programming

  1. B

    Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    Nilianzia kujifunza programming mwenyewe hapo dar. Nikapiga kazi online kwa miaka kadhaa (soma baadhi ya posts zangu). Leo asubuhi nimepata hii email.
  2. Jifunze programming

    Habari wana jamvi, naanza kufundisha javascript programming. Focus kubwa itakuwa katika web development. Utajifunza dynamic web pages. Gharama ni sawa na bure, utalipia 10,000 na ntafundisha kwa mwezi mmoja. Mfumo wa kufundisha ni whatsapp or telegram kutegemea na mwitikio wenu. Ntaanza rasmi...
  3. Programming Resource for beginners

    Mara nyingi huwa watu wanapost humu kuwa wanataka kujifunza programming na hawajui waanze wapi. Ukiwa beginner kupata resources nzuri zenye mpangilio mzuri ni mtihani kwa wengi. Challenge inakuja pale unapotaja mtiririko mzuri wa kujifunza. Kupata mtiririko mzuri utakao kuguide vizuri usipende...
  4. Fursa za frontend development

    Jamani habarini za jumapili nashukuru mungu mm kwangu imeenda poa. Poleni waliokutana na matatizo ya hapa na pale. Ni hivi kipindi hicho 2018 nilijiingiza katika kujifunza computer programming japo niliacha baada ya kujiunga na chuo na pia kupoteza pc. Sasa Jana nikiwa na simu yangu nilikua...
  5. R

    Wataalamu wa solidty programing na blockchain naomba msaada

    Salamu wakuu, Nina tokens (ERC20 token) kwenye wallet ya Metamask na zinaonyesha thamani ya wastani wa $8 kwa token lakini kwenye etherscan inaonyesha $0. Kuna namna ya kutengeneza Dapp ambayo itaunganishwa (integrate) na Metamask na kuweza kuzitumia hizi tokens for online payments?
  6. Nawezaje kujifunza programming

    Habari za uzima wakuu katika jukwaa la teknolojia...Awali ya yote mimi ni kijana wa kitanzania mwenye mapenzi makubw sana ya teknolojia japokuwa sio kitu ninachosomea katika elimu yangu ya juu. Katika utafiti wangu nimegundua kwa maisha ya sasa unahitajika kuwa na angalau ya ujuzi katika...
  7. Je, ni wapi naweza kusoma Kozi ya Programming?

    Habarini wana JF, nimekuwa nikiwaza sana mahali gani nitasoma Programming hasa; Webdesing, Android, IOS, Mac, Windows, App development, Game na mambo ya Software. Ni muda gani nitatumia mpaka course kukamilika na ni wapi na kama ikiwezekana nijue na ada. Nawasilisha.
  8. Natafuta fundi wa funguo za gari na programming kwenye immobilizer

    Ninahitaji mtaalamu wa kunifanyia marekebisho, nilinunua gari mnada wa TRA likiwa halina ufunguo(ulipotelea mezani kwao) katika mazingira hayo nililazimika kulibeba kwenye crane hadi garage, na kwakuwa gari lina immobilizer nahitaji mtaalamu wa kunifanyia mambo mawili 1. Kunitengenezea...
  9. Eeprom Programing Error

    Hello bosses..! Nahitaji kuprogram Eeprom ya immobilizer ya kwenye gari lkn naambiwa 'Chip detect error' Reader ninayoitumia ni EZP2010, chip ni RA57. Any ideas wataalam Cc: dronedrake
  10. C

    Napenda kujifunza Programming language

    .
  11. Swahili Programming Language - swap

    Swahili programming language (swap) ni lugha ya kuprogram kwa kutumia maneno ya Kiswahili, ni lugha ya kwanza kabisa kuruhusu mtu kuweza kuandika kodi kwa kutumia maneno ya kiswahili (swahili lexical terms), lugha hii ilizinduliwa rasmi tar 2020-05-24 , lengo kuu ikiwa ni kusaidia kujifunza...
  12. R

    Mwenye ujuzi wa blockchain na solidity programming tafadhali

    Habari wakuu. Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi wa programming in solidity, blockchain na smart contracts anisaidie kuweka function ninayohitaji kwenye smart contract ambayo nilitengenezewa na mtu na sasa simpati tena. Contract imekuwa deployed kwenye testnet ya Ethereum blockchain.
  13. Ten cool Programming Careers

    Hi hustlers, I hope you're fine I want to share with you the following cool programming careers apart from being a programmer analyst or data-entry operator as following: 1: Programming computer games. 2: Animating with computers. 3: Encrypting data. 4: Fight computer viruses. 5...
  14. Q

    Programming Language soma ujifunze kitu

    Wadau mpoo habari za kitambo kidogo Leo mekuja hapa naona watu wengi wanapost thread kuhusu programming ila wengi wanishia njiani. Kwa hiyo kuna wengi wanopenda kujifunza wanaishia njiani hawajui wapi pa kuaznia na wapi pa kuishia sasa leo nataka nikudokeze kitu kidogo nikupe mwanga...
  15. Ni Programming Language gani unaisoma sasa?

    Nipo katika safari ndefu ya kujifunza computer programming.Sasa hivi ninajifunza Fortran na c++.Fortran ni kifupi cha Formula Translation. Fortran ni language ambayo ni very powerful na application zake zinatumika kwenye systems zinazodeal na scientific na engineering computations Yaani mahali...
  16. Jaribu kufanya haya unapotaka kujifunza programming

    Nafikiri umekuwa ukijiuliza maswali mengi juu ya programming, kwamba ni kitu gani, kinafanya nini na utawezaje kukifanya, siko hapa kukufundisha maana haiwezekani ila nitakueleza njia ambazo nimekuwa nikizitumia kujifunza programming tangu siku ya kwanza niliposikia msamiati huu. Nafikiri...
  17. Nimerudi tena wakuu na hili tatizo la programming

    Habarini wana programmers.. Nina tutorials nilisoma kwenye w3schools nikadownload codeblocks kwa ajili ya kufanya practice, lakini tatizo ni kwamba ninapotaka ku-run code inazingua sasa sijui tatizo nini. Na kwenye ile tutorial naona cout iko na rangi iliokoza sio kama yangu TATIZO NI WAPI...
  18. Nahitaji kufahamu naanzia wapi kufanya programming kwenye lugha ya java na C

    Wakubwa natumain Kuna best IT's humu Kama sio programmers, Ninaomba mnisaidie nina maswali kadhaa kuhusu programming mimi binafsi napenda sana hi kitu ila sielewi naanzia wapi. Nimejarb kujfunza kwenye solo learn language ya Java na c++ lakini inapofika na mimi kutaka kufanya kwenye computer...
  19. Programmers tujadili hapa

    ..
  20. Website za kujifunza programming kwa vitendo kwa njia ya mashindano (competitive programming)

    Habari za leo wadau, natumaini mko poa. Leo nataka nije na uzi unaoelezea kuhusu namna ya kujifunza programming kwa vitendo na kushiriki katika mashindano ya coding online ambapo pia unaweza kushinda kitita cha pesa kama ukiwa umejinoa kwelikweli. Zipo websites mbalimbali zinazofanya vitu kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…