The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.
Gen Z na Watanzania wote ,hili nawahakikishia 100% hakuna Jeshi la Ulinzi liwezalo FYATUA RISASI zake dhidi ya Wananchi !!.
Infact wanachokifanya ni kututisha, Kwani ni mara ngapi wakati wa Uchaguzi, Ma Vifaru yao huzagaa zagaa Barabarani ?.
Mbinu wanayotumia CCM ni kuzijaza Barabara na...
Yaani simu yangu inashindwa kupokea sms mpya kwasababu ya kujaa kwa hizo messages zenu. Hivi nyie mnafikiri sisi wagombania mwendokasi tunaweza kuiba hizo billions, sisi wahangaika na maji ya mtoni tunaweza iba na kufanya ufisadi wa namna hiyo.
Achani mara moja hii kitu, naongea tena FANYENI...
Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako.
Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini??
Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa
Kwa kweli sijawahi kuona raia useless kama hawa wa Kimara na viunga vyake. Yaani kila siku wanateseka na foleni, wanabebwa kama mizigo kwenye mwendokasi, lakini bado wako kimya, wakiwa wamekaa kwa roho ya “basi tuendelee tu.” Ni aibu.
Hii siyo tena subira wala uvumilivu – ni upumbavu uliokomaa...
MangeKimambi hawajui watanzania vizuri ni kwamba anajisumbua tu. Watanzania hakuna hata mmoja atakae toka kuandamana. Maandamano yao yapo mitandaoni. Kila mmoja anamtegemea mwenzake atoke na mwenzake anamtegemea mwenzake mwingine atoke
Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia wengine wa kuwaongoza.
Hatuwezi kufanya amani kwenye utekaji na mauwaji na ufisadi na kutubambikia kesi za uongo.
No reforms no ELECTION
Ipo kauli inayosema msanii ni kioo cha jamii, kwa sababu wanapaswa kuakisi na kuifunda jamii yao katika mstari ulionyooka katika nyanja zote. Kupitia sanaa yao wanalo jukumu la kuielimisha jamii, kukosoa na kukemea maovu, kuburudisha na kadhalika, yote ni katika kujenga jamii yenye haki, amani...
Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayetuhumiwa kumuua Agnes Wanjiru karibu na kambi ya mafunzo ya jeshi la Uingereza huko Nanyuki miaka 13 iliyopita. Mwili wa Agnes Wanjiru, mwenye umri wa miaka 21, ulikutwa ndani ya shimo la choo mnamo Aprili 2012, wiki chache...
Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi
watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
Epukana na mazoea na hawa maaskari. Haijalishi wewe ni raia mwema au mtu wa madili(naeleweka nikisema mtu wa madili). Kutana nao pale palipo na ulazima . Na mazoea yasi extend zaidi ya hapo.. kama mtaala wao unaotumika pale Ccp Moshi kuwafundisha usipobadilika basi epukana tu na mazoea nao...
Mtu anayeshabikia watu kuonewa na vyombo vya dola anaweza kuitwa kwa maneno mbalimbali kulingana na muktadha na nia yake. Hapa ni baadhi ya maelezo au majina yanayoweza kumfaa mtu wa aina hiyo:
1. Mnyanyasaji kwa hiari (sympathizer wa ukandamizaji)
Huyu ni mtu anayefurahia au kuunga mkono...
Sehemu nyingi Duniani askari police huwa hawana akili. Askari Police wengi asilimia 80 huwa hawana tofauti sana na Mbwa.(Naamini wa Tanzania wapo tofauti) Wana Elimu ya kutosha na wameelimika.
Sasa ukija kwa hawa Police na hata Mbwa huwa wana akili. Huwezi mwambia Mbwa amuume bwana ake akafanya...
Sura ya ndugu Hamphrey Polepole yaonyesha udharirishaji wa hali ya juu kwa taifa lake na watu wa Aina hii uzalendo huwa unawashinda.
Ushauri wangu kwa watanzania wote mjibuni Polepole kwa hoja ili atambue kipindi Kabla hajajivua madaraka alikuwa miongoni mwa hawa anaowadharirisha. Penda taifa...
Watu wanaleta corruption. Watu wengine hata hawajui kwamba kuna Uchaguzi.
Wanataka wafanye mambo yao ya kijinga.
Mimi siyo mtabiri. Lakini nafikiria watu wanapaswa kujihadhari.
Sitaki kuwa muongo na kusema,"Bwana ameniambia hawa watu ni wajeuri. Nitafanya jambo ambalo kila mtu atakayesikia...
Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo.
Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi?
Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda?
Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu...
Kichwa kimekuwa kizito baada ya kumsikiliza ndugu Polepole, kuna nyakati unakutana na habari ngumu usiyo na majibu hata unaona bora usingeijua...! Ni dhahiri kuwa haitatokea mgombea mkuu wa Nafasi ya Urais kwa sasa kujitoa, wala chama chake kutengua maamuzi, lakini pia hakuna mbadala sahihi wa...
Wanaukumbi.
Israel directly targeted Palestinian rescue workers at the Nasser Medical Complex in Gaza's Khan Younis.
Journalists Mohammed Salama, Hussam Al Masri and Mariam Abu Dagga were among those killed, along with at least eight others
================
Israel ililenga moja kwa moja...
Huyu jamaa ukute alifeli form 4 (DIVISHENI FOO ). Na ni haki yake kabisa kufeli.
Uzi tayari
The Mongolian Savage
BICHWA KOMWE -
Maghayo
Ghayo TheMongo Barbarian
litutumbwe
Mufti kuku The Infinity