Prince Mpumelelo Dube (born 17 February 1997) is a Zimbabwean professional footballer, who most recently played forward for Tanzanian Premier League club Azam and the Zimbabwe national team.
TAARIFA
Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024.
Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba.
Tunamtakia...
Mkataba halali kati ya Dube na Azam FC ni ule unaoishia msimu wa mwaka 2024 ambao umeidhinishwa na TFF (sheikh) kuwa ni mkataba (ndoa) halali.
Maana hata kama Binti mmekubaliana wenyewe kuoana, makubaliano hayo hayatatambulika kama mke na mume mpaka ndoa ifungwe kwa idhoni ya wazazi na...
Azam FC inathibitisha kwamba imepokea ofa kutoka vilabu viwili tofauti vikimhitaji mchezaji wetu, Prince Dube, raia wa Zimbabwe.
Ofa hizo zimetoka katika vilabu vya Simba SC ya Tanzania na Al Hilal SC ya Sudan.
Uongozi unazifanyia tathmini ofa hizo ili kuona ipi inafaa.
Aidha, Azam FC...
Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe ametangaza kuachana na Azam FC baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne.
Hivi karibuni zilitoka taarifa za mshambuliaji hiyo kuomba kuondoka, Azam FC walithibitisha taarifa hizo na kuweka wazi kuwa hawamzuii ila taratibu zifuatwe.
Mchezaji huyu...
Mchezaji wa Azam FC PRINCE DUBE amerudisha kilakitu cha klabu hiyo ikiwemo nyumba na kuondoka kambini.
Dube aliiandikia klabu hiyo barua akiomba kuondoka klabuni hapo baada ya kuishi Chamazi kwa miaka 4 sasa.
Dube anahusishwa kutaka kutafuta maisha mapya ‘Kariakoo'.
==
Pia soma:
Klabu ya...
[emoji599]| PRINCE DUBE UPDATES
[emoji617] Mazungumzo kati ya Azam na Striker wao, Prince Dube yanaendelea ambapo Azam wanahitaji kiasi cha USD 300,000 sawa na Tsh 765M ili kumuachia mchezaji huyo huku Prince Dube akiwa tayari kulipa kiasi cha USD 230,000 sawa na Tsh 586M ili aweze kuondoka kwa...
Klabu ya Azam imethibitisha kupokea barua ya PRİNCE DUBE akiomba kuondoka kwenye klabu hiyo. Taarifa ya klabu inasema Azam FC wamemjibu na kumwambia anaweza kuondoka ila kwa kufikiwa kwa vipengele vya mkataba, yani kama klabu nyingine au yeye mwenyewe anaweza kuilipa Azam FC pesa waliyoweka...
Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba wa kuwatumikia Waoka Mikate hao ambao amewatumikia tangu mwaka 2020.
Mkataba wa nyota huyo raia wa Zimbabwe aliosaini mwaka 2023 utamuweka klabuni hapo mpaka 2026. Hivyo sasa amebakisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.