propaganda

Propaganda is communication that is used primarily to influence an audience and further an agenda, which may not be objective and may be presenting facts selectively to encourage a particular synthesis or perception, or using loaded language to produce an emotional rather than a rational response to the information that is presented. Propaganda is often associated with material prepared by governments, but activist groups, companies, religious organizations, the media, and individuals can also produce propaganda.
In the 20th century, the term propaganda has often been associated with a manipulative approach, but propaganda historically is a neutral descriptive term.A wide range of materials and media are used for conveying propaganda messages, which changed as new technologies were invented, including paintings, cartoons, posters, pamphlets, films, radio shows, TV shows, and websites. More recently, the digital age has given rise to new ways of disseminating propaganda, for example, through the use of bots and algorithms to create computational propaganda and spread fake or biased news using social media.

View More On Wikipedia.org
  1. Propaganda za Oakland zinadaiwa kuwayumbisha The Guardian na vyombo vya habari

    Propaganda za Oakland zimewayumbisha The Guardian na vyombo vya habari. Mradi wa Regrow unaendelea na fedha zinatoka kama kawaida. Kumekuwa na taarifa hasi kuwa benki ya Dunia imesimamishwa kuendeleza mradi wa REGROW taarifa hizi si za kweli ni upotoshaji wa taasisi ya Oakland institute. Kuna...
  2. Yanga acheni kutengeneza propaganda na kutafuta visingizio

    Nimeona mitandaoni baadhi ya mashabiki wa yanga sc wakiongozwa na haji manara na wachambuzi uchwara wakieneza propaganda kuwa viongozi wa simba sc wanapanga kuwahonga wachezaji wao ili wacheze chini ya kiwango tar 20. Nachokiona ni propaganda na visingizio vinavyoandaliwa baada ya kichapo...
  3. B

    Irani na Israeli wana Undugu usioyumba, Makombora 300 ya Irani naona kama ni Propaganda

    Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli. Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja? Hawa Wayahudi na Waajemi wan Undugu wa Kiroho Tangu zamani. Nikurudishe nyuma kidogo. Mambo mema...
  4. Ahmed Ally acha propaganda haisaidii, uwe na aibu hata kidogo

    Namsikiliza kwenye radio free sahizi anasema Simba nafasi ya ubingwa tunayo timu iko imara, mashabiki waache kulalamika,huwezi kuwa mbovu wakati umefika robo fainali club bingwa, upo nafasi ya pili ligi kuu na una ngao ya jamii,, akaongeza kwamba mashabiki wanalishwa maneno ya uongo kwamba Mo...
  5. Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere umekamilika hakuna propaganda ya kuuzuia tena

    Hongera kwako Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimama kidete na hatimaye mradi huu mkubwa wa kimkakati na uliopigwa vita na Wakoloni, Wakoloni mamboleo,vibaraka wa wakoloni na wasiojitambua ...hatimaye umekamilika na umeanza kutoa huduma. Mradi huu ni mkombozi wa nchi na kamwe kama mzalendo...
  6. Romania: Wabunge wataka marufuku ya TikTok kuzuia propaganda na jumbe za kihafidhina

    Wanasiasa kutoka muungano wa kisiasa wa vyama vyenye uwakilishi mkubwa katika bunge nchini Romania wanapendekeza marufuku au "udhibiti mkali" wa mtandao wa TikTok, kufuatia utafiti unaoonesha kukua kwa uungaji mkono wa siasa kali za mrengo wa kulia miongoni mwa vijana, ambao ni watumiaji wakubwa...
  7. Kumbe Warusi walionywa kuhusu shambulizi wakapuuza wakasema ni Propaganda. Sasa imewatokea puani

    Yaani warusi wa Moscow wameambukizwa tabia za warusi wa tandahimba. ——––———————————————— Ikulu ya Marekani imethibitisha kuwa ilionya mamlaka za Urusi mapema mwezi Machi kuhusu kuwepo na uwezekano wa shambulio linaloweza kulenga “maeneo yenye watu wengi” mjini Moscow. “Mapema mwezi huu...
  8. Simba na (Ahmed Ally) waache propaganda waandae timu

    Hii timu yangu natamani waache propaganda ingewezekana waachane na media wajifiche sehemu wajinoe haswa, Hizi propaganda za Ahmed Ally ipo siku atakuja kupigwa mawe, jamaa akiongelea kuhusu Simba utadhani ni Real Madrid au Man City, watu tunaaminishwa uwezo ambao wachezaji hawana na tunapata...
  9. Wallace Karia: Jwaneng galaxy FC kufanya mazoezi Avic town ni uzushi na siyo habari za ukweli Bali ni propaganda tu

    "Kunapropaganda ilikuwa inapigwa kwamba ile timu ilikuwa inafanya mazoezi Avic Town tulifuatilia sisi na wizara tukakuta ni propaganda" Rais wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF), Wallace Karia wakati akiwaomba wadau wa soka kuwa na ushabiki wenye manufaa kwa nchi. Credit kwa Azam sports.
  10. Mpira ni uwekezaji na sio propaganda, Yanga endeleeni kuwaziba midomo wanafiki, mnawajibu kwa vitendo hongereni!

    Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano...
  11. M

    Chombo cha habari cha Israel chafafanua propaganda yaliyotokea Oktoba 7

    Baada ya tukio la october 7, zilikuwepo taarifa za kuonyesha kuwa kulikuwa na unyama mkubwa sana uliofanywa na HAMAS siku hiyo ikiwemo ubakaji na mauaji ya watoto. Uongo huo ulisambazwa dunia nzima na hivyo kuipa Israel cover ya kwenda kufanya mauaji ya kimbari Gaza. vyombo kadhaa vya habari...
  12. Propaganda za bandari ya Mombasa zafika mwisho

    Bandari ya Mombasa imekumbwa na chnamogo kubwa ya msongamano wa meli kiasi cha watumiaji bandari hiyo kuwaandikia wateja wao na kuwapa tahadhari juu ya kuchelewa kupakuliwa kwa mizigo yao kwa zaidi ya siku kumi Barua ya Januari 18, 2024 kwenda kwa watumiaji wa bandari hiyo inaeleza kuwepo kwa...
  13. Je ni maneno ya kweli au ni propaganda?

    Kuna baadhi ya wauzaji au madalali wa Magari wanasema Gari ambayo ni 4Wd sio nzuri kwasababu zifuatazo. 1. Zinakunywa sana Mafuta 2.Utengenezaji wake unakuwa mgumu. Hapo nazungumzia kwa upande wa Zanzibar,tena kwa baadhi ya Yadi ambazo ni maarufu. Kwa mfano Dalali anaweza kukuambia kwamba...
  14. Niliwahi kusema hapa propaganda za viongozi wa Simba kuna siku wataumbuka na sasa arobaini zao zimefika!

    Viongozi wa Simba wamekuwa wakiishi kwenye tabia za ovyo sana kwenye kuendesha klabu yao, uongo uongo umekuwa sehemu ya maisha yao kwa muda mrefu wakiwadanganya wanachama wao mambo mengi na kwa bahati mbaya ni wanachama wachache wenye akili timamu waliokuwa wanagundua ilo jambo! Viongozi hawa...
  15. Mbingu na ardhi vimejitenga rasmi, kelele nyingi na propaganda uchwara avichezi mpira uwanjani!

    Nafikiri Sasa jibu limepatikana ya kwamba ukija kucheza na yanga usije kichwa kichwa Kama vile unaenda harusini, unaweza kupigwa kipigo Cha mbwa mwizi kwa maana wanao wachezaji wenye ubora mkubwa sana hasa hasa viungo wao ni hatari kuliko corona! Simba wameingia kucheza Kama vile wanacheza na...
  16. Propaganda: Kimahesabu tumedanganywa

    Tunaenda na mabasi 80 yaliyojaa, Kila basi Lina avarage ya 55 passengers ..so total kwa basi 80 n 4,400 na kila abiria aliambiwa anaandae 50k ya hotel na sio lodge, bado Kuna wale wataoenda na ndege na private cars approximately 5000 Guests in Kigali. Je Kigali yenye yenye watu 1M inaeza...
  17. B

    Kuzuiwa Lissu, habari na Propaganda CHADEMA mko wapi?

    Habari za mwisho tokea eneo la tukio kumhusu mwamba huyu nguli wa siasa: "Yeye na wenziwe walikuwa wamefunga njia. Hapiti mtu kwani hata hao wamezuiwa isivyo halali." Sasa kitengo chetu cha habari na propaganda kipo kimyaaa ...! Nini kinaendea eneo la tukio? Sisi tulioko Lindi, Tarime au...
  18. Legacy ya Hayati Magufuli haitofutika mbele ya wanyonge ila bado hakuwa malaika, alikosea pia

    Moja kati marais ambao wanakumbukwa kwa miradi na kulinda maslahi ya wanyonge wa Tanzania ni hayati John Magufuli, huyu jamaa itachukua muda sana kuja kupata Rais kama huyu mchapa kazi. Nikiangalia jinsi nchi inavyotafunwa na wachache namkumbuka sana huyu mwamba, kwa sasa uzembe serikali...
  19. Mzee Wassira unatuaibisha Mkoa wa Mara kwa Unafiki, Kutumika na Propaganda za Kipuuzi

    Mzee pumzika sasa, hili la DP World linakuabisha na kukuvua kabisa nguo kwa unavyolitetea hovyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…