rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa wahandisi kumnunulia rais Samia helicopter na 100,000,000/= je ni kwasababu ya kutowabana wahandisi kwenye miradi ya Umma?

    Kwanza wahandisi hawa wamejuaje nia ya ra rais kugombea urais, nijuavyo hadi sasa rais Samia hajatangaza nia ya kugombea urais 2025. Pili, zawadi hii ina maanisha nini hasa kwa watanzania? Barabara na majengo mengi yanajengwa kwa kiwango cha chini sana na ufuatiliaji wa ubora wa kazi za...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Bila CCM imara Tanzania itayumba

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba Machifu kuhamasisha watu waowaongoza kuchagua vongozi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika mwaka huu kwani chama hicho kimekuwa kikisimamia serikali vizuri. Akizungumza na Machifu hao leo Jumamosi Julai 20 2024 Ikulu...
  3. JamiiForums Tanzania Nashauri Rais Samia asipokee kila kitu anachopewa na makundi mbalimbali

    Leo nimeona wahandisi wamempa Rais helikopta ya kampeni yaani wamemnunulia means ni yake hata akimaliza urais anaweza ondoka nayo, hongereni sana ma engineer. Rais si kila jambo lazima tukufundishe we hapo ulipo upo Kimwili lakini Kiroho pia , umekalia Kiti chenye mamlaka, hivi vitu unavyopokea...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je African Chief Act ya mwaka 1969 bado inafanya kazi? Kama inafanya kazi kwa nini Rais Samia ameagiza machifu kufanya kazi?

    Hii sheria ilitungwa na Bunge mwaka 1969 na kifungu cha pili cha sheria hii kilizuia na kukataza Machifu kufanya shughuli zozote za kiutawala. Sasa leo nimesikia mkuu wa nchi akiagiza machifu wakafanye kazi za kiutawala hasa kushughulikia kero za watu kutekwa. Je, hii sheria ilishafutwa? Au...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

    Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli? Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ndio...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Habari mbaya kuhusu Kombo Mbwana Twaha

    Kutoka kwenye kinywa chake, siyo mimi 1. Ametembezwa mikoa 10 2. Muda wote alikuwa amefungwa kitambaa cheusi machoni for all 29 days 3. Ameteswa kishenzi 4. Amevunjwa vidole 5. Mlo mmoja per day etc etc etc --- HABARI MBAYA KUHUSU KOMBO MBWANA TWAHA 😭😭😭 Baada ya kutoa UPDATES za kuhusu...
  7. JamiiForums Tanzania Ina maana Rais hujui kweli kama wanaofanya ukatili uko nao ndani ya Chama na Serikali yako au Unazuga tu?

    “…watu wanauawa hovyo huko…waambieni wanasiasa kwamba vyeo havipatikani kwa kuua watu, kwa kunyofoa viungo…” – Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuguswa na wimbi la utekaji na mauaji ya watoto linalodaiwa kuendelea maeneo mbalimbali hapa nchini…akiwaomba machifu kote nchini kusimama imara na...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa ukweli vyeo havipatikani kwa kuua watu

    Katika Mkutano wake na Mchifu leo Rais Samia atoa wito kwa machifu wawaelimishe Wanasiaa kuwa vyeo havipitani kwa kuua watu wala kutumia viongo vyao. Akiongeza kuwa uonozi unatoka kwa Mungu. ==== Hakuna kabila wala Mkoa hata mmoja ndani ya Tanzania hii unaokubaliana na vitendo vya kuua...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia awaagiza Wizara ya Utamaduni kuwafundisha vijana mila na desturi kupitia michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA

    https://www.youtube.com/live/_FwGHaI_fuI?feature=shared Rais Samia ameilekeza wizara ya utamaduni, sana ana michezo kukamilisha mwongozo wa utambuzi wa machifu na viongozi wa kimila katika wilaya na mikoa utakaoainisha majukumu yao yao ya kimila na kijadi. Rais Samia ametoa maelekzo hay oleo...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumza na Machifu wa Tanzania, 20 Julai, 2024

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Machifu wa Tanzania. 🗓️ 20 Julai, 2024. 📍 Ikulu Chamwino.
  11. JamiiForums Tanzania Asking Aloud: Rais Samia anajua Katiba yetu ni batilifu, na Sheria mpya ya uchaguzi aliyosaini ni Sheria batili kinyume cha Katiba?

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za kwa maslahi ya taifa, ambazo huwa na maswali, hoja, majibu utaweka mwenyewe, swali la leo ni kujiuliza kwa sauti, asking aloud: "Je Rais Samia anajua kuwa Katiba yetu ina ubatili fulani, uliochomekewa kiubatili hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Shedrack Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bwana Shedrack Salmin Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF kuanzia tarehe 03 Julai 2024. Kabla ya uteuzi huu Bwana Mziray alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani (TASAF). Bwana Mziray...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia mbona kwenye miradi hii chanzo cha fedha ni wahisani pekee, Kodi zetu zinafanyia nini?

    Mh. Rais hivi sasa ni saa kumi na mbili kamili nina Imani umeisha amka na umeisha swali Dua ya Asubuh! Mh. Rais shikamoo! Mh. Rais nauliza swali dogo na mimi ni Mtanzania na Mkurugenzi wa Taasisi kwa miaka 7 nchini Tanzania na ni mlipa Kodi mzuri kwa mujibu wa sheria zetu na ni MUUMINI wa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa mtoto huyu watakesha wanabubujikwa machozi ya furaha na kumuombea maisha marefu Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta...
  15. JamiiForums Tanzania Tunampenda Rais Samia kwasababu ni Mpenda haki, ukitenda haki unabaki mioyoni mwa unaowatendea haki hutasaulika kamwe

    Mh. RAIS SAMIA, ni Rais mpenda haki na mpenda ustawi wa jamii kwa ujumla, ameleta neema nchini ndo maana kila mtu anataka kumlaki pale anapotembelewa na Mh. Rais Samia. Haya hapo chini ni baadhi ya maendeleo ambayo ninayashuhudia hapa kifupi kwasabu nayaona yanafanyika nchini Mimi mwenyewe...
  16. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mapokezi makubwa ya Rais Samia Mkoani Songwe

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mapokezi makubwa, mazito na ya heshima aliyoyapata na kupewa Rais Samia alipokanyaga ardhi ya Mkoa wa Songwe kwa hakika nawashauri CHADEMA wasijaribu wala kusubutu kusimamisha Mgombea Urais uchaguzi ujao maana wakijaribu na kupuuzia ushauri huu watakwenda kuvuna aibu...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Mtoto mwenye ulemavu wa mguu apatiwe Mguu wa Bandia kwa gharama za Ofisi ya Rais

    Rais Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kuhusu mtoto mwenye ulemavu wa mguu kufanyiwa mchakato wa kupewa mguu wa bandia kwa gharama ya Ofisi ya Rais. Ametoa maelekezo hayo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, Mariam Chaurembo wakati aliposimama kuzungumza na Wananchi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mmoja alipe kodi anayostahili kulipa

    https://www.youtube.com/watch?v=FnzBLvOFB6w Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Tunduma Njiani kuelekea Dodoma Mara baada ya Kumaliza Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 18 Julai, 2024.
  19. F

    JamiiForums Tanzania Nawasikiliza wabunge wa Katavi wakiongea na Rais Samia; wanalalamika sana, wanamshukuru sana na wanampongeza sana Rais

    Hizo ndio siasa zisizoeleweka za Tanzania. Sasa hivi hapa nawasikiliza wabunge wa mkoa wa Katavi wakizungumza na Rais Samia aliyemaliza ziara yake mkoani Katavi. Nawasikiliza wabunge hao wakilalamikia sana mambo mbalimbali ya mkoa wao, wakati huo huo wanamshukuru na kumpongeza sana rais kwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, mantiki ya kumtoa IGP Simon Sirro na kumleta IGP Camillius Wambura ilikuwa ni ipi?

    Kwanini nauliza hivyo? 1. Yale yale yaliyokuwa yanatokea wakati wa Siro ndiyo hayo hayo yanatokea wakati wa Wambura eg..kupoteza, kutekwa watu, kubambika kesi etc etc. Ben Saanane, Sativa and, you mention them... 2. Muundo/utendaji wa jeshi la polisi n huo huo, tulitegemea kutakuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…