rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana kumuona Rais Samia akiwa amekasirika

    Jana nilifarijika Sana kuona Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan akiwa amesarika na kuona hadharani wale wote wanaotafuna Mali za nchi. Alilazimika mpaka kutumia neno '' Stupid'' katika hotuba yake. Siku za nyuma nilikuwa naingia na wasiwasi juu ya kauli zake za ' 'sitafoka" sitaki...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ili kuondokana na huu uchafu, harakisha Katiba Mpya

    Katiba pendekezwa ya Warioba, ilisema kuwa mawaziri wasiwe wabunge ili Rais awe na uwanja mpana wa kuwapata wasaidizi kwenye nafasi za uwaziri. Siku za nyuma, wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere, kabla ya mabadiliko ya katiba, mawaziri hawakuwa wabunge. Leo katiba yetu hii mbovu inamlazimisha...
  3. JamiiForums Tanzania Inasemekana Rais kajifungia usiku mzima akichekecha wapigaji. Tutarajie mkeka wakati wowote kuanzia leo

    Usipomwelewa Rais Samia anaposema "mimi sio vical" utakuwa unakosa vitu vingi sana!Jiulize tu kwamba,mtu asiye na nia njema na Nchi hii,angeweza kudislose ishu ya "over invoicing?" Kwa mara ya kwanza tangu nimjue Mama jana ndio katamka maneno magumu ever"Pumbavu".Kwa mara ya kwanza bold kabisa...
  4. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu hamuioni ripoti ya CAG?

    Ni masaa sSasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa Serikali ya awamu ya tano wako kimya. Twitter Zitto Kabwe yuko kimya kabisa au ndiyo kusema asali tamu sana?
  5. JamiiForums Tanzania Machozi ya Mwita Waitara (Mb) Vs Ubabe wa RC Mzee: Hitajio la Busara za Rais Samia Suhuhu

    Machozi ya waitara,ubabe wa Julius Marwa Tarime - Mara Bila shaka yanayoendelea mkoani mara wilayani tarime kata ya nanyungu si ya kuachwa na kutazamwa yapite bali busara za mama zinahitajika haraka Labda niwakumbushe kidogo watanzania wenzangu eneo hili lenye...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo wakati akipokea Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ikulu Jijini Dar es salaam amehoji kuhusu mikopo chechefu na kusema kuna baadhi ya Maafisa wa Benki wanashirikiana na Wateja kupitisha mikopo kinyume na inavyotakiwa kisheria...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022 leo Machi 29, 2023 Ikulu ya Magogoni, Dar es salaam. CP. Salum R. Hamduni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

    Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani. Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa aliyoyasema Rais Samia kuhusu ATCL, ni vyema Mkurugenzi akajiuzulu mapema kabla hajatumbuliwa

    Leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa sana na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021-2022: Rais Samia ataka baadhi ya mashirika yasiyo na tija kufutwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo amepokea ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) pamoja na TAKUKURU. Katika ripoti hiyo CAG aliyataja mashirika 14 yanayoendeshwa kwa hasara ikiwemo TRC, ATCL na NDC. Rais Samia alisema kwa muda baadhi ya makampuni yamekuwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ukimsiliza vizuri Rais Samia utagundua Tanzania iko mikono salama

    Rais Samia Suluhu Hassan amepokea ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka 2021/2022 kutoka kwa CAG pamoja na ripoti ya TAKUKURU. Baada ya kupokea ripoti hiyo Rais Samia Suluhu amesema "Ukisoma ripoti ya TAKUKURU ya mwaka juzi nilipopokea kijiti na ripoti ya sasa utaona kabisa kuna...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwenye viwango vya Siasa na Demokrasia tumeshuka!

    Rais Samia anesema kwenye Viwango vya Siasa na Demokrasia vya Kimataifa hatujafanya vizuri hivyo tumeshuka chini Source TBC ======= Akizungumza baada ya kupokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU 2021/2022, Rais Samia amesema: "Kwenye uchaguzi na Demokrasia tumeshuka. Tulikuwa na pointi 51, sasa tuna...
  13. JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais Samia aondoke madarakani kwa heshima kuliko Wananchi/Bunge kumwondoa

    Upi mtazamo wako kwa yale yanayoendelea hapa nchini? Je, endapo itamlazimu kiongozi wa serikali kuondoka ipi itakuwa njia sahihi? Ndani ya miaka hii miwili watanzania wameshuhudia na kupitia katika kipindi kigumu pengine kuwahi kutokea Tanzania. Ni kipindi ambacho huenda kinyozi wa saluni...
  14. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa aivaa Serikali kutokana na kushuka kwa nidhamu ya watumishi wa umma

    Mbunge msitaafu wa Jimbo la Iringa mjini kupitia CHADEMA mchungaji Peter Msigwa ameivaa serikali ya Rais Samia kutokana na kushuka Kwa nidhamu ya watumishi wa umma nchini. Msigwa amesema utendaji kazi wa watumishi wa Serikali kwa sasa ni wa hovyo sana tofauti na kipindi cha Rais Magufuli. Sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia aunda kamati kutathmini utendaji kazi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati kwa ajili ya kutathmini utendaji kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ili kuiwezesha Wizara hiyo kutekeleza malengo ya Serikali katika kukuza diplomasia ya uchumi na ushirikiano wa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia, nimefurahi sana Taifa Stars Kufungwa ili Pesa zako zikasaidie hasa Watu wenye Uhitaji na siyo Goigoi wa Viwanjani

    GENTAMYCINE mapema tu leo nilijua kuwa Taifa Stars itafungwa na nilianzisha Uzi wa Kutahadharisha hapa hapa JamiiForums na nashukuru Wachache mno walinielewa japo Nilifumba. Rais Samia acha kupoteza Pesa za Watanzania Kusaidia Watu wasiojielewa (Wachezaji wa Taifa Stars) na badala yake peleka...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ditopile afuturisha Dodoma, wamuombea Rais Samia

    Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameaandaa Iftari na Dua Maalum ya Watoto Yatima na Wajane kuiombea Nchi na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hafla hiyo ya Iftari imefanyika...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Latifa Juwakali: Rais Samia ni Mfano wa Kuigwa Amefanya Mkabwa Ndani ya Miaka Miwili.

    MHE. LATIFA JUWAKALI ASEMA RAIS SAMIA NI MFANO WA KUIGWA, AMEFANYA MAKUBWA KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI. Mbunge wa Viti Maalum CCM Vijana Mkoa wa Unguja Mhe. Latifa Khamis Juwakali amesema kwa Miaka Miwili ya Madarakani Rais Mhe.. Samia Suluhu Hassan amekuwa mfano wa kuigwa maana amefanya...
  19. JamiiForums Tanzania Karibu Kamala Harris, Asante Rais Samia Suluhu

    Kuna kipindi Rais Samia alienda Marekani, halafu ikatokea kwamba hajafika Ikulu ya Marekani. Baasi humu mitandaoni akaanza kushambuliwa hasa na watu wa CHADEMA kwamba hajaonana na viongozi wakuu wa Marekani kisa Tanzania hakuna demokrasia. I dont think kama walisema kweli ila sawa hakwenda...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa sasa tunamuhitaji Rais Samia Suluhu kuliko Katiba Mpya

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Kwanza pongezi sana kwa kila anayetamani Katiba Mpya kwa sababu nia ya Rais Samia Suluhu kutekeleza nia yake inaonekana wazi. Kwenye Bunge lijalo la Bajeti, Wizara ya Katiba na Sheria inaenda kuomba pesa kwa ajili ya mchakato wa Katiba Mpya. Ni wazi 'Mama'...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…