rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mambo ya Dating Apps: Kupata Mapenzi Huko ni Rahisi au Unapoteza Muda?

    Hivi ukiingia kwenye dating apps, unatafuta mapenzi au unatafuta maumivu? Watu wengi wanajaribu bahati yao huko, na wengine wanajikuta wakipoteza muda huku wakichanganywa na maswipe right na swipe left. Inajulikana kuwa hizi apps zimejaa watu wa kila aina – wengine wanatafuta penzi la kweli...
  2. JamiiForums Tanzania Vitu nilivodhani ni rahisi kumbe sio😆

    Zamani nilidhani mambo yako simple kumbe ni magumu sana, sikujua uhalisia 1. Kufika South Africa Zamani tuliamini South Africa ni hapo tu bondeni, Yaani life likibana hapa Kwa Nyerere ni chap bondeni, Tulipachukulia ni karibu kiumbali na ni rahisi kufika. Hadi Leo South Africa naiona kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeijua siri na njia rahisi ya kua na hela hapa Tanzania

    Nimekua nikiwaza sana hali ya kiuchumi, sasa nimeijua siri ya kuapata hela kirahisi kwa mazingira ya TZ 1. Kufanya biashara/kazi na serikali, ujenzi wa majengo, kusambaza vifaa, vyakula nk. Malipo yao ni kufuru sana ila uwe tayari kula na wenye mamlaka 2. Kua na mamlaka serikalini, unaweza...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wanatafuta hela kwa lengo la kutupindua wanaume ili waishi wenyewe iwe rahisi kuongeza maasi duniani

    Salaam sana " Watakuja masingle maza hapa na wanawake mafeminist pamoja na wanaume wajinga na wavivu kuwajibika kupinga waraka huu wa kweli kuhusu hawa viumbe wazuri malaika na mauwa ya duniani zawadi kwa wanaume, wanao tafuta hela zao wenyewe" Ndugu zangu kama tujuavyo tokea enzi na enzi...
  5. JamiiForums Tanzania Siyo mchezo na rahisi ki hivyo kuweza anayoweza Israel

    Ki ukweli, kama ipo Nchi Duniani inapambana na hali yake kwa kiwango kisichoelezeka, ni Israel. Kuanzia Kusini, Magharibi, Kaskazini na hata Mashariki, Israel kila uchwao anapambania uhai wa Taifa lao pasi na kujali wanasaidiwa na nani. Honestly wa Israel ndiyo binadamu wasio na hakika ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaouza bidhaa za bei rahisi, sahani za plastiki na yeboyebo au viatu vya bei rahisi, mitumba nje ya dareslaam tukutane hapa

    Wakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio. Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo. Karibuni kwa mjadala
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kipi rahisi kati ya kuzuia maandamano na kumwajibisha IGP, Waziri Masauni?

    Salaam, Shalom!! Nimekaa hapa natafakari, kipi Hasa ni Rahisi, 1. Umma wa Watanzania unadai viongozi waliopo IGP, Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni wajiuzulu au wafukuzwe nafasi zao Kisha wateuliwe wengine watakaokuja na Mpango mkakati wa kushughulikia mauaji ya raia na utekaji. 2...
  8. JamiiForums Tanzania Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

    Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu? Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
  9. JamiiForums Tanzania Naomba “Recipe” Nzuri na Rahisi ya kutengeneza “Icecream” za nyumbani.

    Napenda sana kujifunza Mapishi mbalimbali na kutengeneza nyumbani. Lakini linapokuja Suala la “Icecream” za Maziwa kuna kitu Bado sijaelewa vizuri. Wajuzi wa kutengeneza naomba msaada.
  10. JamiiForums Tanzania Ni rahisi kuwakamata wauaji wa Marehemu Ali Kibao ikiwepo dhamira ya dhati na iwapo Polisi watatumia mbinu hii

    Kwa kawaida hawa watekaji na wauaji wanapofanya uharamia kama waliomfanyia Ali Kibao RIP, huwa wana watu wao ambao huwa wamewapanga barabara zote watakazopita ili wasipate kizuizi mahali popote wakiwa na mateka. Hata wasipokuwa na mateka, wakishafanya tu uharamia, huwa hawataki wasimamishwe...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za ndani, bei rahisi sana

    Vitu vya ndani vinauzwa kwa bei nafuu; Hisense smart TV, inch 43 ina box lake - 350,000/= Friji ndogo - 100,000/= Feni kubwa - 30,000/= Viti vya plastic (3) - 15000/= Meza ya kioo ndogo - 50,000/= Kochi la watu wawili - 80,000/= Meza ya kuwekea jiko, mtungi mkubwa oryx na jiko la plate2...
  12. JamiiForums Tanzania Njia rahisi za kuyapima mahusiano yako

    Kila mtu anataka kuwa katika upendo, lakini si kila mtu yuko tayari kujitolea kweli. Hapa kuna njia rahisi za kujaribu ikiwa ni upendo wa kweli: Mtihani wa Ukweli: Mapenzi ya kweli ni ya uaminifu. Ikiwa unaficha mambo kutoka kwa mpenzi wako, inaonyesha kuwa huna upendo wa dhati. Kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania MWENYE KUJUA APARTMENT / AIRBNB YA BEI RAHISI DAR ES SALAAM

    Habari ndugu zangu, kama kicha cha habari kinavyo sema hapo juu, nina ugeni wa mtu wangu ambaye atakaa kama siku 14 (week mbili), sasa nilitaka kupata aprtiment nzuri yenye kila kitu ndani WIFI ISIKOSEKANE (kuanzia maeneo ya kiluvya, kibamba, mbezi, goba, kimara, tabata, ubungo , sinza, mlimani...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Viongozi wa Chama Cha Upinzani wenyewe ndo hawa akina NTOBI.. CCM kutoka Madarakani sio rahisi

    Huyu ni kiongozi wa CHADEMA anaeneza uzushi ambao sijui lengolake ni lipi NTOBI @Ntobi_ · 14h Kumekucha! Air Tanganyika
  15. T

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kuangalia AzamTV Max kwenye Android/Google TV

    Hii ni kwa ajili ya TV na device zinazotumia Android/GoogleTV tu hii haisupport app ya Azam bila shida nyingi za sideloading. Mfano ni Chromecast, Mi TV stick/box, baadhi ya TV za Sony, Hisense, TCL, Nvidia Shield etc. Hii haihusu TV za Samsung (Tizen), AppleTV, LG (WebOS), VIDAA OS, na TV Box...
  16. JamiiForums Tanzania Njoo ujifunze kutongoza ni rahisi tu (Matokeo Siku 3 tu)

    Usijaribu kudate na Mwanamke asiye na hisia na wewe. Fanya udadisi... ndipo mtongoze kwa kumwambia hata mimi nahisia sana na wewe. Examples of Questions; Unamwanaume, Yes or no If yes, vip unalidhika nae anakufikisha kunako vizuri, is he romantic? if No, Vipi ukiwa na mimi.. ? Look at me, am...
  17. JamiiForums Tanzania Sumsung A14 inahitajika full box kwa bei rahisi ( 270k) mfukoni ipo hapa.

    Ndio wakuu napokea call 0621011063. Naweza ongeza kidogo bei.
  18. JamiiForums Tanzania Single Maza ni rahisi kuolewa kuliko ambae hajazaaa

    Huku mitandaoni single Maza hathaminiki. Maneno meengi ila ukija field sasa mwanamke WA miaka 40 mwenye watoto watatu ni rahisi kuolewa kuliko mwanamke WA miaka 40 Bikra. Kuzaa sio mwisho wa mapenzi.wapo watakaokupenda Tu .kwanza watoto wanaleta rizki sana.wanafungua hata Milango iliyofungwa.
  19. T

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata nafasi (cheo) ndani ya CCM au Serikalini kupitia siasa.

    Kwa Tanzania kama unataka kuendesha maisha yako kupitia siasa unatakiwa uwe ndani ya CCM kwani ndio chama kilichoshika dola. Ukiwa ndani ya CCM ni rahisi kupata nafasi (cheo) ndani ya chama au Serikalini. Lakini tatizo CCM ina watu wengi sana kuliko nafasi za uongozi au vyeo vya kuwapa wanachama...
  20. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Watanzania na Wamalawi, Wazambia na Wakenya iko kwenye vitu vikuu vitatu.

    Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…