rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais Samia: Dhamira ya Serikali ni kuona Uchaguzi unafanyika kwa Haki

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/1BGbDsl2-Vw?si=VNit5q0r1ZwBNF1J Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Ndugu Wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mary Mwanjelwa: Rais Samia apewe maua yake, mikopo ya asilimia 10 ilitoka

    Aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mary Mwanjelwa amemwaga sifa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan juu ya mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri. Mwanjelwa amesema hayo wakati wa mkutano wa kampeni...
  3. JamiiForums Tanzania Ukipokea Ujumbe Huu wa Rais Samia Kuhusu Kesho, Usikae Nao, Sambazia na Wengine!. Kesho Kazi ni Moja Tuu!, ni Unachukua...Unaweka...!.

    Wanabodi Huu ni ujumbe kwa wote waliopokea ujumbe huu siku ya leo “Habari Ndg. PASCAL ANDREW MAYALLA, Mimi Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT. Kwa heshima napenda kukumbusha kesho tarehe 27 Novemba, 2024 kujitokeza kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi: Tusiwape nafasi wanaotaka kuvuruga amani ya Uchaguzi wa kesho Novemba 27, 2024

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema wamejipanga kudumisha amani na utulivu kesho katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, huku likitahadharisha wanaotaka kuuvuruga. Misime amesema hayo leo Jumanne Novemba 26, 2024 kupitia video fupi iliyopakiwa katika mitandao ya kijamii ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa wanapogeuka madalali wa kutangaza biashara za makampuni

    Juzi hapa kulifanyika tamasha la Landrover. Mkuu wa mkoa wa Arusha akapigia debe kwelikweli jambo hilo. Akatumia resources za ofisi ya umma ikiwemo wakati kupigia promo jambo hilo. Lakini hayo yakifanyika, bila shaka anatambua wazi kuwa anapigia debe kampuni ya magari ya Landrover. Hasa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viongozi wa dini niwasihi kuendelea kuwa sehemu ya kuunganisha waumini na msiingie kwenye mtego wa kukata kamba inayowaunganisha waumini

    Lakini pia niwasihi kuendelea kuwa sehemu ya kuunganisha waumini na kamwe msiingie kwenye mtego wa kukata kamba inayowaunganisha waumini, wanadamu ni wanadamu hatujazaliwa tumbo moja na hata wanaozaliwa tumbo moja wanatofautaiana…”- Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  7. JamiiForums Tanzania Uraia Pacha, Wanadiaspora Mshukuruni Rais, sasa mnatambuliwa rasmi kwa Special Status ya Diaspora Tanzanite Card, una enjoy baadhi ya Haki za Uraia!

    Wanabodi Ni juzi Ijumaa niliuliza humu Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga, leo nakutana na hii hoja, uraia pacha wetu jameni ndio huu!. Haya sasa ndugu zetu wana Diaspora, mliopoteza uraia...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Askofu Shoo afafanua madai ya kuhongwa Tsh. Milioni 150, asema ni mbinu za kumnyamazisha

    Wakuu, Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT), Askofu Fredirick Shoo amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa alizoziita potofu kuwa amehongwa Sh150 milioni na Rais Samia Suluhu Hassan, akisema ni taarifa zenye lengo la kuvunja nguvu sauti ya...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi Morogoro wabubujikwa machozi ya furaha Rais Samia kutunikiwa Udaktari wa Heshima! Ukiwahesabu hao watu ni 2 tu!

    Wakuu, Hivi vichwa vya habari lazima director na mhariri mkuu atakuwa Lucas Mwashambwa tu, afu wana undugu na Tlaatlaah :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh: Mnatumia nguvu kubwa kufanya mama akubalike lakini wapi, angalau basi mkiwapa watu script wawe hata na tu lugha twa...
  10. JamiiForums Tanzania Shemsa ampongeza Rais Samia kwa kusongesha maendeleo ya taifa mbele

    Tarehe: 24 Novemba 2024Mahali: Kijiji cha Mwandoya, Wilaya ya Meatu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif anayeendelea na ziara yake ya "Siku Saba za Moto" ambapo leo zimesalia siku mbili kabla ya kumalizika. Katika ziara hii, Mwenyekiti alitembelea...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mapito Ya Uongozi Yameniongezea Maarifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ametoa hotuba yenye hisia kali sana ,iliyowagusa watu wengi sana. Ni hotuba ya kihistoria yenye kuonyesha namna Tanzania tulivyo bahatika kuwa na kiongozi mwenye Maono, akili kubwa, upeo, maarifa na kipaji cha uongozi. Imeonyesha namna Rais wetu...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 DC Mtwara: Wanafunzi wa vyuo wameomba bonanza kutoa shukrani kwa Rais Samia

    Wakuu, Ila CCM hakuna kama nyinyi duniani🤣🤣😂: DC Abdallah anasema wanafunzi wa vyuo wameomba bonanza kumshukuru Rais Samia kwa kufanya maisha yao vyuoni kuwa bora, na hawa ni wanafunzi wote wote, kwakuwa ni wengi sana basi wamewakilishwa na wenzao wachache kwenye hilo Samia Uni Bonanza huko...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Juliana Masaburi: Yaliyofanywa na Rais Samia Yanatosha Kuendelea Kuiamini CCM

    JULIANA MASABURI: YALIYOFANYWA NA RAIS SAMIA YANATOSHA KUENDELEA KUIAMINI CCM Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana Didas Masaburi akihutubia mkutano wa hadhara amewaambia wananchi kuwa Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefanya kazi kubwa hivyo kukifanya...
  14. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi

    https://www.youtube.com/live/4zaJF1ulpWo?si=IAPHRSt9HALIxBDp Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua jitihada zake katika kuboresha Elimu ya Juu Nchini hasa miundombinu,Utafiti na kuongeza idadi ya udahili...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kweli Hospitali ya Taifa Muhimbili kulala kwa siku ni gharama zake ni tsh 50,000?

    Habari zenu wakuu. Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asafiri kwa Treni Dar es salaam Hadi Morogoro

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,hii leo ameweza kusafiri kwa usafiri wa treni ya kisasa kabisa katika mradi wetu wa kimkakati wa SGR ambao amekuwa akipigana na kuupigania ukamilike na kumalizika...
  17. JamiiForums Tanzania Nchi imekosa viongozi wabunifu mpaka Rais anaingizwa kwenye makosa madogo madogo akiona!

    Niaje waungwana Yani nchi hii imekosa kabisa viongozi wabunifu ambao wanaweza kukaa chini na kubuni kitu au jambo la maana, na lenye tija kwa faida ya taifa. Unakuta nchi ina Rais, Makamu, waziri mkuu, mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu, manaibu makatibu wakuu, wakuu wa mikoa nk, lakini...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Elimu ya watu wazima haijafanya malipo kwa miezi mitatu mfululizo bila taarifa yoyote

    Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway). Mpaka sasa umepita muda wa miezi miwili mfululizo...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia aieleza G20 namna ambavyo Tanzania itailisha Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika mkutano wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani G20 alipata nafasi ya kueleza mikakati ya Tanzania ya kujitosheleza kwa chakula na kulisha nchi zingine Afrika. Aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo wa G20 kuhusu...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania siyo masikini, tumeshindwa tu kutumia rasilimali vizuri

    Wakuu, “Umasikini ni tafsiri, mtu anaweza kuja Tanzania akasema Tanzania ni nchi masikini, lakini ni tafsiri, inategemea vigezo gani ametumia. Mimi ukiniambia Tanzania ni nchi masikini ninakukatalia, ninakwambia Tanzania siyo masikini, sisi ni matajiri mno, tuna rasilimali, tuna maji, tuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…