rais mstaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Leo ni mwezi mmoja kamili tangu Makamu wa Rais Mstaafu Emmanuel Nchimbi kuonekana hadharani

    Tarehe 22/08/2026 kulifanyika uzinduzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere ni mwezi mmoja kamili, ambapo ilikuwa ndio siku ya mwisho (mpaka sasa) ya aliyepata kuwa Makamu wa Rais Balozi Emmanuel Nchimbi kuonekana hadharani. Siku 3 baadae aliandika barua ya kujiuzulu wadhifa huo wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Tabora kwa Ziara ya Siku 4 Kukagua Utekelezaji Wa Miradi ya Afya inayotekelezwa Chini Ya Taasisi Yake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne . Ambapo katika Ziara hiyo Atafanya ukaguzi Wa Utekelezaji wa miradi ya Afya inayotekelezwa Chini ya Taasisi yake ya Jakaya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Mnaweza kudhani kuwa kutoonekana kwa makamu wa rais mstaafu ni jambo dogo mbele ya wananchi. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kutoonekana kwake hadharani kunawafanya wananchi wajiulize maswali mengi sana, miongoni mwa maswali hayo ni, 1. Je yuko hai au amekufa? 2. Je nchi hii iko salama kiasi...
  4. JamiiForums Tanzania Voices From Within: Makamu Rais Mstaafu, Dr. Nchimbi Yuko Salama !Hajazuiliwa wala Hashikiliwi!Ni Yeye Mwenyewe Ndiye Ameamua Kutulia Kimya!

    Wanabodi Naomba kuanza bandiko hili kwa utambulisho wangu, kwasababu this issue is very serious Mtoa mada ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea huu ukiwa ni mwaka wake wa 36 newsroom, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, hivyo ni mtu wa kuaminika, ila pia ni mwandishi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais aliyejiuzulu Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi?

    Tangu ajiuzulu wadhifa wake amekuwa kimya mno. Je, ameenda kijijini kwake kwenda kulima na Kufuga? Emmanuel Nchimbi, nakukumbusha kumbuka viapo vyako ulivyoapa!
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia sana, hawa CHADEMA watakulipa malipo waliyomlipa Dr. Kikwete, Rais Mstaafu

    Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani. Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane. Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto . Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima Lakini leo...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kuzinduliwa kwa kituo cha makumbusho ya rais mstaafu Barack Obama

    https://www.youtube.com/watch?v=LQuVd8blxm4
  8. JamiiForums Tanzania Yasemekana mwili wa hayati rais mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu umeibiwa na wasiojulikana

    Baada ya drama za kutosha kuna jambo jipya limejitokeza. Tetesi zinasema mwili wa hayati Rais wa Zambia hauonekani ulipohifadhiwa huko Afrika kusini. Msemaji na Mwanasheria wa familia ya Lungu, ndugu Makebi Zulu ameutaarifu umma kuwa mwili wa hayati Lungu ni kama umepotea. Mr Zulu anadai watu...
  9. JamiiForums Tanzania Nabii feki Uegber Angel adai Rais mstaafu wa Zambia Lungu alikufa kwa sababu alimkatalia kuingia Zambia

    Nabii feki Uegbert Angel toka Zimbabwe amedai mbele ya misukule inayomwabudu kuwa kifo cha Rais mstaafu wa Zambia Hayati Edgar Chagwa Lungu kimesababishwa na yeye kuzuiliwa kuingia nchini Zambia enzi za uhai wa Lungu. Amedai Hayati Lungu alimzuia kuingia Zambia. Ikumbukwe huyu nabii feki...
  10. JamiiForums Tanzania Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera awasili nchini kwa ziara ya kikazi kama Mjumbe wa Jumuiya ya Madola

    Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini usiku wa kuamkia leo Alhamisi Aprili 9, 2026, akiwa kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola. Chakwera aliteuliwa mnamo Novemba 2025 na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Botchwey kuwa mjumbe maalumu wa jumuiya hiyo, na...
  11. JamiiForums Tanzania Rais mstaafu wa Malawi Lazarus Chakwera awasili Tanzania, atumwa na Jumuiya ya Madola

    Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini kwa ziara ya kikazi usiku wa kuamkia Alhamisi Aprili 9, 2026, ikiwa ni takriban miezi sita imepita tangu ilipotangazwa angewasili kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola. Novemba mwaka 2025, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola...
  12. JamiiForums Tanzania CCM yatoa pole kwa kifo cha Rais Mstaafu wa Algeria, Liamine Zeroual

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid amewasilisha salamu za pole za Chama kwa Algeria, kutokana na kifo cha Rais Mstaafu wa nchi hiyo, Liamine Zeroual. Rabia aliwasilisha rambirambi hizo leo Aprili 1...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete Anampotosha Samia: Wakati Wake Alisimamia Demokrasia, Ajira na Kuepusha Mauaji

    Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya 1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni 2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki. Watu...
  14. I

    JamiiForums Tanzania rais mstaafu hajui biashara?Analazimisha?

    Ni kama analazimisha tu. Hana hicho kipaji.
  15. JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

    Friends and Our Enemies, Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka. Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii. Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Sasa ndio naelewa kuwa uongozi wa hivi sasa ni kama nyumba isiyo na mwenyewe, mke wa rais mstaafu kuwania ubunge kunatupa picha mbaya

    Sasa ndio naelewa kuwa uongozi wa hivi sasa ni kama nyumba isiyo na mwenyewe, mke wa rais mstaafu kuwania ubunge kunatupa picha mbaya. Tanzania ni nchi ya kwanza kuona mke wa rais mstaafu kuwania ubunge, kwa uongozi ambao umeshutumiwa kuwa hakuna mwenye sauti, unabaka katiba ya nchi na chama...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Andiko hili limeandika na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

  18. U

    JamiiForums Tanzania Je Unampa ushauri gani Mzee Joseph Sinde Warioba Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu

    Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kikwete, kwa heshima na taadhima hujatimiza wajibu wako kama Mzee wa Taifa, Rais Mstaafu kumshauri Rais wetu

    Nadhani ni wajibu wako mkubwa , tena wa heshima kumhsauri Rais wetu unapoona kuwa kuna kitu hakiendi vizuri. Washauri wake wengine wanaangalia inclination yake na wao wanapitiliza humo humo. Hawawezi kumwambia ukweli kuwa hili achana nalo, halitaleta afya kwa Taifa. Wanaogpa kumkasirisha...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Iran Hassan Rouhani aliwahi kumuonya Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei kuwa "Mossad iko karibu na sisi kuliko masikio yetu"

    Rais Mstaafu wa Iran Hassan Rouhani aliwahi kumuonya Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei kuwa "Mossad iko karibu na sisi kuliko masikio yetu" - kauli ambayo sasa inaonekana kuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali. Soma kwa kimombo,Years ago, former intelligence minister Ali Younesi revealed...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…