Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameelekeza mafunzo ya Dini Shuleni yatolewe kwa kufuata miongozo na mitaala iliyopitishwa na pia kuridhiwa na Viongozi wa Dini.
Prof. Mkenda awaasa Wazazi kuwa makini na mafunzo yanayotolewa kwa watoto kuhusu masuala ya imani.
Amesema...
Wizara ya elimu chini ya Profesa Mkenda hii aibu mnaitaka bila sababu. Kama mlijua fedha hakuna kulikuwa na haja gani ya kuita waalimu toka mikoani kuja Arusha kwenye semina na wamekaa wiki mbili mpaka wanamaliza tarehe 2 Mei,2023 hamjawalipa fedha zao.
Huu mradi wa SEQUIP imefadhiliwa na benki...
Habari wanabodi,
Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu pilikapilika za wanafunzi kusoma shuleni. Imekuwepo tabia ya baadhi ya shule kuwabakiza wanafunzi kipindi cha likizo kwa kigezo cha kuwaandaa na mitihani ya taifa.
Kitendo hicho ni kinyume na sera pamoja na miongozo ya elimu inayomuhitaji...
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini Veta, licha ya kuwapatia Watanzania elimu ya ujuzi kama nia na dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, na kuwezesha wananchi, hasa vijana kuajirika kwa urahisi, kuongeza tija ya uzalishaji viwandani na...
Kilele cha Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kinatarajia kufanyika Aprili 13, 2023 Jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na waandishi mahiri kutoka nchi mbalimbali duniani.
Hayo yamesemwa leo Machi 29, 2023 kisiwani Zanzibar na Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na...
Na WyEST
MWANZA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolf Mkenda amemuagiza Kamishna wa Elimu kufanya uchunguzi wa kina kwa Shule nne zilizobainika kufanya udanganyifu mkubwa katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2022.
Prof. Mkenda amesema hayo alipokutana na Wazazi na walezi...
Hawa HESLB wana tabia ya kuzidisha makato ya marejesho ya mkopo bidi unapomaliza marejesho ya mkopo kwa kuendelea kukata mishahara yetu kila mwezi, hata kwa zaidi ya miezi 3 hadi 6 inategemea ya wepesi wako wa kuwafuata kwenda kulalamika.
Baado ya hapo ukiomba kurejeshewa makato yaliyokatwa...
Na WyEST
Masasi, MTWARA
Wito umetolewa kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum kutowaficha watoto ndani badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule maalum kwa ajili ya watoto hao.
Hayo yamesemwa na Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia alipokuwa akizindua...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema Wizara ya Elimu Bara na ile ya Zanzibar zinafanya kazi kwa kushirikiana katika suala la mageuzi ya Sera ya Elimu na maboresho ya mitaala ili kuwawezesha vijana wa pande zote mbili kupata ujuzi na stadi zitakazowasaidia kujiari...
Na WyEST,
DAR ES SALAAM
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo Septemba 5, 2022 ameitambulisha rasmi kwa Bodi na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) timu itakayofanya mapitio ya utaratibu wa utoaji mikopo kwa miaka mitano...
Elimu ndio chombo pekee kinachoweza kuwakutanisha mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini katika ofisi moja na mgahawa mmoja. Takwimu zinaonyesha kuwa shule binafsi za msingi na sekondari nchini ni ghali kuliko za serikali lakini ndizo zenye mazingira mazuri ya kujifunzia na kutoa ufaulu mkubwa kwa...
Na WyEST
DSM
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema eneo la Sayansi Teknolojia na ubunifu bado linahitaji kupewa msukumo na hivyo linahitaji wadau wengi katika kuendeleza.
Waziri Mkenda amesema hayo Jijini Dar es Salaam wakati akifungua Mkutano wa mwaka wa...
Waziri wa Elimu Profesa Mkenda amesema wanafunzi wa kike watakaopata mimba hawataruhusiwa kuingia darasani na watoto (vichanga) vyao baada ya kujifungua.
Mkenda amesema Watoto wana haki zao ambazo ni lazima ziheshimiwe hivyo watakaojifungua itawapasa kunyonyesha kwanza watoto wao kabla...
Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
======
Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo...
Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza...
ajira
ccm
hana
hii
kauli
kudharau
makosa
makubwa
mkenda
msimamo
ndani
pabaya
prof.mkenda
profesa
rais
rais samia suluhu
uzalendo
viwanda
waziri wa kilimo
Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda amesema bei za mafuta ya kupikia zimepanda kwa kuwa 55% ya mafuta ya kupikia yanayotumiwa nchini yanaagizwa kutoka nje hasa Malaysia.
Amesema Malaysia hutumia vibarua kuvuna chikichi, kutokana na #COVID19 vibarua wamekosa uhuru wa kwenda Malaysia na kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.