raila

Raila is a part of Kibera slum in Nairobi. Other parts of Kibera include Laini Saba, Lindi, Makina, Kianda, Gatwekera, Soweto East, Kichinjio, Kisumu Ndogo, Makongeni and Mashimoni.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania FALSE "Kikuyus if could elected Raila Martha Karua could be the president right now." Junet

    This graphic is a fake digital poster designed to look like a legitimate news update. There is no record of Suna East Member of Parliament Junet Mohamed making these highly controversial statements targeted at the Kikuyu community regarding Martha Karua, Raila Odinga, or President William Ruto's...
  2. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, Ida Odinga Aliomba Msamaha Kwa Kumualika Rigathi Gachagua Kwenye Kumbukizi Ya Raila?

    Picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inadai kuwa Ida Odinga aliwaomba Wakenya msamaha kwa kumualika aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua katika maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kifo cha Raila Odinga. Picha hiyo, yenye jina la Kenya News Flash na tarehe Oktoba 16, 2026, inanukuu kauli...
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maurice Ogeta - Mlinzi Wa Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga Afunguka Mazito Kuhusu Maisha Yake na Baba

    Karibu mwaka mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Maurice Ogeta, mlinzi na msaidizi wake wa miaka 29, amefunguka kuhusu matukio mazito aliyodai kuyashuhudia akiwa pembeni ya mwanasiasa huyo, kuanzia tukio aliloamini lingemgharimu maisha Raila hadi kutekwa kwake mwenyewe...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto Aongoza Hafla ya Kutoa Heshima na Kukabidhi Jumba la Kumbukumbu la Raila Odinga Kaunti ya Siaya

    Rais William Ruto ameongoza hafla rasmi ya kuweka wakfu na kukabidhi jumba la kumbukumbu la Raila Amolo Odinga (Raila Odinga Mausoleum) katika eneo la Kang’o ka Jaramogi, Kaunti ya Siaya. Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali, Rais Ruto aliungana na Mama Ida Odinga kufungua...
  5. JamiiForums Tanzania Lissu hashauriki; Walishindwa Jaji Warioba na Raila Odinga kuhusu NRNE

    Tarehe 10 Februari 2025 Raila Odinga na Jaji Mstaafu Joseph Warioba walitoa ushauri mzito kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, lakini aliuacha hewani kwa msimamo wake mkali. Tarehehe 22 Machi, 2025 Odinga alimkumbusha Lissu umuhimu wa maridhiano na mazungumzo ya kisiasa na serikali...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi Wakenya walivyomlazimisha Obama aongee Kuhusu Raila (Eulogize him !!!)

    Hii sijui niichukulie vipi nadhani (etiquette) za kwenye mitandao zimetushinda kuna katabia fulani ka kulazimishana na Bullying ambako sidhani kama ni kazuri sana, pia tunakuwa petty sana kwa kufurahishwa na tuvitu, na kupenda kuuza Sura.... Case in Point; Pia soma > Baada ya Wakenya kuvamia...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naangalia procession maziko ya Raila just now, Diginitaries sijamsikia Heche

    Nimemsikia mtoto wa Magufuli Jesca. Nadhani kuna taratibu hazikufuatwa kuiwalilisha Chadema. Ilibidi atajwe. Any explanation kwa anayejua sababu? Au hajafika huko kwenye mazishi
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazishi ya Raila Odinga, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwemo Rais Ruto

    Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Kenya Dr. William Ruto https://www.youtube.com/watch?v=YT87RClirPI Miongoni mwa Waliohudhuria mazishi ni Rais wa Kenya - Samweli Ruto Naibu Rais Kenya - Prof Kithure Kindiki Mama Aida Odinga na Familia ya Odinga Rais Mstaafu wa Kenya - Uhuru kenyatta...
  9. JamiiForums Tanzania Raila Odinga alikuwa rafiki wa mwanaCCM John Pombe Magufuli sio Heche wala Lissu

    Tusitafute kiki bila mpangilio. Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais . Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia jifunze kitu kutokana na kifo cha Raila Odinga

    Angalia upendo wa Raia wote (naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila! Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote. TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja! Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwili wa Raila Odinga ukiwasili uwanja wa ndege Kisumu

    Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amolo Odinga ukiwasli uwanja wa ndege Kisumu, ambapo baadae utafikishwa katika uwanja wa Jomo Kenyatta, Mamboleo
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika history Raila Odinga atabaki kuwa Mwanasiasa Mpinzani Bora Aliyependwa Zaidi

    GT. Huyu jamaa alikuwa smart sana na wala hakuwa na mbwembwe. He was slow but sure. Kama siyo mambo.ya ukabila huyu jamaa alipaswa kuwa Rais wa kenya.
  13. JamiiForums Tanzania Cardiac arrest(Ugonjwa wa raila) ni nini? na unasababishwa na nini

    Kwa ufupi sana ni kusimama kwa ghafla kwa moyo" au "shtuko la moyo". Hali hii hatari hutokea wakati moyo unapoacha kufanya kazi ghafla na bila kutarajiwa, na kusababisha mtiririko wa damu kwenye ubongo na viungo vingine muhimu kukatika. Ikiwa haitatibiwa haraka, inaweza kusababisha kifo ndani ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania nani akifa atapata heshima ya upendo kama ninayoiona kwa Raila Odinga

    Naangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania? Simuoni!
  15. JamiiForums Tanzania Niamini Mimi Lowasa aliliwa na wamasai, Raila analiliwa na wakenya wote, kurudi CCM kulimvua nguo, wanasiasa Kama Wenje tafuteni pa KUFIKA

    Odinga Baba WA wakenya pumzika kwa Amani, binafsi nakutambua kama MWAMba wa Africa, Nimepewa taarifa ulipanga tukitoka hosptalin9 ulipanga kwenda gerezani ukonga kumwona Tundu Anti Pas Lissu, tungeenda gereza la Jeshi la wananchi wa Uganda kumwona Kizya Bessige. Nakuomba upokee naomba haya...
  16. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mapenzi ninayoyaona kwa watu katika msiba wa Raila Omolo Odinga, mara zote 5 za kugombea urais alishinda

    Mapenzi haya sijawahi ona katika maisha yangu! Huyu alipendwa na 99% ya wakenya. Mungu nipe uhai nione maziko ya hawa wetu!
  17. JamiiForums Tanzania Nani anatuwakilisha Mazishi ya Raila Odinga?

    Kama mnavyojua tumepata Msiba wa Afrika Mashariki. Mheshimiwa Raila Amolo Odinga. Je Nani anatuwakilisha huko? Atafutwe Mstaafu mmoja au wawili wakatuwakilishe huko Bondo.
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Amolo Odinga-the warrior

    Raila Amolo Odinga alizaliwa tarehe 7 Januari, 1945. Raila Amolo Odinga ni kiongozi wa mfano katika ukanda wa Afrika Mashariki na bara la Afrika kwa ujumla. Ulale salama "Baba" haya ni miongoni mwa machache katika katika wakati wa uhai wake:- 1. Alitetea haki za Wakenya kwa miongo mitano (5)...
  19. JamiiForums Tanzania Go Raila go never look back

    Go Raila Amoro Odinga go Though you were an enigma, Go this is your karma Go you have finished your work We can cry, grieve, sing, and talk Go Raila it is life Life is like that Go life and death are twins Sometimes, one loses The other time, some gains Yours is a mixed story Some cry will grief...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mamia ya wakenya wajitokeza barabarani kumuomboleza Raila Odinga

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…