rais mstaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Zambia: Familia ya Hayati Lungu yasema aliacha maelekezo Rais Hichilema asihudhurie msiba wala kusogea popote ulipo mwili wake

    Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ambaye alifariki wiki iliyopita akiwa nchini Afrika Kusini, imedai kuwa marehemu aliacha maelekezo mahsusi akitaka Rais wa sasa, Hakainde Hichilema, asijihusishe kwa namna yoyote na shughuli za msiba wake wala kuwa karibu na mwili wake. Kwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DRC yapiga marufuku Vyombo vya Habari kutoa taarifa kumhusu Rais Mstaafu, Joseph Kabila

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
  3. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Ufilipino, Rodrigo Durtete atimiza miezi kadhaa Jela akisubiri Mashtaka ya Mauaji

    Rais wa zamani wa Filipino ametimiza miezi miwili Jela kwa tuhuma ya makosa dhidi ya ubinadamu na Mauaji. Tuzidi kumpa Moyo katika kipindi hiki kigumu anachopitia ndani ya jela.
  4. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete, Rais Samia,Karume,Mawaziri Anthony Mavunde, Mwigulu na viongozi wengine mashabiki wa Yanga mmeshindwa kuisaidia Club?

    Inashangaza sana, TFF na Bodi ya Ligi wameamua na wamedhamiria hadharani kuonyesha ubabe na ukandamizaji wa wazi dhidi ya Yanga. Una ahirisha mchezo kinyume na taratibu tarehe rasmi ya mchezo kisha unamlazimisha kucheza na kumpangia yule uliyemkandamiza! Kwanini usingemlazimisha yule aliyetaka...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Mstaafu Kikwete kuhusiana na mzozo wa serikali ya rais Samia na CHADEMA

    Wakati baba wa taifa akiwapo alijulikana kutomfumbia macho yeyote aliyethubutu kuichanganya nchi na shamba lake, yeye kama rais mstaafu. Uzi huu unahusika: Mwalimu Nyerere: Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Asiyeheshimu katiba hatufai Mahsusi kwenye kutenganisha nchi na shamba la bibi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu JK Kikwete awasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville)

    Rais wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville), COLLINET MAKOSSO Anatole. Anatole alipokea ujumbe huo wa maandishi kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Congo, Denis...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku Mjumbe Maalum wa Kumuwakilisha Rais Samia duniani ni Rais Mstaafu Kikwete na siyo Makamu Mipango au Premier Majaliwa?

    Wiki hii nzima alikuwa anazurula tu hapa Kampala Uganda na baadae akaenda Gulu na muda si mchache kaonekana huko nchini Ethiopia na kote anapeleka tu Ujumbe Maalum wa Rais Samia.
  8. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wengi ni Wavivu – Kauli ya Mtume Boniphace Mwamposa na Rais Mstaafu Mkapa Zinagusa Ukweli Mchungu?

    Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa. Mwaka 2011, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kusema waziwazi kuwa “Watanzania tumejaa visingizio...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Unabii wa makamu wa Rais mstaafu Mh Mpango utatimia 2026

    Makamo wa Rais kwa akili timamu ameamua ku step down nakuwaacha vijana waongoze... ila nyuma ya pazia wapambe hawakufurahi ila hawakufurahi kwa sababu Mh Mpango ameona mbali kuliko wenzake wameona na kiukweli hakuna atakaye kwambia uwone nijukumu lako uwone. Alama zinaonyesha uwenda utabiri na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania RAIS MSTAAFU MH JAKAYA MRISHO KIKWETE ALILENGA KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU ILA RWANDA WAKASHUPAZA SHINGO

    Sikiliza mwenyewe kupitia hii link https://x.com/EggleVuvu/status/1885185539365564674?t=eqx2xm8OPAYKondHhO_7DQ&s=08
  11. Damaso

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Rais wa Nigeria

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) amekutana na Rais wa Nigeria kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Taasisi hiyo na Nigeria. Rais mstaafu Kikwete amemweleza nia ya Taasisi hiyo kutaka kuiomba Nigeria kuwa...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania ufunguzi wa Kituo cha Afya Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema, dhamira njema ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ya kuipa kipaumbele Sekta ya Afya nchini ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma za uhakika za matibabu bila kuzifuata nje ya nchi. "Vission yake ni...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo

    #Repost @mwananchi_official —— Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kwa maendeleo. Kikwete ametoa sifa hizo kwa Wachaga, huku akiyahusisha baadhi ya makundi ya watu nchini, ambayo hata kulima kwa ajili...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto amtembelea Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu

    Rais William Ruto leo Jumatatu, Desemba 9 alimtembelea aliyekuwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu katika Kaunti ya Kiambu. Katika andiko la aliyekuwa Msemaji wa Ikulu Kanze Dena, amesema wawili hao walijadili masuala yenye maslahi ya taifa.
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais mstaafu, Jakaya Kikwete achagua viongozi kijijini Msoga

    Rais mstaafu, Jakaya Kikwete akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa kijijini kwake Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, leo Novemba 27, 2024 ikiwa ni uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji unaofanyika nchini.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete aongoza harambee kuchangia gharama za matibabu ya Moyo kwa Watoto wanaotoka Familia Maskini. Zaidi ya billion 2.7 zapatikana

    Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa taasisi na watu binafsi wenye nia njema kujitokeza na kuchangia matibabu ya watoto wenye matatizo ya moyo kutoka familia zisizo na uwezo ili kuwaondolea au kupunguza mateso yanayosababishwa na maradhi...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Dkt. Kikwete: Amani na Utulivu nchini kwetu ni matokeo ya msingi imara uliowekwa Hayati Mwalimu Nyerere

    RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya uongozi wa Baba Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kuongeza kuwa ni jukumu la kila Mtanzania kulinda...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Donald Trump ahofia njama za Iran kumuua, aomba ulinzi wa ndege na magari ya kijeshi wiki za mwisho kampeni uchaguzi Mkuu Marekani

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden asema ameshatoa kibali trump apewe ulinzi sawa na Rais aliyeko madarakani Soma Pia: Marekani yasema Iran ndo ilitaka kumuua Trump Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: October 11...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Rais Mstaafu Awamu ya Nne, Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete

    Nachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete. 1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo. 2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi. 3. Aliamini katika checks and balances mahakama na bunge vilikuwa huru. 4. Aliboresha mishshara ya watumishi wa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Mabwepande Kortini kwa utapeli akijifanya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

    Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimbani Mkazi wa Mabwepande Jijini Dar es salaam, Shembiu Shekilaghe (38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na kujifanya yeye ni Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete huku akijua sio kweli. Wakili wa Serikali, Salma Jafari amesema...
Back
Top Bottom