rafiki yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hii ndio siku nilipogundua rafiki yangu ni nyoka, wewe ulijuaje rafiki yako ni msalaliti ?

    Nilipata dili safi, nikamtafuta huyu ninayemwita “rafiki” twende tukapige kazi tugawane 50/50 kama wanaume. Kumbe mwenzangu ana roho ya korosho. Bila kuniambia neno, akaenda kwa boss aliyenipa kazi nyuma ya mgongo wangu. Kufika huko akauliza nimemchaji sh ngapi. Akaambiwa ile ile bei...
  2. Mgaratia Wa bongo

    Si uungwana kuzungumzia mambo ya uzinzi mbele ya Mke wa rafiki yako

    Kuna ushamba fulani hivi wanaume huwa wanaufanya ambapo kimsingi si uungwana na ustarabu hata siku Moja. Jamaa mmoja tulisoma wote chuo kikuu Sasa juzijuzi kapata ajira katika mji ambapo Mimi nafanya kazi. Sasa aliponiambia amepata anakuja kuripoti nikamwambia afikie kwangu Cha ajabu Sasa jamaa...
  3. K

    Mtag rafiki yako alikuwa anaandika "AKUMBUKWE"kwenye Kuta za Shule

    Kuna Mwanangu alikuwa anaitwa maro, alikuwa baada ya kuangusha divi chooni🤣 anachukua kijiti anaandika ukuta ndani ya choo na nje, machata unakuta mengi mengi ya Wana wa shule, Ukiiingia toilet 🚽 mara mzigo huo uko pembeni ya shimo harafu mzito unasema huyu ni mtoto au mtu mzima noma sana🤣😂
  4. Desierto

    Ulikutanaje na rafiki yako ambaye kwa sasa ni kama ndugu yako

    Kuna wakati inatokeaga kama ajali mtu usiye mtarajia akaja kuwa rafiki wa muhimu kwenye maisha yako. Mm nilikutana na huyu jamaa kama kmteja tu na huu ni mwaka wa 5 amekuwa rafiki wa faida kwetu sote wawili.
  5. Equation x

    Je, kumtafuta rafiki yako, kipindi ukiwa na shida tu ni sahihi?

    Wakati mambo yanaenda vizuri kwako; kiajira, kibiashara au kimahusiano, hukuweza kumtafuta rafiki yako. Ila baada ya mambo kukwama; kwenye ajira, biashara, mahusiano n.k ndio unaanza kumtafuta rafiki yako akupige jeki; Je hii ni sahihi?
  6. ELI COHEN

    SLAVE MENTALLITY: Unaweka watu foleni kugombania nafasi ya kuwa rafiki yako, nilijuaga urafiki unakuja kiasili.

    Kuna mtu humu anawaenjoy masela basi na wao wanachekeleeea hawajui kwamba wapo katika "matrix" yake ya kujimbwafai.. Too bad wachache ndio wataelewa.
  7. jamaikatz

    Umemtongoza demu wa rafiki yako unaenda kumla unakuta bado ni bikra

    Hii imenitokea juzi kati kuna jamaa yangu, mmoja alikuwa demu wake mkali ,alisha wahi kunitambulisha kwa huyo demu wake ,sasa mazoea yakaanza mimi na huyo shemela ,tukawa tunaitana shem shem +kutaniana sana sasa siku moja nika jaribu kumshushia swagga akawa amejaa kwenye mfumo, kumpeleka ghetto...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Uume wako sio rafiki yako zaidi ni adui yako mpaka ujifunze kuudhibiti

    UUME WAKO SIO RAFIKI YAKO. NI ADUI MPAKA UJIFUNZE KUUDHIBITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli * Uliwahi kujiuliza Kwa Nini siku hizi huwezi kujisimamia? Huwezi kujiamrisha? Maisha yanahitaji Malengo, malengo huhitaji Mipango na mikakati, Mikakati huhitaji Focus, nidhamu. Nidhamu...
  9. Technophilic Pool

    Unaweza kumuajiri rafiki yako kwenye kazi yako?

    Sheria moja kubwa ya Kaz ni kutochanganya mapenzi kwenye kazi au kutoruhusu mahusiano ya kimapenzi kazini (Inamaana kubwa hasa kama unafikiri kwa kutumia kichwa cha juu) Je, vipi kuhusu kumuajiri rafiki yako kwenye kampuni au ofisi yako?
  10. mdukuzi

    Usimpe jirani au rafiki yako yako unga,mpe mahindi ,hela au muache afe njaa

    Jirani yako akikuomba unga,mpe mahindi au mpe hela Kama vyote huna,muwache afe njaa Kwa maana ukimpa unga akaumwa tumbo,hautobaki salama,
  11. realMamy

    Umewahi kusalitiwa na rafiki yako?

    Watu wengi wamekuwa na marafiki wanaowaeleza Siri mbalimbali. Siri hizo huweza kuwa za kimahusiano, kikazi na Mambo kama hayo. Je uliwahi mueleza mtu Siri yako na ukaikuta kwa mtu mwingine kama ilivyo. Ulichukua hatua gani?
  12. GENTAMYCINE

    Raila Odinga wahenga waliposema kuwa Kikulacho ki Nguoni mwako na Adui yako ni Rafiki yako wala hawakukosea

    Cornelius K. Ronoh @itskipronoh It’s confirmed: President Mama Samia Suluhu Hassan and Paul Kagame voted for Mahmoud Ali Youssouf. Interests come first, not neighborhood or friendship. GENTAMYCINE siongezi kitu wala sipunguzi kitu ila Raila Odinga Yeye ajue tu kuwa Waafrika UNAFIKI ni TUNU...
  13. Rorscharch

    Ukipoteza Kumbukumbu zako zote ungependa nani akusimulie historia ya maisha Yako? Rafiki Yako mnayelewa pamoja? Mke/Ex Wako? Mtoto wako?

    Ni usiku wa kawaida jijini Mbeya. Clara, binti mrembo mwenye tabasamu la upole lakini macho yenye siri nzito, yupo na marafiki zake wawili pamoja na mpenzi wake, Anthony. Wanaketi kwa utulivu wakifurahia biriani na bia, wakicheka kwa sauti nyororo zinazopotelea gizani. Katika mtiririko huu wa...
  14. R

    Lissu, Leo Dkt. Slaa ni rafiki yako, unakuwa mwepesi wa kusahau au ni unafiki kwa vile alikuunga mkono dhidi ya Mbowe? Jikumbushe kidogo

    Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli? - Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
  15. Thecoder

    Angalau 3/10 ya rafiki wa rafikiyo wasipokua rafiki zako, rafikiyo si rafiki yako

    Kimsingi ili watu wawe marafiki ni lazima wawe na vitu mfanano vya kuongelea, kwa maana kama hamna vitu mfanano vya kuongelea ni ngumu kutengeneza ile bond kati yenu kwa maana baada ya Salam mnakua mnaangaliana tu na badala yake kila mmoja anatoa simu yake anaanza kuperuzi peruri ili wakati...
  16. Scared

    Ukishabikia Simba na Yanga lazima kichwani ziwe zimepungua na umasikini lazima uwe rafiki yako

    Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa. Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa na gari ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka...
  17. G

    Wazazi hugundua marafiki wa uongo, Watoto hugundua ndugu wanafki, Marafiki hugundua mpenzi asiekufaa,

    Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki Marafiki wa karibu wana jicho makini kuweza kumtambua mpenzi asiekufaa
  18. G

    Wazazi wana uwezo mkubwa kutambua rafiki feki, Rafiki yako ni rahisi kugundua mpenzi asiekufaa, Watoto wana kipawa cha kumjua ndugu mnafki

    Huwezi kuwajua watu wako wa karibu lakini kuna watu wa karibu wana uwezo mkubwa kuwasoma watu wako wengine wa karibu, Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki Marafiki zako wana jicho makini kuweza kujua mpenzi...
  19. G

    Upo tayari kuvumilia mateso kiasi gani usimwambie rafiki yako msaliti sehemu ulipoficha shilingi bilioni 2

    Ni vitu vinavyotokea kwenye maisha ya kweli, sio kwenye muvi tu, bilioni 2 ni lugha ya kimafumbo ya kiasi kikubwa cha fedha kwako kinachoweza kubadili maisha yako. Hio ni siri yako ambayo rafiki yako anaijua kwa juu juu hajui ulipozificha pesa. Ghafla rafiki anaingiwa tamaa ya usaliti anataka...
  20. Infiniteposibilities

    Hivi ni kweli usimkopeshe rafiki yako kama ni wa kike?

    Mwenzenu Mangi nimepigwa na kitu kizito. Yaani siamini. Nimekuwa na kiherehere cha kuwatetea wanawake kwenye karibu kila nyuzi zinazomponda mwanamke lakini hivi karibuni nimepigwa tukio hadi fikra zangu zimeyumba. Naomba wanawake mtanijibu maswali hapo chini lakini wanaume wenzangu mnisaidie...
Back
Top Bottom