rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Makonda amtafuta Gambo mbele ya Rais Samia, hajaonekana walipokaa wabunge wengine

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Makonda alimtaja...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Siku ya wanawake kimataifa, Wanawake madereva wa magari na mitambo wakionesha umahiri wao mbele ya Rais Samia

    Tazama Wanawake madereva wa magari na mitambo walivyoipamba Siku ya Kimataifa ya Wanawake Jijini Arusha mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Arusha

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Arusha https://www.youtube.com/live/1noAQDGD9e8?si=MT9ZfW_E_QbmTDZl Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda akitoa salamu za mkoa "Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana na ulaji wa nyama... Nyama ya Mkoa wa Arusha...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake wa jamii ya kihadzabe: Tunatamani sana kumuona Rais Samia, tumweleze tunavyoishi maisha magumu sana

    Wanawake wa Jamii ya wahadzabe wanaoishi katika eneo la Eyasi wilayani Karatu Mkoani Arusha wamepaza sauti katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kwa kumuomba Rais Samia Suluhu awasaidie wapate ardhi,maji,chakula na kuzuia uvamizi wa maeneo yao. Katika mdahalo uliofanyika katika Kijiji...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aleta Mapinduzi Katika Kupunguza Vifo Vya Wajawazito Tanzania, Afrika Yajifunza

    Tanzania inazidi kuwa mfano wa kuigwa barani Afrika kutokana na jitihada zake za kupunguza vifo vya wajawazito. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ameweka kipaumbele katika kuboresha sekta ya afya, hatua ambayo imesababisha kupungua kwa vifo vya wajawazito...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo: Rais Samia anaishi 4R kupitia Samia Legal Aid

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, akibainisha kuwa kampeni hiyo imekuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa Arusha na maeneo mengine nchini. Akizungumza Ijumaa, Machi 7, 2025, katika...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Machi, 2025.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM imejitenga na msiba wa Profesa Sarungi??

    Prof. Sarungi amelitumika taifa hili ktk ngazi na nyadhifa mbalimbali. 1. Amekuwa daktari bingwa wa mifupa. 2. Amekuwa mbunge na waziri ktk wizara tofauti. 3. Amekuwa RC ktk mikoa tofauti. 4. Amekuwa mwanachama wa ccm mtiifu ktk uhai wake wote. Ni kwann serikali inayoongozwa na Samia imejitenga...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Rais Samia ni mwanamke wa mfano duniani

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema Maandalizi ya kumpokea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan yamekamilika na kueleza kuwa Rais Samia ni Mwanamke wa Mfano duniani hivyo wao kama Mkoa wanajivunia Rais Samia. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuzindua mradi wa maji wa bilioni 300 Kilimanjaro

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema kuwa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani humo Machi 9 mwaka huu ambapo atazindua mradi wa maji Same - Mwanga - Korogwe na badae atafanya mkutano wa hadhara na kuzungumza na wananchi katika viwanja vya CD Msuya wilayani...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salma Kikwete: Wanawake tusifanye ajizi, rafiki wa mwanamke ni mwanamke. Tupige kura za kihistoria kwa Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete, amewahamasisha wanawake kote nchini kujitokeza kugombea nafasi za udiwani na ubunge, huku akiwataka kuwaunga mkono wanawake wenzao kwa kura nyingi, hususan mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza katika...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa ashiriki dua ya kumuombea Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Msikiti wa BAKWATA Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera (Masjid Zahra), leo tarehe 6 Machi 2025. Awali, Bashungwa aliungana na Sheikh wa Wilaya ya Karagwe, Alhaj Nassibu...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki mkutano wa SADC kujadili masuala ya kiusalama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambae pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ akishiriki Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya hiyo (SADC Organ) kwa njia ya mtandao...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha Saccos yamshukuru Rais Samia kwa kuwapa Makonda, Mkuu wa Mkoa mchapakazi na Mbunifu

    Klabu ya Arusha Saccos imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Mhe. Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, wakisema amekuwa chachu ya maendeleo ya Mkoa huo hasa katika masuala ya kiuchumi na ustawi wa mwananchi mmoja mmoja...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasiasa pekee anayeweza kupambana na Rais Samia 2025 ni Godbless Lema. CHADEMA take note!

    Wakuu, CHADEMA msijichanganye kumuweka mtu mwingine kugombea nafasi ya Urais CHADEMA zaidi ya Godbless Lema. Tundu Lissu ni maarufu ndio lakini linapokuja suala la kuwa Rais, Godbless Lema ni presidential material kabisa. CHADEMA kwa sasa inahitaji mtu mwenye siasa za U-populist (Kama Trump)...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Mzee Mpili kwenye iftar na Rais Samia Ikulu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Machi, 2025. Soma: Rais Samia awafuturisha watoto yatima...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kijiji CHADEMA aibukia kwenye Mkutano wa Mbunge wa Hai, Apongeza Kazi za serikali ya awamu ya sita

    Naam, saiti hali ni tofauti kabisa na wanachosema viongozi wa chadema wanaokaa mikocheni wakiota ndoto za alinacha, saiti inamkubali Samia kwa asilimia kubwa, na ni atazuia uchaguzi?tunasema, kauli ya no reform no election sio tunda la wanachama ngazi za chini(grass root) na itakuwa biggest...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatarajiwa kuzindua mradi wa maji wa Mwanga, Same, Korogwe wenye thamani ya zaidi ya Bilion 300

    Rais wa Jamuhuri wa muunngano wa Tanzania Mh Dkt Samia Suluhu Hassani anatarajiwa kuzindua mradi wa maji wa Mwanga,Same,Korogwe wenye thamani ya zaidi ya Bilion 300 utakao wanufaisha wakazi wa wilaya ya Mwanga na Same Mkoani Kilimanjaro Akizungumza March 4,2025 Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Bi...
  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Juliana Shonza: Rais Samia ametufanyia Kazi nzuri, tumepata Hospitali ya Kisasa kwa Wanawake Songwe

    Mbunge wa Chang'ombe, Juliana Shonza, amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri kwa wananchi wa Wilaya ya Songwe kwa kujenga hospitali ya kisasa. Shonza alieleza kuwa hospitali hiyo ina wodi ya wanawake, vitanda vya kujifungulia, na vitanda vya wodini vya kisasa. "Wilaya ya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni Kielelezo cha Uongozi wa kina Mama Duniani

    Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
Back
Top Bottom