Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilitoa uzi wa kuzungumzia hii biashala ya pombe kali lakini changamoto ilikuwa capital.
Nikaomba kama kuna MTU anaweza tukaungana tukatengeneza kitu kikubwa lakini bado hakutokea.
Leo nimewaletea sample kuwaonesha hatua niliyofikia hivyo tayari nina jina, lable...
Kuna wakati tuliona wazee ndio wanaozifata hizi pombe za kienyeji
Utaita gongo, chang'aa , etc
Ukata?
Ulevi usio na mipaka?
Trend?
Msongo?
What happened?
Habari wakuu!
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wanaokunywa pombe kali. Wengi hudhani ni fasheni, njia ya kujiburudisha au kuondoa stress. Lakini ukweli ni kwamba pombe kali ina madhara makubwa kwa afya na maisha ya kijamii, hasa kwa vijana ambao bado wapo kwenye hatua ya kujenga maisha...
Jamani ndugu zangu wana jf nimekuwa nikijaribu kufuatilia biashara ya vileo al maarufu pombe Kali naona katika industry ya biashara inawapatia sana watu faida.
Mwenye ujuzi anisaidie maswali haya
1.Je kabla ya kufanya biashara hii ni taratib Gani zinatakiwa kufuatwa ?
2. Je mtaji kima Cha...
Tukisema afrika bado tunaitaji No reform No election mnaleta matamasha ya raisi.Haya waziri wajafo,mchengerwa na mwiguru uchumi mtauweza.
https://www.youtube.com/shorts/zorydKgciQY?app=desktop
Si unakumbuka zilipigwa marufuku Toka 2017 na ikapelekea MPAka mfanyabiashara wa dodoma kujiua sasa wajanja hawakujiua walificha stock na siku hizi wanazitoa zinauzwa kinyemela wanauziwa bei rahisi hasa wakina mama wanaouza gongo wateja wanaambiwa tu hizi spirit ni konyagi au smart.
Pamoja na...
Pombe kali zinazotengenezwa yani kemikali yake inatumika kwenye matumizi tofauti japo serikali inapata faida kupitia kodi.
Kemikali hiyo inatumika kwenye sabuni zote,madawa mbalimbali na n.k.
Watumiaji wanaotumia kemikali hii wamekuwa matajiri wakiwadanganya kinywaji asilia wakati hakina...
Hivi karibuni kumeshuhudiwa kuongezeka kwa matumizi makubwa ya pombe kali, hususa kwa vijana kati ya miaka 15 mpk 30, kubeti, uvutaji bangi, mirungi, movi za hovyo, miziki ya hovyo n.k, kama taifa tutegemee nini haswa?
Vijana wengi sahivi hawataki kazi wala hawana nguvu za kufanya kazi, ni...
Wakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema.
Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani hii, na kwa miaka kadhaa nimejifunza na kupata uzoefu wa hali ya juu katika kutengeneza pombe kali...
Nazungumzia pombe Kali kama; K-vant,konyagi, grants, smin off, jack Daniels nk nk.
Nauliza Kuna mlevi Mmoja hapa Jf alishawahi kujaribu hii challenge??, na Nini kilitokea??, Natamani kujua hili......tchao!!!
Katika kila kijiji, mitaa na miji ya Tanzania, kuna kilio kinachoumiza mioyo ya wengi, lakini hakuna anayekisikia. Ni kilio cha wazazi waliokatishwa tamaa, wakiona vijana wao wakiteketea katika wimbi la pombe kali zinazouzwa kiholela. Vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa, faraja ya wazazi...
Lengo la kuondowa pombe za kwenye vifungshio vya plastiki kama zed,double punch na konyaji lilikuwa nini na mkaleta master,na vingine vikali lengi nini?
Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana.
Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na wazee huku vijana wakishinda wanakula mirungu na pombe za buku wakipoza na korokoro la mchina...
Wasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui...
Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana...
"Sio kila mtu anafaa kunywa hata glasi moja ya Pombe"-Dk.Nuruel Kitomari - Bingwa wa Afya ya Akili na magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Chanzo: itvtz
Hakuna kitu nakichukia kama Pombe / Bia ila hakuna kitu nakipenda kama ule Ulevi mwingine Mtamu.
Ebana najivunia kutimiza mwezi wa 3 leo bila kuonja pombe mdomoni mwangu. Nimegundua kampani za washkaji zinachangia sana mtu kuendekeza ulevi.
Nilikua na kampani moja ilikua kila weekend tunaamkia pombe asee..wife akaongea wee mwishowe akaamua kujikalia kimya.
Siku nikaamua kuchukua maamuzi...
Kila nikirudi nyumbani (mkoani), nagundua dhahiri kabisa kuwa kuna ongezeko kubwa sana ya maduka madogo madogo ya pombe (grocery stores) katoka mitaa mbalimbali tofauti na hali ilivyokuwa miaka 10 au zaidi iliyopita. Hata maduka yanayouza mchele na sukari lazima kuna droo ya kuuza pombe tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.