post election events

After the 2020 United States presidential election, the campaign for incumbent President Donald Trump and others filed 62 lawsuits contesting election processes, vote counting, and the vote certification process in 9 states (including Arizona, Georgia, Michigan, Nevada, Pennsylvania, and Wisconsin) and the District of Columbia.
Nearly all the suits were dismissed or dropped for lack of evidence or lack of standing, including 30 lawsuits that were dismissed by the judge after a hearing on the merits. Among the judges who dismissed the lawsuits were some appointed by Trump himself. Judges, lawyers, and other observers described the suits as "frivolous" and "without merit". In one instance, the Trump campaign and other groups seeking his reelection collectively lost multiple cases in six states on a single day. Only one ruling was initially in Trump's favor: the timing within which first-time Pennsylvania voters must provide proper identification if they wanted to "cure" their ballots. This ruling affected very few votes, and it was later overturned by the Pennsylvania Supreme Court.
Trump, his attorneys, and his supporters falsely asserted widespread election fraud in public statements, but few such assertions were made in court. Every state except Wisconsin met the December 8 statutory "safe harbor" deadline to resolve disputes and certify voting results. The Trump legal team had said it would not consider this election certification deadline as the expiration date for its litigation of the election results. Three days after it was filed by Texas attorney general Ken Paxton, the U.S. Supreme Court on December 11 declined to hear a case supported by Trump and his Republican allies asking for electoral votes in four states to be rejected.
One suit, Michigan Welfare Rights Org. et al. v. Donald J. Trump et al., was brought by black voter groups in Michigan against Trump and his 2020 presidential campaign. Dominion Voting Systems brought defamation lawsuits against former Trump campaign lawyers Sidney Powell and Rudy Giuliani, each for $1.3 billion. Smartmatic brought a defamation lawsuit against Fox Corporation and its anchors Lou Dobbs, Maria Bartiromo, and Jeanine Pirro as well as Giuliani and Powell for $2.7 billion. In the aftermath of the January 6, 2021, attack on the Capitol, several civil suits were filed against Trump, sometimes in combination with other defendants. The plaintiffs include members of Congress, United States Capitol Police officers, and District of Columbia Metropolitan Police officers.
Two criminal cases have also been filed, The State of Georgia v. Donald J. Trump, et al., a racketeering case against Trump and 18 other defendants, and United States v. Donald J. Trump, an election obstruction case in the District of Columbia.

View More On Wikipedia.org
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini mpaka sasa Salum Mwalimu hajarudisha gari na mlinzi alivyopewa wakati wa 'Uchaguzi'?

    Wakuu, Wagombea wote wa Urais isipokuwa ACT Wazelendo waliokataa, walipewa magari ya kutumia wakati wa kampeni, pamoja na walinzi wa kuwa nao muda wote wa kampeni. Kampeni zikiisha wanatakiwa kurudisha magari hayo pamoja na walinzi waliopewa, ambapo wote wamefanya isipokuwa mmoja, Salum...
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania: Kikundi cha uasi kimeanzishwa tayari? Wanajiita Tanzania Freedom Fighters (TFF). Ni hatari sana

    Nimeona video kiongozi wa kikundi Cha uasi Cha kutetea raia akitoa tamko dhidi ya serikali haramu ya tanzania hususani kwawataja sana polisi aisee kumeanza kuchangamka ni moto hii ni screenshot video ipo kwenye hiyo page Instagram ni moto kiongozi ameomba wananchi wakipokee Kwa mikono miwili na...
  3. Msanii

    JamiiForums Tanzania Thadei Kweka aachiwa huru

    Taarifa ya hivi punde... Mmarekani mwenye asili ya Tanzania ambaye alikamatwa huko Kilimanjaro kwa ‘maagizo toka juu’, ameachiwa huru jioni ya leo. KWA KINA: Thadei Kweka ameachiwa huru leo January 3, 2026 baada ya kushikiliwa Polisi kwa siku 6 kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kupitia...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Anna Tibaijuka: Tusimpe Shetani nafasi ya kutugawa kupitia propaganda za Udini kwa kuwatuma vijana kushambulia viongozi wa dini

    Mbunge wa zamani wa Muleba Kusini na waziri wa Ardhi katika serikali ya awamu nne Prof. Anna Tibaijuka kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Anaandika; "Wakati tunasubiri Tume ya Uchunguzi kutupa taarifa na majibu ya kina kuhusu mauaji ya 29 Oktoba, uwajibikaji stahiki na mbinu za kuliponya taifa...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Rais Idi Amin alipoanzisha Tume kuchunguza watu kupotea na kutekwa, ripoti haikuwahi kuwekwa hadharani!

    Wakuu, Mwaka 1974, Rais Idi Amin kupitia Tangazo la Kisheria Na. 2 la mwaka 1974 alianzisha Tume ya Uchunguzi kuhusu Watu Waliopotea nchini Uganda, ikiwa ni jitihada ya kuchunguza matukio ya watu kutoweka yaliyoripotiwa tangu alipochukua madaraka kupitia mapinduzi ya kijeshi mwaka 1971. Tume...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Thadei Kweka achukuliwa na watu wanaodaiwa kuwa Polisi baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Moshi

    Wakuu, Kutoka Kisiwa cha Amani mpaka Kisiwa cha Utekaji! Mpaka lini Watanzania tutaacha kuishi wa hofu?! ==== Ameandika Liberatus mtandaoni; "Diaspora mwenzetu mkazi wa USA— Thadei Kweka ametekwa na vikosi vya Samia usiku huu. Polis na watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwake Moshi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nini kimempata Nicodemus Julius Loyore baada ya kukamatwa na watu waliojitambulisha kuwa Polisi? Yupo wapi?

    Salam Wakuu, Taarifa zilizombaa ni kuwa toka Nicodemus Julius Loyore akamatwe Disemba 19 akiwa ofisini na watu waliojitambulisha kuwa Polisi, mpaka leo hajulikani yupo kituo gani! Toka siku hiyo ndugu zake wanamtafuta katika vituo vya polisi bila mafanikio yoyote! Kama alikuwa na kosa...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Askofu Rweyongeza: Kuna watu na makundi yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga mkoani Kagera, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, amesema kuna watu na makundi katika jamii ya leo yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja, akifananisha tabia hiyo na akina Herode waliokataa kumpokea Yesu Kristo, Mfalme...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chande umeonya wanaokwamisha utoaji wa ushahidi; umesahau Polisi walituambia tufute picha na video zote kwenye simu zetu?

    Wakuu, Jaji Chande na Tume yake wanapata wapi hii nguvu ya kuonya wakati polisi walituambia tufute video na picha zote tulizokuwanazo kwenye simu? Tulikuwa tunashushwa kwenye magari wanafanya ukaguzi kwenye simu za watu na kufuta video/picha walizokutana nazo, sasa hili onyo linatoka wapi...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Imekuwa kawaida Jaji Mkuu na Spika kuhudhuria vikao vya Rais. Ni kama utaratibu wa kidikteta kuwaona wanakuwa washauri wa Rais

    Wakuu, Jaji Warioba ameendelea kuonyesha busara zake. Kama mpaka Spika na Bunge lake wanatoa tuzo kwa Rais, kusifia utendaji wake bora, chombo hicho kitakuwa na uhuru? Jaji Mkuu na Spika kutwa wapo kwenye vikao vya Rais, utasema mihimili hii inajitegemea? Anasema walitoa mapendekezo mazuri...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Sasa hivi kuna uoga mkubwa sana wa kusema ukweli

    Jaji Joseph Warioba amezungumza kupitia Jamhuri TV ambapo amesema sasa hivi kuna uoga mkubwa sana wa kusema ukweli.
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Vyombo vya Usalama vilijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwasababu ndiyo wametumia zaidi!

    Akizungumza kuhusu suala hilo, Warioba amesema tathmini ya matumizi ya nguvu inapaswa kuangaliwa kwa uhalisia, hususan kwa kuzingatia idadi ya vifo vilivyotokea. Ameeleza kuwa maandamano yamesababisha vifo vingi, jambo linalozua maswali kuhusu aina ya maandalizi yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi kuendelea na ukamataji usiozingatia taratibu: Hawajasikia maagizo ya Simbachawene? Wanafuata maagizo ya nani?

    Majuzi Waziri Simbachawene alitoa maagizo akiwataka Jeshi la Polisi kukamata raia kwa kufuata taratibu na sheria, kwa kutokamata raia kihuni. Wawe wanavaa sare, na waache kuvaa kininja. Itakuwa Simbachawene si lolote si chochote, maana toka atoe maagizo hayo bado watu wanakamatwa kihuni, mara...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Kuiba ngoma ya kijiji inaweza isiwe tatizo bali pa kuipiga kwa amani bila wanakijiji kukusikia!

    Anaandika Wakili Boniphace Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X: Kuiba Ngoma ya Kijiji ina weza isiwe tatizo, changamoto kubwa ni kutafuta mahali pa kuipigia kwa Amani bila wanakijiji kukusikia (Msemo wa wahenga). HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKAJI ndiyo pekee vitatutoa hapa tulipo katuka mkwamo huu...
  15. Malisa Godlisten

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Malisa: Wazazi wangu na majirani wamewekwa chini ya ulinzi na Polisi

    Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili. Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amnesty International: Nguvu kupita kiasi ilitumika Oktoba 29

    Shirika la kimataifa linaloshughulikia haki za binadamu la Amnesty International, limetoa ripoti yake inayothibitisha kwamba, vyombo vya usalama vya Tanzania vilitumia nguvu zisizohitajika au kupita kiasi katika kudhibiti maandamano ya uchaguzi kati ya tarehe 29 Oktoba na 3 Novemba 2025. ‎...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi limekubali video nyingi zilizosambaa leo ni za Oktoba 29, sasa itakuwaje wakati mlisema ni AI?

    Wakuu, Yaani kila mtakachofanya bado wananchi wananchi wanashinda. Ushahidi unazidi kukaa vizuri kule ICC, bwana Girisho Gerson Msigwa unazidi kuvuliwa nguo, guys ndio kabisa anaandaa skripti ya kuja kutoa kesho lakini anashindwa. Video ni AI, Watanzania hawajaandamana, wanampenda sana Samuya...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Polisi wabubujikwa machozi ya uoga Siku ya Uhuru! Hawaamini kama hawa ni Watanganyika!

    Wakuu, Hivi machozi ya uoga yakiwa yanatoka ndio yanakuwa yanatetema eeeeh? Eti mtaalam wa machozi Lucas Mwashambwa, Dr. Mwigulu Nchemba?🌚🌚 Rais Samia haamini kile anachokiona, yaani wananchi hawa hawa masikini, malofa, wanyonge leo ndio wanamtetemesha hivi? WHO ARE THEY? Yaani WHO ARE THEM...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Umoja wa Mataifa (UN) watoa wito kwa Serikali ya Tanzania kulinda waandamanaji wa 9 Desemba, 2025

    GENEVA - Disemba 05, 2025 Serikali ya Tanzania imehimizwa kudumisha uhuru wa kimsingi kabla ya maandamano yaliyopangwa ya Siku ya Uhuru tarehe 9 Disemba. Msemaji wa Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu amezikumbusha mamlaka juu ya wajibu wao wa kulinda haki za uhuru wa...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya! Nani kawaambia zitakuwa Vurugu na sio Maandamano?

    Wakuu, Yaani kila kiongozi na chawa wao wakitoka utasikia "Wanataka kufanya vurugu", "Sio maandamano ni vurugu", "Wanahamasisha vurugu"..... yaani neno vurugu ndio linapigiwa promo! Unaenda kukamata mtu eti anahamasisha vurugu Disemba 9, hapo mtu kasema nitashiriki maandamano au kuwaambia...
Back
Top Bottom