polisi

  1. JamiiForums Tanzania Polisi na IHET waja na mifumo kudhibiti shule za udereva zisizokuwa na sifa nchini

    Katika kuhakikisha mifumo inaondoa changamoto na malalamiko kwa wananchi hususani katika shule za udereva ambazo hazijasajiliwa, Jeshi la Polisi na Taasisi ya Mitambo Mizito na Teknolojia IHET wamekuja na mfumo uitwao (DSRS) Driving School Registration System ambao Utazitambua shule ambazo...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni tupunguzie Traffic Polisi barabarani

    Miaka ya 2010 World Bank walitoa ripoti ya kufanya biashara nchini Tanzania na kwa viwango vya wakati ule tulishika nafasi kama ya 121 kama sijakosea. Raisi wa wakati ule Mh. Jakaya hakuridhishwa na hiyo ranking na kuchukua hatua at least tufikie 2 digits yaani tuwe chini ya 100. Majirani zetu...
  3. JamiiForums Tanzania Askari Polisi wamgonga bodaboda na kuvunjia miguu yote, wamfikisha hospitali na kumtelekeza

    Polisi wa kituo cha Maturubai wamegonga Dereva pikipiki maeneo ya Mtongani, Dar karibu na kituo cha msikitini wakiwa na ist T 149 DTZ. Dereva wa bodaboda alivunjika miguu yote miwili katika ajali hiyo. Baadae walimpeleka hospitali ya Temeke na kumtelekeza bila matibabu tangu saa saba mchana...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi wamsaka aliyesalimisha silaha kanisani baada ya kuokoka

    Polisi mjini Meru wanamtafuta mtu aliyesalimisha bunduki kanisani baada ya kutubu dhambi na kueleza kwamba ameokoka. Kwa mujibu wa tovuti ya Taifa Leo imeandika kuwa jana Jumanne Februari 14, 2024 Polisi walipigwa na butwaa baada ya mchungaji Nathan Kirimi kufika katika Kituo cha Polisi cha...
  5. JamiiForums Tanzania Sista, "Kazi ni Kazi" tu sio shida. Mama ataka Polisi waje, kisa mwanae Jobless kununua Benz lake $50,000

    Kwa wengine hii ingekuwa furaha, shangwe, nderemo na vifijo. Kwa mama huyu wa KiNaigeria yeye anaona 'mapichapicha' tu. . Huku akibubujikwa na machozi mithili ya mtu aliefikwa na msiba na akihanikiza na kushinikiza Polisi wahusike kuchunguza imekuwaje mwanae ambae ndio kwanza kamaliza masomo ya...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi washikiliwa kwa kuuza pombe haramu na kuua watu 17

    Katika kisa kilichoshangaza katika eneo la Kirinyaga nchini Kenya, watu 17 wamepoteza maisha baada ya kunywa pombe haramu ambayo inadaiwa waliuziwa na maafisa wa polisi. Tukio hilo limetokea baada ya maafisa hao kudaiwa kuvunja ghala la polisi na kuiba kileo hicho kilichokuwa kimewekwa kama...
  7. JamiiForums Tanzania Arusha: Wadau wa utalii waungana na Jeshi la Polisi kupinga ukatili

    Chama cha Wanawake Mawakala wa Utalii Tanzania (TAWTO) kimeungana na Jeshi la Polisi kupinga vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia Mkoani Arusha kwa kukarabati Ofisi ya Dawati la Jinsia na Watoto Wilaya mjini. Akiongea mara baada ya ufunguzi wa ofisi hiyo Mkuu wa Mkoa wa Arusha John...
  8. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi laahidi kutoa ushirikiano Maandamano ya CHADEMA (MWANZA)

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitarajia kufanya maandanamano ya amani jijini Mwanza Februari 15 mwaka huu, Jeshi la Polisi limetoa rai kwa viongozi na wafuasi wa chama hicho kuwa wanalo jukumu mahsusi la kuhakikisha wanazuia lugha za uchochezi, kejeli na matusi kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi kukatiza mitaani na silaha ili hali wakiwa wamevaa kiraia: Je, kanuni za Jeshi la Polisi zina muongozo upi?

    Peace upon you all. Awali ya yote niwapongeze askari wetu kwa majukumu yao ya kulinda amani tunayoogelea kwayo. Wengine hapa watawasema kwa madhaifu yao kadha wa kadha lakini tafadhali hebu leo tusiwaseme kwanza kila mtu ana madhaifu fulani. ok, back to the topic wakati fulani nikiwa mkoa wa...
  10. JamiiForums Tanzania ChatGPT:swala utekaji tanzania kwa nini vyombo ya polisi kutoa majibu ya kawaida na matukio ya utekaji

    Masuala ya utekaji nyara ni jambo serious na lenye athari kubwa kwa usalama wa raia na heshima ya haki za binadamu. Ni muhimu kutambua kwamba suala la utekaji nyara linapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa, na vyombo vya usalama vinapaswa kuchunguza kwa kina na kutoa majibu yanayokidhi haki na...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi wanaporuhusu maandamano saa 48 kabla ya kuanza inaonyesha hakuna demokrasia Tanzania

    Ni ushahidi kwamba hakuna demokrasia katika nchi hii. Inaonyesha kwamba nchi hii haithsmini demokrasia. People are laughing at democracy. Watu wanataka wakodi mabasi waende Mwanza lakini siyo Polisi,sio Mkuu wa Mkoa wanaonekana kuwa na taarifa yoyote ya maandamano. Kiongozi wa serikali...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Moshi wamekataa kupeleka kesi hii mahakamani na wanasisitiza dhamana iwe hapo kituoni

    Mimi ni mfanyakazi katika taasisi ya Kikristo iliyoko Moshi. Taasisi hii Ina shule ya Msingi na ya Secondari. Taasisi hii pamoja na kuwa na watoto wanaotoka kwenye familia za kawaida shuleni, pia huwasaidia watoto walioko kwenye mazingira magumu pia yatima na waliotelekezwa. Mwanafunzi mmoja...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wafanyabiashara huichangia CCM kwa kuogopa wasiletewe TRA, TAKUKURU, uhamiaji ama Polisi

    Makonda amekiri kwamba matajiri wengi huchangia chama cha mapinduzi kwa uoga ila sio kwamba wanakipenda chama ili wasiletewe TRA, TAKUKURU, Uhamiaji ama Polisi. Msikilize mwenyewe. --- Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi wapanda miti 1,000 Monduli Juu, waziomba jamii za kifugaji kutunza mazingira

    Jeshi la Polisi Katika kuhakikisha linaendelea na ulinzi wa raia na mali zao hapa nchini kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo nchini (STPU) kimeshiriki katika kampeni ya upandaji miti zaidi ya elfu moja katika kata ya monduli Juu Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ambayo ilizinduliwa hivi karibuni na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ziara za Paulo Makonda Aibu kwa Jeshi la Polisi na Wasimamizi wa Haki na Sheria

    Uwe unampenda ama humpendi,uwe unafuatilia ama haufuatilii ziara zake. Kitu kimoja utagundua kuwa Watanzania wengi sana wanakandamizwa na wasimamizi wa haki na sheria. Mamia kama si maelfu ya wananchi wanakandamizwa na kuonewa toka ngazi ya mtaa, kata, wilaya, mkoa hadi Taifa. Wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Polisi wasimama kijijini kutoa taarifa ya mwanakijiji aliyeshambuliwa na nyuki, wanakijiji wote wakimbia

    Ni kwamba polisi walikuwa wanapita na msafari wao tu. Mara, karibu na kijiji fulani, wakamuona mwanakijiji, aliyeonekana kama anatoka shamba, akishambuliwa vibaya na nyuki. Wakiaa hawana uzoefu wa hao wadudu, wakaona wasijihatarishe na wao bali wakimbie haraka wakawahabarishe wanakijiji wenzake...
  18. JamiiForums Tanzania Askari watuhumiwa kuteka mtu tangu Oktoba 2023, Polisi hawatoi ushirikiano

    Jeshi la Polisi limetuhumiwa kutotoa ushirikiano kwa watu wanaofikisha malalamiko ya kupotelewa Ndugu zao ambao inadaiwa wametekwa na Askari wa Jeshi hilo.
  19. JamiiForums Tanzania Polisi yachunguza tukio la Watu watatu kuuawa baada ya kudaiwa kuiba Bodaboda eneo la Pugu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya watu watatu lililotokea tarehe 7 Februari, 2024 majira ya saa 9 (tisa) usiku huko eneo la Pugu Kisumo Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam. Watu hao waliouwawa na kundi la watu kwa kuwashambulia na silaha za jadi, wanadaiwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Serikali, CCM na Polisi wanapaswa kujiuliza kwa nini wananchi wakiona askari polisi anashambuliwa hawatoi msaada?

    Juzi hapa kulikuwa na tukia la askari Polisi mkuu wa kituo cha polisi Mwanakwerekwe, Zanzibar, akishambuliwa hadharani, na wananchi wakishangilia japo waliona askari alikuwa amezidiwa (angalia picha hapa chini). Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharib, amewalalamikia wananchi kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…