Programmers tujadili hapa

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,159
2,000
Kwa kweli kujifunza hii kitu ni changamoto hasa unapokuwa na papara, nilijifunza Java kwa muda mrefu mpaka Sasa naendelea kujifunza lakini kiwango nilkcho nacho sio kile cha Kwanza maana kufahamu kucheza nayo kwa ajili ya watu halisi ni hatua pia maana wengi uishia kucheza nayo kwa ajili ya computer na assignment tu.
Nirudi kwenye mada

Niseme tu programming ni msitu wenye Kila aina ya mnyama na ili umkamate mmoja au wawili lazima uwe na nguvu na vitendea kazi vizuri maana Kila mnyama ana nguvu ya aina yake.

Sasa inategemea na wewe unataka mnyama yupi kwa sababu zipi na hii lazima uulize watu waliokwisha winda na kufanikiwa kupata mnyama Kama huyo yaani programming language.

Nilipoleta mada hii hapa chini

https://www.jamiiforums.com/threads/how-to-learn-java-in-one-single-day.1672970/
niliishia kuona view tu nafikiri hakuna aliyeelewa ina maana gani lla niseme nilikua napima kitu flani hapa jf.

Unaweza mfikiliaje mtu wa namna hii yaani ujifunze language kwa siku moja ni ngumu labda syntax na kukalili ili ujibie maswali ya chuo.

Na hii ni changamoto kubwa ya beginners na hapa ndipo tunapofeli.

Hatuna ushirikiano, hatuna maarifa lakini ukishajua tu push() na pop() sijui cin na cout zinafanya Nini basi unajiona mwalimu na hakuna wa kukukosoa hapa lazima ukwame.

Kingine nimekiona hata kwa developer wakubwa eti jamaa ziko pamoja Kama tatu Kila mmoja anaplay part yake lakini sio kwamba jirani yake hafahamu namna ya kusolve bug flani iliyotokea sasa jamaa inaanza na kuuliza kwenye forum online na wakati hapa Kuna wenzie ambao hata angeanza nao ikishindikana ndo waende majuu unajua hapa Kuna faida. kwanza unamchallenge mwenzio na pia anaweza kukuambia vitu vikali ambavyo vinaongeza maarifa hii ni changamoto hasa kwa wabongo.

Tufikie hatua tubadilike mtu anakujia anahusika na AI wewe unahusika na mormal web app Sasa cha ajabu anaanza kukuponda hii ni tekinolojia ya kishamba hamia AI eti sababu ni kwamba web app tech ilishapitwa na wakati kwa Sasa AK ndo mpango mzima hii nayo ni changamoto.

Watu wanaangalia trend za mtandaoni kuliko hata uhalisia wa kazi na jamii zinazowazunguka.

Naishia hapa

Luhan _chen

JF-Expert Member
Nov 10, 2019
243
250
Mimi nilijifunza shule, lengo la huu uzi ni kutaka kuwasaidia wale wanaotaka kujua programming bila kupitia college, maana wengi wamekua wakitaka mwongozo lakini wanakosa so nimeweka kama platform kwa wote
mm ni mwanafunzi natarajia kujiung na Kidato Cha 4 mwk huu 2020,,,,Ningepend kujua ili ni some Information technology ni Masomo gan nahitaj kuyasoma na principle pass zipi zinahitajika ili nijiung na Chuo Cha IT, ,,,,Also ni Vyuo gan ambavy ni bora Kwa course za IT, ,, ,,,,,,, , , NB Me ni mwanafunzi wa Science subjects ,,,,awaiting yo response
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
1,240

inategemea sana na upande wa field unataka kuelekea, sijui end point yako ni nini lakini kuna some fields zinategemeana: mfano ukitaka kujua tu programming basically you need to know nothing than reading , writing and cha muhimu kuliko chote kuelewa:

if you want to be a lifetime programmer you probably need to be programming all day, all years, all decades: to upgrade yourself, kama hauko bado na vision ya which field you want please make sure unajua physics, maths sana sana: am telling you this because most of the programming utafanya chuo might sound useless mbelen unless you want employment, most fields za programming are becomming extint in some years to come: (*MOST*) understand that (*MOST*)

why am i saying most? because most programmers you will ever encounter are just basic of them and they have a moderate life but if you to be extra ordinary prepare to do extra ordinary, about chuo: kama utaweza kufanya NANO DEGREES. sio degrees za chuo but NANO DEGREE, itakua a bonus kwako
 
Thanx bro ,,,,
 
Steve junior

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
363
250
Kwa kweli kujifunza hii kitu ni changamoto hasa unapokuwa na papara, nilijifunza Java kwa muda mrefu mpaka Sasa naendelea kujifunza lakini kiwango nilkcho nacho sio kile cha Kwanza maana kufahamu kucheza nayo kwa ajili ya watu halisi ni hatua pia maana wengi uishia kucheza nayo kwa ajili ya computer na assignment tu.
Nirudi kwenye mada

Niseme tu programming ni msitu wenye Kila aina ya mnyama na ili umkamate mmoja au wawili lazima uwe na nguvu na vitendea kazi vizuri maana Kila mnyama ana nguvu ya aina yake.

Sasa inategemea na wewe unataka mnyama yupi kwa sababu zipi na hii lazima uulize watu waliokwisha winda na kufanikiwa kupata mnyama Kama huyo yaani programming language.

Nilipoleta mada hii hapa chini

https://www.jamiiforums.com/threads/how-to-learn-java-in-one-single-day.1672970/
niliishia kuona view tu nafikiri hakuna aliyeelewa ina maana gani lla niseme nilikua napima kitu flani hapa jf.

Unaweza mfikiliaje mtu wa namna hii yaani ujifunze language kwa siku moja ni ngumu labda syntax na kukalili ili ujibie maswali ya chuo.

Na hii ni changamoto kubwa ya beginners na hapa ndipo tunapofeli.

Hatuna ushirikiano, hatuna maarifa lakini ukishajua tu push() na pop() sijui cin na cout zinafanya Nini basi unajiona mwalimu na hakuna wa kukukosoa hapa lazima ukwame.

Kingine nimekiona hata kwa developer wakubwa eti jamaa ziko pamoja Kama tatu Kila mmoja anaplay part yake lakini sio kwamba jirani yake hafahamu namna ya kusolve bug flani iliyotokea sasa jamaa inaanza na kuuliza kwenye forum online na wakati hapa Kuna wenzie ambao hata angeanza nao ikishindikana ndo waende majuu unajua hapa Kuna faida. kwanza unamchallenge mwenzio na pia anaweza kukuambia vitu vikali ambavyo vinaongeza maarifa hii ni changamoto hasa kwa wabongo.

Tufikie hatua tubadilike mtu anakujia anahusika na AI wewe unahusika na mormal web app Sasa cha ajabu anaanza kukuponda hii ni tekinolojia ya kishamba hamia AI eti sababu ni kwamba web app tech ilishapitwa na wakati kwa Sasa AK ndo mpango mzima hii nayo ni changamoto.

Watu wanaangalia trend za mtandaoni kuliko hata uhalisia wa kazi na jamii zinazowazunguka.

Naishia hapa
https://www.jamiiforums.com/threads/how-to-learn-java-in-one-single-day.1672970/
Programmers wengi wa bongo bado tunasumbuliwa na hali ya ubinafsi miongoni mwetu, pia na hali ya ego, ni ngumu sana programmer A kuappreciate uwezo wa programmer B, hii inafanya wengi kukwama palepale, lakini hizo ni just challenges tu
 
Steve junior

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
363
250
inategemea sana na upande wa field unataka kuelekea, sijui end point yako ni nini lakini kuna some fields zinategemeana: mfano ukitaka kujua tu programming basically you need to know nothing than reading , writing and cha muhimu kuliko chote kuelewa:

if you want to be a lifetime programmer you probably need to be programming all day, all years, all decades: to upgrade yourself, kama hauko bado na vision ya which field you want please make sure unajua physics, maths sana sana: am telling you this because most of the programming utafanya chuo might sound useless mbelen unless you want employment, most fields za programming are becomming extint in some years to come: (*MOST*) understand that (*MOST*)

why am i saying most? because most programmers you will ever encounter are just basic of them and they have a moderate life but if you to be extra ordinary prepare to do extra ordinary, about chuo: kama utaweza kufanya NANO DEGREES. sio degrees za chuo but NANO DEGREE, itakua a bonus kwako
Exactly mkuu
 
King snr

JF-Expert Member
May 25, 2015
1,105
2,000
mm ni mwanafunzi natarajia kujiung na Kidato Cha 4 mwk huu 2020,,,,Ningepend kujua ili ni some Information technology ni Masomo gan nahitaj kuyasoma na principle pass zipi zinahitajika ili nijiung na Chuo Cha IT, ,,,,Also ni Vyuo gan ambavy ni bora Kwa course za IT, ,, ,,,,,,, , , NB Me ni mwanafunzi wa Science subjects ,,,,awaiting yo response
Jitahidi ufanye vizuri kwenye Mathematics(lazima) af upate supporting subjects Physics na Chemistry,
Kwa vyuo vya I.T nadhani D.I.T na UDOM wako vizuri zaidi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom