raila

Raila is a part of Kibera slum in Nairobi. Other parts of Kibera include Laini Saba, Lindi, Makina, Kianda, Gatwekera, Soweto East, Kichinjio, Kisumu Ndogo, Makongeni and Mashimoni.

View More On Wikipedia.org
  1. Logikos

    Jinsi Wakenya walivyomlazimisha Obama aongee Kuhusu Raila (Eulogize him !!!)

    Hii sijui niichukulie vipi nadhani (etiquette) za kwenye mitandao zimetushinda kuna katabia fulani ka kulazimishana na Bullying ambako sidhani kama ni kazuri sana, pia tunakuwa petty sana kwa kufurahishwa na tuvitu, na kupenda kuuza Sura.... Case in Point; Pia soma > Baada ya Wakenya kuvamia...
  2. R

    Naangalia procession maziko ya Raila just now, Diginitaries sijamsikia Heche

    Nimemsikia mtoto wa Magufuli Jesca. Nadhani kuna taratibu hazikufuatwa kuiwalilisha Chadema. Ilibidi atajwe. Any explanation kwa anayejua sababu? Au hajafika huko kwenye mazishi
  3. W

    Mazishi ya Raila Odinga, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwemo Rais Ruto

    Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Kenya Dr. William Ruto https://www.youtube.com/watch?v=YT87RClirPI Miongoni mwa Waliohudhuria mazishi ni Rais wa Kenya - Samweli Ruto Naibu Rais Kenya - Prof Kithure Kindiki Mama Aida Odinga na Familia ya Odinga Rais Mstaafu wa Kenya - Uhuru kenyatta...
  4. funaku

    Raila Odinga alikuwa rafiki wa mwanaCCM John Pombe Magufuli sio Heche wala Lissu

    Tusitafute kiki bila mpangilio. Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais . Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
  5. R

    Rais Samia jifunze kitu kutokana na kifo cha Raila Odinga

    Angalia upendo wa Raia wote (naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila! Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote. TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja! Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
  6. R

    Mwili wa Raila Odinga ukiwasili uwanja wa ndege Kisumu

    Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amolo Odinga ukiwasli uwanja wa ndege Kisumu, ambapo baadae utafikishwa katika uwanja wa Jomo Kenyatta, Mamboleo
  7. The Burning Spear

    Katika history Raila Odinga atabaki kuwa Mwanasiasa Mpinzani Bora Aliyependwa Zaidi

    GT. Huyu jamaa alikuwa smart sana na wala hakuwa na mbwembwe. He was slow but sure. Kama siyo mambo.ya ukabila huyu jamaa alipaswa kuwa Rais wa kenya.
  8. stakehigh

    Cardiac arrest(Ugonjwa wa raila) ni nini? na unasababishwa na nini

    Kwa ufupi sana ni kusimama kwa ghafla kwa moyo" au "shtuko la moyo". Hali hii hatari hutokea wakati moyo unapoacha kufanya kazi ghafla na bila kutarajiwa, na kusababisha mtiririko wa damu kwenye ubongo na viungo vingine muhimu kukatika. Ikiwa haitatibiwa haraka, inaweza kusababisha kifo ndani ya...
  9. R

    Hivi Tanzania nani akifa atapata heshima ya upendo kama ninayoiona kwa Raila Odinga

    Naangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania? Simuoni!
  10. Sifi Leo

    Niamini Mimi Lowasa aliliwa na wamasai, Raila analiliwa na wakenya wote, kurudi CCM kulimvua nguo, wanasiasa Kama Wenje tafuteni pa KUFIKA

    Odinga Baba WA wakenya pumzika kwa Amani, binafsi nakutambua kama MWAMba wa Africa, Nimepewa taarifa ulipanga tukitoka hosptalin9 ulipanga kwenda gerezani ukonga kumwona Tundu Anti Pas Lissu, tungeenda gereza la Jeshi la wananchi wa Uganda kumwona Kizya Bessige. Nakuomba upokee naomba haya...
  11. R

    Kwa mapenzi ninayoyaona kwa watu katika msiba wa Raila Omolo Odinga, mara zote 5 za kugombea urais alishinda

    Mapenzi haya sijawahi ona katika maisha yangu! Huyu alipendwa na 99% ya wakenya. Mungu nipe uhai nione maziko ya hawa wetu!
  12. and 998 others

    Nani anatuwakilisha Mazishi ya Raila Odinga?

    Kama mnavyojua tumepata Msiba wa Afrika Mashariki. Mheshimiwa Raila Amolo Odinga. Je Nani anatuwakilisha huko? Atafutwe Mstaafu mmoja au wawili wakatuwakilishe huko Bondo.
  13. Mangwea1900

    Raila Amolo Odinga-the warrior

    Raila Amolo Odinga alizaliwa tarehe 7 Januari, 1945. Raila Amolo Odinga ni kiongozi wa mfano katika ukanda wa Afrika Mashariki na bara la Afrika kwa ujumla. Ulale salama "Baba" haya ni miongoni mwa machache katika katika wakati wa uhai wake:- 1. Alitetea haki za Wakenya kwa miongo mitano (5)...
  14. The Father of All

    Go Raila go never look back

    Go Raila Amoro Odinga go Though you were an enigma, Go this is your karma Go you have finished your work We can cry, grieve, sing, and talk Go Raila it is life Life is like that Go life and death are twins Sometimes, one loses The other time, some gains Yours is a mixed story Some cry will grief...
  15. W

    Mamia ya wakenya wajitokeza barabarani kumuomboleza Raila Odinga

  16. Busu la Kenge

    Tetesi: Raila na born town hoi

    Hivi ni kweli hizi tetesi na uvumi Raila na Born town wako Hoi hawawez kuinuka hata kitandani. Ama ni story na porojo za wambea vijiweni wakishashiba na kuvimbiwa na kande? Magonjwa Mtambuka Una roho mbaya Sana. adriz The Consigliere
  17. robbyr

    CHADEMA kwenda kwa Raila Odinga ni kukosa mwelekeo?

    Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa. Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake...
  18. sinza pazuri

    Raila atoboa alichoongea na Chadema: Nimewashauri Chadema warudi kwenye maridhiano

    Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya. Nilifanya majadiliano na viongozi wa upinzani kutoka Tanzania waliokuja kunitembelea kwa ziara ya heshima. Tulibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha demokrasia barani Afrika, ikiwemo mchango madhubuti wa vyama vya siasa katika maendeleo...
  19. S

    RUTO NA RAILA wasaini mkataba wa makubaliano, kufanya kazi pamoja

    Rais wa Kenya William Ruto pamoja na mwanasiasa maarufu nchini humo Raila Odinga wamesaini mkataba utakaowaruhusu kufanya kazi kwa ushirikiano katika kushughulikia matatizo mbalimbali yanayowakabili wakenya. Je unachukuliaje hatua hii ya Rais kusaini mkataba wa makubaliano na kiongozi wa...
  20. U

    Raila Odinga Leo amekaribishwa kwa furaha na heshima kubwa na rais William Ruto ikulu ya Nairobi

    Rais William Ruto ametangaza kuwa atashirikiana na Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, ili kufanikisha ajenda za maendeleo za serikali. Akimpokea Raila Odinga katika Ikulu ya Mombasa siku ya Jumatatu, baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), Rais...
Back
Top Bottom