psg

PSG College of Technology is an autonomous, government aided, private engineering college in Coimbatore, India. It is affiliated with Anna University. It is affiliated to PSG and Sons Charities Trust. Among engineering colleges in India, PSG College of Technology was ranked 6th in private engineering colleges by India Today in 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipa wa PSG apata ajali mbaya akiendesha farasi, awekwa chini ya uangalizi maalum

    Sergio Rico ambaye ni kipa namba 2 wa Paris St-Germain amepata majeraha makubwa katika ajali wakati akiendesha farasi Nchini Hispania alipoenda kwa ajili ya mapumziko. Rico (29) alikuwa katika Mji wa Huelva na baada ya ajali hiyo iliyohusisha farasi kugongana alisafirishwa kwa helikopta...
  2. Lionel Messi asimamishwa kazi PSG kwa wiki mbili

    Paris Saint-Germain imechukua uamuzi huo kutokana na kusafiri kwenda Saudi Arabia kufanya matangazo ya biashara bila ridhaa ya klabu yake. Wachezaji wa PSG walitakiwa kupata mapumziko ikiwa wangeifunga Lorient katika Ligue 1 lakini walipoteza kwa magoli 3-1, hivyo Kocha Christophe Galtier...
  3. F

    Bilionea Msuya angetumia akili ya Hakimi wa PSG kwenye ndoa yake. Dada yake asingeuliwa na Mke wake, ukoo wa mke kusimamia mali zake wasingeweza

    Habari wadau. Wengi tumeona trend kubwa mtandaoni ya divorce ya mcheza mpira Hakimi. Nimekumbuka story ya Marehemu Bilionea Msuya wa Arusha. Mali zake alizoacha zimesababisha dada yake bilionea msuya achinjwe kama kuku na wifi yake. Pia mali za bilionea msuya zimesababisha ugomvi mkubwa...
  4. PSG inataka kumsajili Fred kwa Tsh. Bilioni 84

    Taarifa za ndani zinaelezwa kuwa klabu hiyo ipo tayari kutoa Paundi Milioni 30 kwaajili ya kiungo huyo wa Manchester United. Paris Saint-Germain (PSG) imehusishwa na Mbrazili huyo licha ya kuwa amesaini nyongeza ya mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuicheza Man United. ============== PSG eye...
  5. Mmiliki wa PSG asema Dunia haitendi haki kwa Qatar

    Nasser Al-Khelafi amesema kuwa vyombo vya habari haitendi haki kwa jinsi vinavyotoa taarifa hasi kuhusu Qatar ambao ni wenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia 2022. Qatar imekosolewa na vyombo vya habari hasa vya Magharibi kuhusu masuala ya haki za binadamu, kupinga mapenzi ya jinsia moja na...
  6. Uhusiano wa Mbappe na PSG wazidi kuharibika

    Kylian Mbappe inadaiwa anaweza kuvunja mkataba na klabu yake ya Paris-Saint Germain ikiwa uhusiano utazidi kuwa mbaya kutokana na kutofurahishwa na baadhi ya mambo. Mvutano huo inaelezwa umesababisha baadhi ya wachezaji wenzake kumtenga wakiamini tabia yake inaweza kutengeneza sumu kikosini...
  7. TFF na CAF waipe adhabu Yanga kwa kumchezesha Mayele ambaye kiwango chake ni cha kuchezea timu kama PSG, Barcelona, Real Madrid, Manchester

    Huu mpira anaoupiga Mayele sio wa Afrika hii. Kuna namna Yanga wamefanya. Haiwezekani mchezaji hatari kama Mayele achezee timu hizi za Kitanzania. CAF na TFF waimulike Yanga na ikiwezekana waiadhibu . Mayele analeta imbalance uwanjani.
  8. PSG yaanza mchakato wa kumuwania Marcus Rashford

    Klabu ya Paris Saint-Germain imeanza mazungumzo na Manchester United kwa nia ya kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo, Marcus Rashford. Licha ya taarifa hizo inadaiwa kuwa Rashford mwenyewe ana furaha kuendelea kubaki Manchester United, lakini bado PSG mpango wao ni kukamilisha usajili huo kabla...
  9. Baada ya mazungumzo Pochettino akubali kuondoka PSG

    Inaelezwa kuwa Kocha Mauricio Pochettino anaondoka Paris Saint-Germain baada ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba baada ya kuifundisha timu hiyo kwa muda wa miezi 18. Kocha huyo raia wa Argentina ameshinda taji la Ligue 1 lakini aliishia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, matokeo...
  10. Timu nyingi zimepigwa kwenye usajili kuanzia Chelsea, Man Utd, PSG, Arsenal, Yanga, Simba

    Chelsea: kumsajili Torres kutoka Liverpool na Lukaku kutoka inter. Man Utd: kumsajili Ronaldo kutoka Juventus. Psg: kumsajili Neymar na Messi kutoka Barcelona. Arsenal: kumsajili Pepe kutoka Lille. Yanga: kumsajili Makambo mara ya pili. Simba: kumsajili Chikwende kutoka Platnum.
  11. PSG yaifunga Real Madrid 1-0, Uefa Champions League, Messi akikosa penati

    Matokeo ya mechi za kwanza hatua ya mtoano, PSG ikianza vizuri nyumbani kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Real Madrid. Unadhani PSG wana nafasi ya kutoboa katika mchezo wa marudio na vipi kiwango cha Meddi ni kweli kinazidi kushuka au hajakaa sawa?
  12. TANZIA Jean-Pierre Adams afariki dunia baada ya kukaa miaka 39 kwenye Coma

    Jean-Pierre Adams alikuwa mchezai PSG huko chini Ufaransa, baada kupata majeraha kulikuja kutokea bahati mbaya hospitalini kufanya oparesheni ambayo ilikuwa siyo na kupeleka kuwa kwenye coma miaka 39. Mpaka umauti umemfikia umri wake ni miaka 73 Pia soma > Mjue Mchezaji mpira Jean Pierre Adams...
  13. Utata dili la Messi kwenda PSG, Perez adaiwa kutia mkono wake ili ampate Mbappe

    Punde baada ya Lionel Messi kutangaza kuondoka Barcelona, baadhi ya Wajumbe walianza kujiuzulu nyadhfa zao ndani ya klabu wakilalamika kusalitiwa na Rais Laporta Wengi wanadai dili la Messi kwenda PSG ni Rais Perez wa Real Madrid anahusika, wakiamini ndie aliemshauri Rais Laporta kwakuwa ni...
  14. Picha: Mashabiki wa PSG waiiga Yanga, wampokea Messi Airport

  15. Lionel Messi akubali kujiunga na PSG kwa mkataba wa miaka miwili, kulipwa £ milioni 25 kwa mwaka

    Messi (34) amekubali kujiunga na PSG baada ya kuondoka katika Klabu ya FC Barcelona aliyoichezea kwa miaka 21 Inaelezwa atasaini mkataba wa miaka 2 wa thamani ya kulipwa Paundi Milioni 25 (baada ya kodi) kwa mwaka. --- ✍Lionel Messi amefikia makubaliano na PSG kujiunga nao akiwa mchezaji huru...
  16. Barcelona yaishitaki PSG usajili wa Messi

    Barcelona yafungua kesi Mahakami kupinga usajili wa Lionel Messi kujiunga na PSG, wakidai klabu hiyo haiwezi kumsajili mchezaji huyo kutokana na rekodi mbaya ya mapata na matumizi ya klabu hiyo, ambapo wanaamini wakifanya hivyo watavunja kanuni ya Financial Fair Play. Mawakili wa Barcelona...
  17. Usajili wa Lionel Messi utaifanya PSG kuwa ya moto sana

    Qatar confirms Lionel Messi is signing for PSG 10 hours ago / autty Developments regarding Lionel Messi's immediate future are coming quicker than anyone expected, and after Barcelona announced he wasn't staying as recently as Thursday night, the brother of the Emir of Qatar has confirmed that...
  18. Sergio Ramos kufanya vipimo vya afya leo PSG

    Sergio Ramos leo inaripotiwa kuwa atafanya vipimo vya afya Paris Ufaransa kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na PSG, Ramos atasaini mkataba wa miaka miwili.
  19. Wijinaldum amesaini mkataba na PSG, miamba ya soka ya jijini Paris, Ufaransa

    Wijinaldum amesaini mkataba na miamba ya soka ya jijini paris ufaransa (PSG) kuitumikia mpaka juni 2024. Ikumbukwe Barcelona walikuwa na nafasi kubwa ya kumpata mchezaji huyu lakini akabadili na kwenda kusaini kwa miamba hiyo ya Paris.
  20. Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

    Habari. Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba: Leg 1. 27 April 2021 Tuesday Paris Saint Germain Vs Manchester City Real Madrid Vs Chelsea Leg 2. 04 May 2021 Tuesday Manchester City Vs Paris Saint-Germain Chelsea Vs Real Madrid Hapo bila kupepesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…