rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Upinzani umeridhika na utendaji kazi wa Rais Samia. 2025 ni kama kumsukuma mlevi. Njia nyeupe ili aendelee kuchapa kazi

    Kwa ujumla sisikii hata ile minog'ono kuwa kuwa serikali ya CCM chini ya mama Samia haitekelezi inavyotakiwa ilani ya CCM. Kazi inaendelea kupigwa kwa nguvu. Miundombinu inaimarishwa na bila ajizi kila kona ya Tanzania miradi ya kuimaridha miundo mbinu inaendelea. Sekta ya elimu ndio iko...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia usiende China ukaacha nchi haina maji wala umeme

    Kinachoendelea Tanzania ni Uhaini unaofanywa na baadhi ya Mawaziri wa serikali ya awamu ya sita, haiwezekani mgao wa maji ufike mpaka Vijijini hivi ninavyoandika nipo Marangu mtoni maji yanatoka kwa Don mmoja aliyechimba maji chini. Kama hiyo haitoshi leo ni siku tatu umeme unakatika saa kumi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapoteza ushawishi mitaani. Sare zake hazivaliki

    Ndugu zangu miaka kadhaa iliyopita hakika chama hiki kilijizolea umaarufu mkubwa Sana hasa kwa kundi la vijana, Vijana walijiona fahari Sana kujiita makamanda, vijana wengi hasa wa vyuo vikuu na vyuo vya Kati walikuwa mtaji mkubwa Sana wa chama hiki, Hakika vijana walikuwa na hamasa kubwa Sana...
  4. JamiiForums Tanzania Ni vikwazo vipi vinadumaza matumizi ya gesi ya kupikia?

    Wizara ya Nishati imetangaza kuandaa kongamano la nishati safi ya kupikia yaani ‘Clean Cooking Conference’ ili kuchunguza vikwazo vinavyodumaza matumizi ya nishati za kisasa za kupikia. Kongamano hilo linalenga kupendekeza mikakati ya kufanikisha upatikanaji wa nishati safi, za bei nafuu na...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia wasikudanganye nikodishie Helicopter nikakuonyeshe Wakubwa Watano waliochepusha Maji ya Mto Ruvu

    Tena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa. Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kila Waziri aliyeteuliwa na Rais Samia ajiulize ataifanyia nini Wizara aliyopewa ili kuwasha taa ya matumaini kwa Watanzania

    Ndugu zangu Rais wa Marekani John F Kennedy amewahi kuwaambia Wamarekani kuwa wasijiulize Marekani itawafanyia Nini Bali Wajiulize Wataifanyia Nini Marekani, Nimeamua kuazima na kukopa maneno hayo kutoka kwa Rais huyo kutoa Rai na Ushauri wangu kwa waheshimiwa Mawaziri wetu walio teuliwa na Rais...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia mfute kazi Waziri Mkenda; anakuchafua nje ndani

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Nawapongeza Baraza la Mitihani (NECTA) kwa kufanya kazi nzuri ya kufichua uovu uliofanywa na Shule ya Chalinze Islamic Modern School kuwabadilishia wanafunzi 7 namba za mitihani kwa sababu wanazozijua wao wenyewe. Lakini...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Vijana watajitokeza kwa wingi sana kumpigia kura Rais Samia uchaguzi Ujao, Ni uchaguzi utakaoweka Historia ya vijana kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Ndugu zangu kwa miaka mingi na kwa kipindi kirefu na kwa chaguzi nyingi vijana wa kitanzania wamekuwa wakijitokeza kwa kiasi kidogo Sana kupiga kura na kushiriki katika uchaguzi, Japo wakati mwingine wamekuwa wahudhuriaji Wazuri wa mikutano ya vyama vya siasa lakini wamekuwa wa mwisho linapokuja...
  9. JamiiForums Tanzania Mgawo mkali wa umeme na maji unaoendelea nchini ni wazi kabisa watendaji wa Serikali mnaihujumu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Hiki kinachoendelea kimyakimya ni mchakato wa kuturudisha kuleee miaka ilee ya 2005, 2006, 2007...... miaka ambayo Dar Es Salaam na Tanzania kwa ujumla ilikua imepambwa na mikokoteni ilishosheheni madumu ya korie yaliyobeba maji na magari yenye matank ya maji kila kona. Kwa kasi ya ajabu...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mteue ACP Theopista Mallya awe Mkuu wa Trafiki Nchini, asante kwa kumteua Kaganda

    Salaam Wakuu, Rais Samia ameonesha Ushujaa ukomavu mkubwa na Ushujaa wa nguvu, kumteua Suzan Kaganda kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi. Kutokana na ajali kuongezeka barabarani, ni muda mwafaka rais kumchukua Mkuu wa Polisi Mkoa wa Rukwa Kamishna Msaidizi wa Polisi...
  11. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Suzan Kaganda ateuliwa kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu

    Rais Samia Suluhu Hassana amempandisha Cheo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Suzan Kaganda kuwa Kamishna wa Polisi. Vile Vile Rais Samia amemteua Kamishna Kaganda kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi. Kamishna Kaganda anachukua nafasi ya Kamishna wa...
  12. JamiiForums Tanzania RIPOTI: Mapendekezo 19 ya Kikosi Kazi cha Rais Samia kuhusu uendeshaji Siasa nchini

    1. Kuhusu Mikutano ya Hadhara na Mikutano ya Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kikosi Kazi kinapendekeza Sheria ya Vyama vya Siasa ifanyiwe marekebisho ili: a) kulipatia Baraza la Vyama vya Siasa mamlaka ya kuishughulikia suala la uvunjifu wa maadili ya Vyama vya Siasa kupitia Kamati yake ya...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie, Polisi wanatumaliza, Polisi ilindeni CCM itawale milele ila roho zetu tuachieni

    Najua Polisi wa Tanzania wamejipa jukumu la kuhakikisha rais unatawala Milele. Waambie wakutetee lakini roho zetu watuachie. Watanzania wote ni ndugu uwe Polisi Mgambo au Mpiga debe Soma Ujumbe kaandikiwq baba Askofu ===== POLISI WAFANYA MAUAJI YA KUTISHA KIJIJI CHA IKWAMBI, KATA YA MOFU...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kutawala kwa picha ya Rais Samia uwanjani ni ishara ya mafanikio katika kujenga umoja wa kitaifa na kukubalika kwake

    Ndugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja, amefanikiwa kuishi katika mioyo ya watanzania , Amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania Sasa picha ya Rais Samia inashangiliwa...
  15. JamiiForums Tanzania HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

    Salaam Wakuu, Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi, Oktoba 23, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Antoine Tshisekedi, Oktoba 23, 2022 kwa Ziara ya Kiserikali
  17. JamiiForums Tanzania Umagufulification wa Rais Samia

    Sasa yule jamaa wa ccm kakamatwa na kufungwa kwa kutoa maoni yake tatizo ni nini je haturuhusiwi kutoa maoni au kumsema Rais!! Rais lazima atambue anaishi kwa kodi za walala hoi hvyo lazima asemwe ni ujinga kumkamata mtu kisa kamsema Rais !! Samia Sasa kafikia point ya mwisho ya ule...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Kiongozi wa ndoto ya Watanzania

    Ndugu zangu Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kuwa Mama Samia Ni Rais wa Ndoto ya watanzania ya muda mrefu, watanzania siku zote walihitaji kiongozi atakaye kuwa msikivu kwa matatizo na kero zao, kiongozi atakaye kuwa na moyo wa kuguswa na shida zao, kiongozi atakayekuwa na moyo na ngozi ya...
  19. JamiiForums Tanzania SIMIYU: Levinus Kidanabi Jela miaka saba na faini mil 15 kwa kumkashifu Rais Samia

    VIjana wawe makini na mgroup ya Watsapp === Bariadi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Sh15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Rushwa ndani ya chama ni tabia

    Rais Samia akipokea ripoti ya kikosi kazi ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi amesema rushwa katika vyama vya siasa ni tabia. Ametolea mfano baadhi ya vyama kuwalaza watu kwenye maeneo mazuri ili kupata kura za wajumbe. Amesema kazi ya kupambana na rushwa ni ya kila mmoja na rushwa ipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…