hivi Mchengerwa anataka listi ya majina ya wachungaji ambao hawapo upande wa Samia na list itaenda ikulu...
  20. Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi

    Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…