radhi

Ahmed Radhi Humaiesh Al-Salehi, (Arabic: أحمد راضي هميش الصالحي‎, 21 April 1964 – 21 June 2020) was an Iraqi footballer who played as a forward.
Regarded as one of Iraq and Asia's best players of all-time, Radhi scored the only Iraqi goal in the FIFA World Cup during its 1986 edition, a low shot to the corner of the net against Belgium in the 2–1 defeat. He was voted the 1988 Asian Footballer of the Year.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    Ni wakati sasa kwa Serikali kumuomba radhi Tundu Lissu aliyeshauri mapema kuachana na madai ya Barrick

    Ripoti za Mruma na Osoro juu ya Barrick/Acacia kulimbikiza deni hadi kufikia Trln 425 zilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alizikosoa na kuziita ni “Professorial Rubbish Report”. Lissu alitoa ushauri wake kuwa kutokana na repoti hizo Barrick...
  2. Dk. Mwaka, tumia busara kidogo, namshauri RPC au RC wamuite na kumtaka aombe radhi, hii amani imepatikana kwa gharama

    Namshauri Dk mwaka aombe radhi tu, hakuna atakachopungukiwa. Analeta malumbano yasiyo na msingi. Namshauri Mkuu wa Mkoa amwite na kumnasaha aombe radhi, ikishidikana RPC amwite kwa mahojiano, maana analeta viashiria vya uvunjifu wa amani nchini. Ahojiwe,labda anatumika na kundi ambalo...
  3. Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Mwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015. Niliamini huyo ndio atakuwa msaada katika kuijenga Tanzania inayofuata...
  4. Tundaman Kuingia na Jeneza, Simba SC yaomba Radhi

  5. Kuna mwanamke ni forex trader namtafuta aniombe radhi

    Habari Wanajamii. Kuna siku moja isiokumbukwa Jina nikiwa kwenye mishe mishe zangu za utafutaji nilikwenda Kariakoo kununua material za kutengeneza maasai sendo, baada ya kumaliza manunuzi yangu nikapanda mwendo Kasi pale gerezani kuelekea zangu kivukoni nia ni kurudi home kurudisha material...
  6. N

    Video: Manara aomba radhi kwa Waziri na kusonya mwishoni

    Episodes za sope takadini zinaendelea, ama kwa hakika ni burudani juu ya burudani,msione watu wana mafuvu jamani mengine hayajahifadhi akili, ni makasha ya kuhifadhia meno ambayo kwa bahati mbaya kwa wengine hata mswaki hayajui ni nini. Haya waziri umeombwa radhi kwa kupewa makavu siku ya...
  7. I

    Sisi tusio na ajira tuko radhi mtuajiri hata kwa laki moja kwa mwezi

    Nawashangaa Sana hii mifanyakazi ilivyo mibinafsi. Sisi wengine hawatufikirii kabisa inajifikilia yenyewe. Mama achana nao kwanza walipata prevelege ya kuajiriwa tu na siyo lazima tuko wengi tusio na ajira na tuko tayari hata kujitolea. Toa hiyo mifanyakazi inayotaka milion. Sisi hata laki...
  8. Je, kwa haya Mauaji yanayotokea Mikoa mingine huu siyo wakati wa kutuomba Radhi wana Mkoa wa Mara kwa kutuchafua tokea zamani?

    Siku hizi kila ukisikia tu Mauwaji pamoja na Ukatili mbalimbali utasikia tu ni Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Iringa, Mbeya, Mtwara, Morogoro, Singida, Dodoma, Shinyanga, Mwanza, Ruvuma na Kagera tofauti na ilivyozoeleka na Kukaririwa kuwa Mkoa Kinara wa Kutukuka kwa Vitendo hivi ni Mkoa wangu...
  9. Papa Francis aomba radhi kwa kusitisha ziara ya Afrika

    Papa Francis ameomba radhi kwa watu wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo na Sudan Kusini kwa kusitisha safari yake ya kufanya ziara katika nchi hizo kutokana na matatizo ya kushindwa kutembea. Kiongozi huyo wa Vatican alitangaza kusitisha ziara yake hiyo ya Julai 2-7, 2022 kutokana na tatizo la...
  10. Idris Gueye agoma kuomba radhi kwa kutokuunga mkono LGBTQ+

    𝗜𝗱𝗿𝗶𝘀𝘀𝗮 𝗚𝘂𝗲𝘆𝗲 ni mchezaji wa klabu ya mpira wa miguu ya Paris Saint Germain (PSG) aliyekataa kuvaa jezi ya timu yake ambayo kwa upande wa namba ilikuwa imeandikwa rangi zenye kuashiria mahusiano haramu ya jinsia moja na watu waliobadili jinsia kwa pamoja wanajitambulisha kama LGBT+. Hivi...
  11. Tulioona mapema kuwa Bernard Morrison hatufai Simba SC na aachwe, ila 'tukatukanwa' na 'kudhihakiwa' Mitandaoni tuombwe Radhi tafadhali

    Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana. Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
  12. Q

    Halima usishupaze shingo omba radhi urudi kundini, jifunze kwa Sofia Simba na Membe

    Mifano iko mingi, najua Chadema unaipenda na Chadema inakupenda pia tatizo ni wewe kujiona unauwezo kukizidi chama, viongozi wako unawaita wahuni? Jishushe, bado naiona future yako ndani ya Chadema na si kwingineko. Membe, Lowassa, Kinana, Makamba sr, Nyalandu, Sumaye walijaribu kutofautiana na...
  13. Putin amuomba radhi Waziri Mkuu wa Israel kwa matamshi ya Lavrov

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amuomba radhi waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennet kwa matamshi aliyoyatoa waziri wake wa mambo ya Nje Sergei Lavrov kwamba Hitler alikua na damu ya kiyahudi. Rais Putin pia amepongeza uhusiano mzuri Kati ya Urusi na Israel. Waziri Mkuu wa Israel amekubali msamaha...
  14. Dkt. Slaa aomba radhi kwa hoja yake “Ripoti ya CAG inapotoshwa’, Zitto Kabwe atoa neno

    Siku moja baada ya mwanasiasa Willbrod Peter Slaa kukosoa mchakato wa jamii kuichambua ripoti ya CAG kwa madai kuwa sheria hairuhusu kufanya hivyo mpaka Kamati ya Bunge iipitie, ameomba radhi kwa kueleza kuwa alikuwa anasimamia sheria ambayo haikufanyiwa kazi. Dkt. Slaa alinukuliwa akisema...
  15. M

    Tafadhali yule JamiiForums Member maarufu aliyesema mapema kwa Kujiamini kuwa Simba SC anatolewa leo na akatukanwa sana aombwe Radhi upesi

    ID yake nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja hapa au wale wanaoijua wataitaja muda si mrefu kwani ni Maarufu mno. Nakumbuka alianza kwa kusema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kama ilivyo kawaida yake kuwa Yanga SC ndiyo watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League huku akitoa sababu zake za Kiufundi...
  16. Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

    Leo bungeni mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amemvaa vikali kiongozi mkuu wa ACT, Zitto Kabwe kwa kumsema Hayati Magufuli. Kibajaji amemuita Zitto muoga kupitiliza kwani wakati Magufuli yupo hai hakusema mpaka ameondoka. Pia Kibajaji amesema wote wanaomsema Magufuli ni wanafki na hata Samia...
  17. Mwanza: Mgambo Waliowapora Machinga ndizi wasimamishwa, Waziri aingilia, Halmashauri yaomba radhi

    Kufuatia Video iliyosambaa mitandaoni ikionyesha Mjasiriamali mdogo wa ndizi akichukuliwa bidhaa zake na mgambo wa Halmashauri ya Mwanza, kuna matamko kadhaa yametolewa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa WAZIRI AAGIZA MKUU WA MKOA AINGILIA "Nimeona video inayosambaa...
  18. Cristiano Ronaldo avunja simu ya shabiki wa Everton, aomba radhi, Polisi waingilia kuchunguza

    Polisi wa Merseyside wamethibitisha kuwa wanafuatilia taarifa ya tukio ambalo Cristiano Ronaldo wa Manchester United anatuhumiwa kwa kuikwapua simu ya shabiki wa Everton na kuivunja. Tukio hilo inadaiwa lilitokea jana Aprili 9, 2022 baada ya Man United kufungwa bao 1-0 na Everton kwenye Uwanja...
  19. Waziri Mkuu Kasim Majaliwa tayari umeshajikanyaga, fanya hima ukawaombe radhi wana NgoroNgoro

    NB :Hii itabaki kumbukumbu ya vizazi na vizazi. Baada ya PM Majaliwa kuingilia na kuunda kamati ya jinsi gani kuwaondoa jamii ya Kimaasai katika eneo la Ngorongoro, watanzania na dunia wamesikitishwa na kulia machozi ya damu baada ya kufanyiwa fitina na siasa isiyo na chembechembe ya UTU kwa...
  20. Gazeti la The Citizen laomba radhi kwa habari ya 'kushadadia' vita ya Urusi Vs Ukaine

    Gazeti la The Citizen la Jumatano Machi 9, 2022 limeomba radhi kwa kile kilichoandikwa katika habari yao kubwa gazetini hapo ambayo ilitoka Jumatatu Machi 7, 2022. Katika The Citizen la Machi 7, ilitoa habari kubwa ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho: “UKRAINE CONFLICT NOT ALL BAD...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…