rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Mfariji Mkuu

    Katika kipindi hiki ambapo vitendo vya utekaji, watu kupotea na kuuawa vimekuwa vikishamiri nchini Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan ameibuka kama kiongozi mwenye jukumu kubwa la kufariji wananchi wake. Wakati ambapo jamii inakabiliwa na woga na hofu ya usalama wao, kuna haja ya kuwa na sauti...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko azitaka Mamlaka za Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji ili kuleta ufanisi uliokusudiwa. Dkt. Biteko ametoa agizo hilo wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
  3. JamiiForums Tanzania Agizo hili la Rais kwa vyombo vya Dola ni Amri, lakini binafsi natoa angalizo kwa kurejea uzoefu wa nyuma

    Agizo hili la Rais kwa vyombo vya Dola yaani kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mkuu wa Majeshi, ni AMRI ya Kirais iliyotolewa na Amiri Jeshi Mkuu. Tunataraji angalau ndani ya saa 24 hadi siku 7, wote waliohusika kwa kupanga, kumteka na mauaji ya Mzee Ally...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali nakuomba chukua muda wako leo na uupokee huu Ushauri wangu GENTAMYCINE, nina uhakika utakusaidia sana na Kunishukuru pia

    Pole na Majukumu yako ya Kiutendaji na hongera kwa yale mazuri unayofanya kwa Tanzania japo kwa kawaida changamoto za Kiutawala / Kiuongozi kwa Rais yoyote hazikosekani na kama hutozimaliza Wewe basi atakuja Kuzimaliza ajaye. Tafadhali Rais Samia nakuomba fanya yafuatayo ikikupendeza....... 1...
  5. JamiiForums Tanzania "Majibu ya Mnyika : Rais Samia Asisitiza Haki, Uwajibikaji na Uchunguzi Huru"

    TISS na Polisi Hufanya Kazi Kulingana na Sheria: Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) na Jeshi la Polisi hufanya kazi chini ya sheria na taratibu za nchi, zikiwa na taratibu za kiuchunguzi zinazozingatia haki. Kuwatuhumu moja kwa moja bila ushahidi wa wazi ni kinyume na misingi ya haki na sheria...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Hamad Yussuf Masauni, jiuzulu kumpunguzia Mzigo rais Samia. Anakuonea aibu

    Salaam Kama Hamad Yussuf Masauni akigoma kujiuzulu, Rais Samia itabidi afumbe macho atengue uteuzi wake sababu ni aibu kwa mtu anayejiita Muislam safi, watu wanapiga, wanategwa na kuuliwa lakini anakosa hata roho ya kusema pole. Mheshimiwa Hamad M Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani Kisiasa...
  7. JamiiForums Tanzania Hata Magufuli aliagiza Uchunguzi wa shambulio la Lissu Ufanyike, Je Ulifanyika? Ujasiri wa kuamini kauli ya Rais Samia mnautoa wapi?

    Hakuna uwezekano wowote ule wa kuwaamini viongozi wa CCM, hata kama wewe ni Mjinga kiasi gani, ili uwaamini unapaswa kuwa huna kabisa Ubongo. Dkt Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM kama alivyo Samia Suluhu leo, Aliagiza waliomshambulia Tundu Lissu watafutwe, na katika...
  8. JamiiForums Tanzania Hongera Rais kwa kukemea mauaji ya kada wa CHADEMA, Polisi ni vema itupe majibu kana kwamba kada huyo alikuwa ni wa CCM

    Friends and Enemies, Nimeifurahia kauli ya Mh RAIS ya KUTOA pole Kwa Msiba wa Ndug Ally KADA wa CHADEMA kilichotokea hivi karibuni. Inna Lillah waina illay Rajiun. Rais Samia amefanya jambo jema Kwa kutoa kauli hiyo Kwa wakati na kujiweka mbali na kando na vitendo hivyo vya udhalim na...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nia yako njema ya uchunguzi mauaji ya kibao lakini ninashauri iundwe tume huru kuchunguza na sio Polisi

    Nchi imejawa na simanzi kwa mauaji ya kikatili. Kitendi kiovu kilichopindukia mauaji haya ni muendekezo wa vitendo vya kikatili, utekaji na kupotezana. Imesimuliwa kuwa mzee Kibao alitekwa hivi karibuni ajishushwa ndani ya basi na watu wenye silaha wakijitambulisha ni askari polisi tena wakiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki. Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Ole Lekaita ampa tano Rais Samia utekelezaji miradi ya maendeleo wilayani kiteto

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mkoani Manyara Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi kwa wakati. Amesema kuwa Rais Samia amekuwa kinara kuhakikisha wananchi wanapata...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Wakurugenzi wapya TCAA na TAA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Salim Ramadhani Msangi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA). Kabla ya Uteuzi Msangi alikuwa akikaimu nafasi hiyo Pia, Rais amemteua Abdul Athumani Mombokaleo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA)...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuachia madaraka nako ni Busara!

    Ni wazi kwamba Rais nchi imemshinda. Ile hotuba yake ya kwamba amejigeuza chura kiziwi sasa naanza kuielewa. Ni kwamba hatokaa asikilize kelele za aina yoyote. Kama kiongozi ukiziba masikio, tayari unakosa sifa ya kuwa kiongozi. Nchi hii inaweza kwenda bila Samia. Pia soma: Ally Mohamed Kibao...
  14. JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi wa IGP kujiuzulu ama Rais achukue hatua

    Hakuna kinachozuia IGP kujiuzulu kwa haya yanayoendelea. Mauaji ya watu wasio na hatia tena mchana kweupe wanakwapuliwa kwenda kuuawa ni dhahiri polisi na usalama wanashirikiana kutekeleza hayo. TISS ipo chini ya ofisi ya Rais na aliitaka ikae chini yake kupitia mabadiliko ya sheria ya TISS...
  15. JamiiForums Tanzania Kamati ya bunge yampongeza rais Samia kwa fedha za miradi ya REGROW

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb)imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya...
  16. JamiiForums Tanzania Cyril Ramaphosa: China haina lengo la kuiingiza Afrika kwenye mtego wa madeni

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa hivi karibuni alidokeza kuwa hakubaliani na dhana ya kwamba uwekezaji wa Taifa la China barani Afrika unapelekea bara hili katika "mtego wa madeni," Ramaphosa alitoa kauli hiyo wakati wa mkutano wa kilele cha China na Afrika huko Beijing, ambapo wajumbe...
  17. JamiiForums Tanzania Kauli 6 alizowahi kutoa Mzee wa Upako ambazo zilileta taharuki nchi, anajua kucheza na muda kufanya atrendi

    Habari za asubuhi wakuu. Siku ya jana, Mzee Wa Upako yaani Mchungaji Anthony Lusekelo alitengeneza headlines nchini kufuatia interview alyofanya na Jambo TV Online ambapo alizungumzia upepo wa kisiasa ulivyo nchini ikiwemo ishu za utekaji, ukosoaji unaendelea dhidi ya Rais Samia na mengineyo...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Jinsi Rais Samia anavyoitekeleza sura ya tano ya ilani ya ccm 2020-2025, Ukurasa wa 155

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Sura ya tano ya ilani ya chama cha mapinduzi 2020-2025 imeeleza, kwanza mafanikio iliyoyapata katika sekta ya ulinzi na usalama katika awamu ya utekelezaji iliyopita, kisha ikaeleza ni mambo gani itayafanya katika sekta hiyo ikiwa chama...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Falsafa ya 4R za Samia na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2024

    Nije Moja Kwa moja.kwenye mada: Falsafa ya 4R ambayo Rais Samia Suluhu Hassan anaiwasilisha kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2024 inapaswa kutazamwa kwa makini. Katika utafiti wangu, nimegundua kuwa maneno ya Rais Samia yanaweza kutofautiana na yale...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia ahutubia Mkutano wa China na FOCAC, azungumzia Mipango ya China kuwekeza Dola Bilioni 50 Barani Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024. Rais Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…