rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuunda tume mbili kushughulikia suala la Ngorongoro

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ataunda tume mbili, moja itachunguza na kutoa mapendakezo kuhusu masuala ya ardhi yanayolalamikiwa na wakazi wa Ngorongoro na nyingine itaangalia utekelezaji wa uhamaji kwa hiari kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro. Rais Samia amesema hayo leo...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Oliver Semuguruka Aungana na Wana Kagera Kumpongeza Rais Samia na RC Kagera

    MHE. OLIVER AUNGANA NA WANA KAGERA KUMPONGEZA MHE. RAIS NA MKUU WA MKOA KAGERA Leo, tarehe 30 Novemba 2024, historia imeandikwa katika Mkoa wa Kagera, ambapo wana Kagera walijumuika kwa pamoja kumpa heshima Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza katika Biashara Afrika Mashariki

    Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umeendelea kuipa Tanzania mafanikio makubwa katika biashara za kikanda, na kuthibitisha nafasi ya nchi kama kiongozi wa Afrika Mashariki, hiyo ni baada ya hivi karibuni wakati Rais wa Kenya, William Ruto kukiri katika maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), leo tarehe 29 Novemba, 2024. https://www.youtube.com/live/yR5TbO9BaMk?si=AvOdwHUNK5W1i9G0 VERONICA MUENI NDUVA, KATIBU MKUU - JUMUIYA YA AFRIKA...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowanyima wapinzani agenda za kujijenga na kujiimarisha kisiasa

    Utendaji wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia serikali ya awamu ya sita anayoiongoza umekua sumu kali kwa upinzani nchini kwani umewanyima wapinzani agenda za kusimama nazo kwenye majukwaa ya kisiasa kumnanga na kumshambulia. Zaidi wamebaki kufanya siasa za kibaguzi kwa kushambulia asili...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asimamisha Kikao kazi Arusha kwa ajili ya kumuombea Marehemu Dkt Faustine Ndugulile

    Ndugu zangu Watanzania, Leo hii Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. katika kuonyesha na muendelezo wa Masikitiko yake,huzuni,uchungu,simanzi na Majonzi Ameweza kusimamisha kikao kazi kwa Dakika . kwa ajili ya Kumuombea Dua...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete: Fursa za ajira kwa vijana nje ya nchi kipaumbele cha Serikali ya Rais Samia

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufungua fursa zaidi za ajira kwa watanzania nje ya nchi. Aidha, Mhe. Ridhiwani amesema serikali...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Khadija Mwanamboka aipeleka Samia Fashion Festival Zanzibar, kufanyika Novemba 30, 2024

    Wakuu, Naona sasa hivi habari ya mjini ni kuwa chawa tu, mambo ya maana wanaweka pembeni utafikiri kwenye vichwa wamejaza kamasi pekee, ni huzuni! ===== Khadija Mwanamboka kuipeleka Samia Fashion Festival Zanzibar. Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia kushiriki Sherehe za Kamisheni na Mahafali kwa Maafisa Wanafunzi

    Rais Samia anashiriki Sherehe za Kamisheni na Maafisa Wanafunzi Kundk la 05/21 BMS na Kundi la 71/23 - Regular https://www.youtube.com/live/uuq-aF1HXbY?si=OQc1YOXG3AfhD2Ou
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza mazishi ya Dkt. Faustine Ndugulile Disemba 2

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza wananchi kwenye mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile yanayotarajiwa kufanyika Disemba pili, jimboni kwake Kigamboni Dar es Salaam. Mwili wa marehemu Dkt...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameanza ziara yake mkoani Arusha

    Rais Samia amewapongeza wakazi wa Mkoa wa Arusha wakiwemo Viongozi wa dini na wadau wa Utalii kwa kuendelea kutunza Amani na utulivu, suala ambalo limechangia Ongezeko kubwa la idadi ya watalii pamoja na mikutano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa. Rais Samia ametoa pongezi hizo leo Jumatano...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais Samia ameipa ushindi CCM Uchaguzi Serikali za Mitaa kutokana na kutekeleza Ilani ya chama kikamilifu

    Ona namna shule, madaraja barabara na shule pia hospitali zinavyojengwa . Je ni Mtanzania gani angechagua upinzani? Hii ndio sababu ya wagombea CCM kupita bila kupingwa kwa asilimia 90.
  13. JamiiForums Tanzania Arusha: Taasisi ya Aunty Rich yamuunga mkono Rais Samia

    Taasisi ya Aunty Rich Soso Pembe Foundation imefanya ziara kwenye Jiji la Arusha kwa lengo la kumuunga mkono Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maendeleo makubwa anayoyafanya hasa kupitia Royal Tour. Ziara hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokelewa kwa Dua Uwanja wa ndege Kia

    Tazama Rais Samia Suluhu Hassan alivyopokewa kwa dua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KΙΑ). Rais Samia anaelekea mkoani Arusha ambapo kesho anatarajiwa kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli na Novemba 30 atashiriki mkutano wa...
  15. JamiiForums Tanzania Shughuli za maendeleo za serikali ya Rais Samia ni short-term na hazilengi kukuza uchumi wa nchi

    Wanabodi, Tofauti na muonekano wa wengi, nina dhubutu kusema kwamba miradi ya kimkakati ya serikali, ina mchango mdogo sana kwenye kukuza uchumi wa nchi na kuleta maendeleo ya kudumu. Sio jambo ngeni Kwa nchi ya Tanzania kuhusishwa na umasikini duniani na kwasababu hiyo ni vyema kwa jambo hili...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi na Mkuu wa Chuo. Said Ally Mwema ateuliwa Mwenyekiti wa Bodi wa kampuni ya Magazeti ya Serikali

  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais Samia: Masanduku yanavyosema ndio hivyo matokeo yatoke

    Kura hizi ni mtindo wetu wa demokrasia, utamaduni wetu wa kisiasa…wasivunje amani yetu wakapige kura kwa maelewano na masanduku yanavyosema ndio hivyo matokeo yatoke..” Rais wa Tanzania – Dkt. Samia Suluhu Hassan. SOMA PIA: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Chamwino, Dodoma: Rais Samia apiga kura katika Kitongoji cha Sokoine. Asisitiza amani na majibu kutoka kwenye masanduku

    Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye foleni tayari kwa kupiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali za Mitaa katika kitongoji cha Sokoine Kijiji cha Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 27 Novemba, 2024. === Samia amepiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Rais Samia apanga foleni ya kupiga kura uchaguzi serikali za mitaa

    Wakuu, Tunasubiri igizo la kupanga foleni wakati kwenye misafara tunakaa masaa matatu kumpisha :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: Kutoka Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma Leo Novemba 27, 2024 katika kituo cha kupiga kura za uchaguzi za Serikali za Mitaa baadhi ya wakazi wa eneo Hilo...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 Jokate: Rais Samia ameuthibitishia ulimwengu Tanzania ina Demokrasia imara, vyama vina wagombea na kampeni zimeisha kwa amani

    Wakuu, Mkuu wa UVCCM Taifa Jokate Mwegelo amesema Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kwamba Tanzania ina demokrasia kwasababu hadi sasa hakuna machafuko yaliyotokea kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vyama vingi vinashikiri ambapo amewataka pia Vijana ku kutothubutu kujiingiza katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…