project

Contemporary business and science treat as a project (or program) any undertaking, carried out individually or collaboratively and possibly involving research or design, that is carefully planned (usually by a project team) to achieve a particular aim.An alternative view sees a project managerially as a sequence of events: a "set of interrelated tasks to be executed over a fixed period and within certain cost and other limitations".A project may be a temporary (rather than permanent) social system (work system), possibly constituted by teams (within or across organizations) to accomplish particular tasks under time constraints.A project may be a part of wider programme management or an ad hoc structure.
Note that open-source software "projects" (for example) may lack defined team-membership, precise planning and time-limited durations.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unahitaji nyumba nzurii? Basi hapa umefika we do best design for your project call us 0624004650

    CHECK OUT THIS 4BEDROOMS DESIGNS PLOT SIZE 800SQM TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekuwa nikifikiria kuanzisha Project ya utengenezaji wa Bahasha za kaki (Vifungashio)

    Habari ya wanajukwaa wenzangu, Mimi ni kijana wa kiume nipo mkoa wa Mbeya,nimekuwa nataman kuwa mtengenezaji bahasha hizi za kaki zinazotumika kama vifungashio. Nimefuatilia kwenye mitandaoni kuona wapi naweza pata ujuzi na tarifa rasimi juu ya huu mradi lakini nimekosa. Naomba kwa amabae...
  3. JamiiForums Tanzania My first independent research project? A humbling experience.

    Hello JF community it's been a long time I've not shared a thread here but today I just need to share this thread about my first independent research project and a humbling experience I got. I had confidence, I had the topic, and I thought I had it all figured out. But I quickly learned that...
  4. JamiiForums Tanzania Project Electrical Engineer at Derm Group (T) Ltd April 2025

    Job Description Project location : Dar es salaam Nature of project : Substation Responsibilities Design and develop electrical substation layouts and specifications. Perform engineering calculations for equipment sizing and system performance. Oversee construction, installation, and...
  5. JamiiForums Tanzania Naamini watu kama godlove na huyu mdada aliepata kesi ya utapeli ni watu wa waina ya "project maalum" inayoandaliwa na watu kwa ajili ya kazi maalum

    Yani over sudden unashangaa mara pap mtu amekuwa MAARUFU. alipotokea hatujui, alipopitia hatujui, ila mnakuwa overwhelmed na umaarufu wake unaokuwa engineered labda na urembo wake, pesa zake, scandal, etc Watu hawa wanachukuliwa kwa ajili ya kutimiza matakwa fulani mfano kuzubaisha watu dhidi...
  6. JamiiForums Tanzania FIRST CLASS WORKMANSHIP FOR YOUR PROJECT CALL US +255624004650

    UNAHITAJI MTU SAHIHI WA KUKUJENGEA CALL US +255624004650
  7. JamiiForums Tanzania Tuna bahari ila uwezo wa kupata samaki wa bahari mikoa mingine ni kama ndoto?

    Hivi hakuna tajiri ambaye mwenye uwezo wa kununua meli inayoweza kuvua tani kubwa za samaki. Sawa tuna serikali njia za reli ila zimeshindwa kuwa na mabehewa yenye friji kusambaza bidhaa hii ya samaki. Tuje kwa wawekezaji hakuna mtu ambaye ataweza kuonesha kumbe watu wa maziwa tunaweza kupata...
  8. JamiiForums Tanzania Tether USDT scam project Kuna siku tutalia sana, Grok AI kaipa red flag kwamba haiamini lakini anataka ni iamini, Je tether ni scam project ya USA?

    Wadau Leo ktk pitapita zangu nikakutana na mpango wa Marekani kufungua crypto reserve kama walivyofanya kwenye Gold reserve kule fort Knox. Lakini Kuna siku niliwahi sema siiamini USDT kwasabu ni scam project Kwa ninavyo amini Mimi. Lakini Leo nikaona nichart na Grok AI ya marekani. Kwanza...
  9. JamiiForums Tanzania Jifunze Mobile App Development kwa Kutengeneza Project Mbalimbali!

    Karibu kwenye darasa letu la mobile app development! Hapa tutajifunza React Native kwa vitendo, tukijenga project 4 halisi kwa wiki moja moja. Jiunge na group letu la Whatsapp na upate uzoefu wa kweli katika kutengeneza apps. Jiunge na group letu WhatsApp hapa: WhatsApp Group Link
  10. A

    JamiiForums Tanzania No reforms No election ni project nzuri lakini ngumu mno. Plan B & C ni ipi?

    Wana madai ya Msingi sana. UHALISIA ULIVYO Kiukweli mazingira yaliyopo kwasasa katika chaguzi zetu hayatoi nafasi kwa upinzani kushinda nafasi yeyote ile isipokuwa kwa hisani, huruma au utashi wa CCM yenyewe.... Hili lilishasemwa sana sitaki nirudie. Kukubali Uchaguzi katika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kweli wa Tanzania tumeshindwa hata kujenga bara bara za mwendo kasi wenyewe ? Bwawa sawa ni Complex project ila hata BRT roads hatuwezi

    Hili limeniumiza sana Kweli karne hii bado wazawa tumeshindwa kabisa kusuka nondo na kumwaga zege kwa ajili ya kujenga barabara ili ma bus ya mwendokasi yapite. Wageni tunaowapa tenda wanatudharau sana.
  12. JamiiForums Tanzania Arab contractor wanakabidhi bwawa la umeme, watu elfu 11 wameshiriki kulijenga, ndio Mradi Mkubwa wa kiuhandisi kuwahi kutokea Tanzania

    Muda si mrefu kampuni ya ujenzi inakabidhi bwawa la umeme. Ujenzi wa bwawa hilo ndio biggest engineering project kuwai kufanyika Tanzania na Africa mashariki yote. 1. idadi ya watu 11856 wamefika rufiji na kushiriki kulijenga 2. Raia wa mataifa 56 tofauti wamefika rufiji kushiriki kulijenga...
  13. JamiiForums Tanzania Kila kitu ni mradi hapa duniani (project) na binadamu ni mradi wa Mungu pamoja na shetani these are making big Profits

    Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil. God and devil are the same Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki Wanampa mtu utajiri na umasikini Wanatoa laana . N.k So usipokuwa makini you will hustle in vain forever Lazima ukae na hawa coordinator in...
  14. JamiiForums Tanzania Maajabu! Aliyekopa kidogo kwa miaka 6 maendeleo yanaonekana, Ila aliyekopa Trilion 35 kwa miaka minne hakuna project ya maana inayoonekana!

    Hakika ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Wakati wa awamu ya tano, nchi ilikuwa busy mno huku miradi ya maendeleo ikirindima kila pembe ya nchi, Kuanzia mradi mkubwa wa bwawa la Nyerere, Mradi wa SGR, mradi wa airport terminal III, barabara, Magufuli bus terminal, nk. Huku yote hayo...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu anatafuta taasisi ya kufanyia field ya project planning

    Habari za muda huu wanaJf. Kama kichwa kinavyojieleza,nina mdogo wangu anasoma "Bachelor of Project planning and community dvt" anatafuta taasisi ya kufanya mafunzo kwa vitendo(field) mkoa wowote Tanzania.Hivyo basi nimekuja kwenu naamin nitapata msaada wenu members wa humu juu ya hili suala...
  16. JamiiForums Tanzania Senior Project Coordinator anahitajika

    Kampuni ni ya nje inamilikiwa na wa Bangladesh ina miradi inatekeleza nchini hivi sasa, kwa ambaye yuko tayari ana vigezo anaweza kuomba.
  17. JamiiForums Tanzania Zijue Sababu za Kwanini ni Wasira?, He is The Right Man at The Right Time & The Right Place. It Is A Project!, Ikikamilika, Atang'atuka, Kama Kinana!

    Wanabodi, Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM. Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!. Wakati Comred Kinana aking'atuka, aliomba kupumzika, na kutoa sababu ni kupisha vijana, damu changa, damu chemka...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

    Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje. Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Project Consulting Services

    Providing strategic solutions to projects in the following areas: 1) Education (primary, secondary and intermediate colleges providing various certificates) 2) Community based programs or initiatives 3) Business oriented initiatives. Mode of services: ■As part time consultant./individual...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini project nyingi ndogo ndogo za afrika ili ziendelee, inabidi tuombe pesa toka huko kwa wazungu? Kwetu hatuna matajiri?

    Habarini: Sizungumzii project kuuubwa, k.v ujenzi wa SGR au bwawa la umeme nazungumzia project za kawaida kama ujenzi wa choo cha wanafunzi, au darasa au maabara kwenye shule, au ujenzi wa vyumba vya waalimu, kisima, dispensary etc Sometimes unakuta hela inayohitajika sio pesa nyingi sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…