rafiki yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mpenzi wa rafiki yangu kabanwa na pumu akiwa chumbani kwa jamaa

    Habarini za uzima wakuu, rejeaa mada husika hapo juu. Kumekuwa na misemo mingi inayozungumzia athari za uzinzi ,mmojawapo ni "uzinzi gharama". Masaa mawili au chini ya hapo Leo tarehe 30 05 2021, roommate wangu kakoswa koswa na balaa la kufiwa na mtoto wa mwenyewe room kwetu. Ilikuwa majira...
  2. JamiiForums Tanzania Najutia tukio hili: Sikuweza kumsaidia rafiki yangu akajinyonga

    Wakuu Salaam, Kama kichwa cha habari kinavyosema. Niliwahi kuwa na rafiki yangu wa karibu sana,alikuwa sio mgonjwa au sikujua anaumwa. Tulikuwa tukikutana ana tabasamu zaidi ya mimi na muda wote alikuwa anafuraha mpaka mimi alikuwa ananishauri akiniona sina furaha. Siku moja aliniambia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…