rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia aieleza G20 namna ambavyo Tanzania itailisha Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika mkutano wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani G20 alipata nafasi ya kueleza mikakati ya Tanzania ya kujitosheleza kwa chakula na kulisha nchi zingine Afrika. Aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo wa G20 kuhusu...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania siyo masikini, tumeshindwa tu kutumia rasilimali vizuri

    Wakuu, “Umasikini ni tafsiri, mtu anaweza kuja Tanzania akasema Tanzania ni nchi masikini, lakini ni tafsiri, inategemea vigezo gani ametumia. Mimi ukiniambia Tanzania ni nchi masikini ninakukatalia, ninakwambia Tanzania siyo masikini, sisi ni matajiri mno, tuna rasilimali, tuna maji, tuna...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu awakalia kooni Maaskofu waliopewa pesa na Rais Samia, ataka warudishe "Hana tofauti na Yuda, hiyo pesa ina laana"

    Tundu Lissu amewataka maaskofu waliopokea pesa kutoka kwa Rais Samia, ambazo amezitaja kuwa "chafu" kuzirejesha zilipotoka na kutokubali kushiriki katika vitendo vya uovu. Pia, Soma: Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya"
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya"

    Askofu William Mwamalanga, Mwenyekiti wa Kamati ya Maaskofu na Mashekhe ya Maadili ya Dini Tanzania, amewataka viongozi wa dini waliopokea fedha kutoka kwa Rais kuzirejesha, akiwataka kuiga mfano wa viongozi wa kidini wa Kenya waliochukua hatua kama hiyo kwa maslahi ya maadili na uwazi. PIA...
  5. JamiiForums Tanzania Unaionaje na kuitafsiri falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan ya 'hawa ni chawa wangu?

    Chawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni mbeba maono?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amejaa Upendo na Huruma kubwa sana kwa Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna kitu tutateseka ,kuhangaika na kuchukua muda mrefu .basi ni kumpata Kiongozi Mwingine aina ya Rais Samia katika Taifa hili.Kiongozi mwenye huruma na upendo mkubwa sana kwa watanzania. Rais Samia Ni kiongozi ambaye anapozungumza juu ya Maisha ya watanzania...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandalizi ya kurudi CCM? Godbless Lema aomba kuonana na Rais Samia. Mrisho Gambo

    Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM, anataka kujua anatoka vipi. Rais Samia atakuwa na ziara mkoani Arusha mwezi huu, tutarajie lolote...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anadai wakati tukio la kubomoka jengo Kariakoo linatokea alikuwa tayari safarini kule Brazil. Kaamua kutudanganya?

    Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma? Taarifa ya Ikulu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo amwagia maua Rais Samia katika Jukwaa la Kimataifa

    Victor Oladokun, Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ameielezea vyema haiba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maoni yake ya hivi karibuni wakati wa mkutano wa G20 nchini Brazil. Akisisitiza mvuto wake, ujasiri wake, na maendeleo makubwa aliyoyafanikisha kwa Tanzania, kauli ya...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi Rais Samia alivyouliza maswali magumu kwenye mkutano wa G20

    Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan ametoa hotuba ya kihistoria kwa kuuliza maswali magumu katika mkutano wa G20, ambapo akiwa anasikilizwa na Rais wa Marekani, Joe Biden, Rais wa China, Xi Jinping, Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer na viongozi wakuu wa nchi hizo 20 tajiri, ametaka dunia...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia Kutoa Milioni 700 kwa Taifa Stars ni Jambo la Busara?

    Tangu jana, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipotangaza zawadi ya Shilingi Milioni 700 kwa timu ya taifa ya Taifa Stars baada ya kufuzu kwa mara ya nne mfululizo kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), mjadala mkubwa umeibuka. Watu wengi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hii siyo sawa, unawapa Taifa Stars Tsh milioni 700 na kuna shule zina hali mbaya

    Milioni 700 kwa wachezaji wakati kuna shule nyingi za hivi. Hii si swa! Hata Mtume wetu (SAW) haimpendezi! Soma => Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON Shule hii iko Mtwara chini ya mkorosho https://x.com/i/status/1859222546731659665
  13. JamiiForums Tanzania Hizi milioni 700 za Rais Samia kwa Taifa Stars, zinawahusu wachezaji walioitwa mara ya mwisho kufuzu AFCON 2025 au mgao ukoje?

    Wakuu Jana Rais Samia kutoa milioni 700 kwa Taifa Stars baada ya kufuzu AFCON 2025 kama pongezi kwa kuliheshimisha taifa kufuzi mara ya nne katika fainali hizo. Je, zawadi hii inawahusu wachezaji waliocheza mechi za mwisho dhidi ya Ethiopia na Guinea pekee, au inajumuisha wachezaji wote...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia na CCM mnaharibu Soka nchini

    Wakuu salam, Rais, chawa wako na CCM hamuoni kama mnazidi kuididimiza soka mwishowe na yenyewe iwe kama ilivyokuwa ngumi kipindi kile? TUmefikia hatu tunaombea tufungwe ili tu kuwakomoa CCM, lakini ukweli ni kwamba mnawaumiza hawa vijana na wengine wengi nyuma yao wanaotegemea soka kama...
  15. JamiiForums Tanzania Simba, Yanga na Taifa Stars mtumieni Rais Samia sasa 2024 na 2025, kwani kuanzia 2026 msitegemee kuona akiwasaidia kwa lolote lile

    Kwakuwa tayari mmeshakubali Kutumika nae kama Mtaji wake wa Siasa na kumhakikishia Ushindi na ameshawawekeni Mtegoni mwake na mmejaa vizuri kwa mwaka huu 2024 na 2025 atawamwagieni sana Fedha zake ila akishapita tu Oktoba 2025 msitegemee kumuona akihangaika nanyi tena kwa lolote lile kwani...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON

    Wakuu, Kama lilivyotolewa gari kule Arusha kwa sheikh 'akafanyie shughuli zake', sasa ni zimetoka kwa stars, sasa hivi kura zinanunuliwa kwa hela tu, hakuna purukushani za kukamatwa wakikimbia na mabox! Pia soma: Siasa kuingia kwenye michezo na wanamichezo kutumika kisiasa hatujali kuibomoa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ni baraka kubwa Rais wetu kualikwa G 20, wenzetu Nchi Jirani wanakimbizana na Maaskofu tu wako taabani Kiuchumi!

    Watanzania tuachage Ujinga na mambo ya Itikadi Kwenye masuala muhimu ya kitaifa yahusuyo Maendeleo yetu Nakumbuka mbwembwe za Ruto alipokutana na Biden akajimwambafy kuwa yeye ndiye Msemaji wa Africa Mashariki Sisi Rais Samia ameenda kujumuika na viongozi wakuu 20 wa Dunia, Kwanini...
  18. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina watu ambao kila kitu wanapinga wapo wanaochukizwa na ushindi wa timu ya Taifa

    Nimesikitishwa na vijana wajinga wasiojitambua walioitabiria mabaya timu yetu ya Taifa kisa tu kuna watu wananasibisha ushindi wa timu na mama Samia Rais wa nchi. Mimi si mwanachama wa chama chochote lakini sioni kwa nini hawa watu wanakuwa na chuki na mama kisa ni mwana CCM bila kuona jitihada...
  19. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti Umoja wa Wazazi CCM ampongeza Rais Samia kwa maagizo ya maafa ya Kariakoo

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia kwa maagizo aliyoyatoa kuhusu kadhia hiyo.
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongeza Saa 24 kwenye uokoaji Kariakoo

    Wakuu, Wajuvi wa masuala haya, kwahivyo, bila kujali hali ilivyo muda wa uokoaji ikitokea janga kama hili huwa ni masaa 72 pekee? Kwa jinsi ile ajali ilivyotokea watakauwa waokoaji watakuwa wamefika maeneo yote? Naona kama kuna watu wataachwa huko wajifie! ===== Maagizo ya Rais wa Jamhuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…