KWANINI NI RAHISI KUIKARIRI QURAN?
Watu wengi wanaweza kuhifadhi nyimbo za Bongo Fleva, hadithi au mashairi ya Kiarabu, lakini hiyo haimaanishi kuwa ni Neno la Mungu. Kuweza kukariri kitu hakuthibitishi kuwa ni cha kiungu.
Vivyo hivyo, hoja kwamba Qur’an ni rahisi kukaririka haithibitishi...