Mbunge;
Kiwanda cha madawa ya mbu kimebaki MAHAME nini mpango wa serikali huku mkiagiza madawa ya mbu nje.
NW Viwanda mbunge muongo kiwanda kinafanya kazi.
Spika naagiza kamati ifike kiwandani kama ni mahame au kinafanya kazi.
Swali langu kama mbunge wa eneo husika haaminiki kamati ya siasa...