polisi

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Same: Polisi yazuia mkutano wa hadhara wa Tundu Lissu, yasema ni kufanya kampeni uchaguzi S/Mitaa kabla ya muda

    Jeshi la Polisi wilayani Same, mkoani Kilimanjaro limezuia mkutano wa hadhara uliokuwa umepangwa kufanywa na Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Bara, Tundu Lissu tarehe 6 Novemba 2024, na mkutano mwingine wa chama hicho uliopangwa kufanyika tarehe 8 mwezi huu Novemba. Kulingana na barua...
  2. JamiiForums Tanzania Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

    Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika) Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi. Akasema kama una...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi ijitafakari, inaajiri vilaza sana

    Wazee kwema, Ni kwa namna gani hasa hawa polisi wanaajiriwa na hizo interview zao zinakuaje?. Juzi nimeenda kumtembelea mzee wangu flani hiv akiwah kuwA kiongozi nchini. Pale getini nimekutana na polisi viaz sana na mbaya zaidi wameletewa pilau wale mama ya nchi. Katika mabishani mawili matatu...
  4. JamiiForums Tanzania Developing Story: Magomeni, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga na Kuua Mwanamke. Gari yadakwa, Dereva Asepeshwa na Polisi!

    Wanabodi This is a developing story Yaani story muendelezo Jana jioni katika eneo la Magomeni Usalama, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga mtu na kumua kwa ajali, mwanamke mmoja. Mwanzo gari na dereva wake walidakwa na kuhifadhiwa kituo cha polisi cha Magomeni Polisi. Leo...
  5. JamiiForums Tanzania Wamarekani wanawezaje kufanya uchaguzi bila purukushani za polisi?

    Inawezekanaje kwa miaka zaidi ya 200 Marekani kubwa hivyo yenye wapiga kura takribani milioni 150 na maelfu ya wagombea uchaguzi unafanyika bila wagombea kukamatwa na polisi au mikutano ya siasa kuzuiwa kama ambavyo huwa inatokea katika nchi ndogo za Africa? Japo kipindi hiki Trump anaweza...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamshikilia Franco Ruhinda, hajatekwa

    Kuna taarifa zinazotengenezwa na kusambazwa katika makundi sogozi yenye nia ya kudanganya ili kuleta taharuki kwa umma kumhusu Franco Kashaija Ruhinda kuwa haijulikani alipo toka alipowasili nchini akitokea Dubai. Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa Franco Kashaija Ruhinda alikamatwa...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi: Faini milioni 5 mpaka 20 ukibainika kupekua simu ya mwenza wako

    Mkuu wa Polisi wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Selestin Luhende amewataka wanandoa kuacha kupekua simu za wenza wao ili kuepuka madhara yanayoweza kupatikana ikiwemo ugomvi unaoweza kuvunja ndoa pamoja na adhabu zinazoweza kutolewa kwa mujibu wa sheria. Amesema pia endapo mwanandoa utabainika au...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi waingia nyumbani kwa Nabii GeorDavie,wakabidhiwa gari ya Million 30 aliyoitengeneza

    Nabii Mkuu Dkt GeorDavie amekabidhi gari moja la mkuu wa kituo cha polisi Tengeru kati ya mawili anayoyatengeneza kwa jeshi la polisi Mkoani Arusha kwa lengo la kupambana na uhalifu nakuimarisha ulinzi huku akitarajia kujenga kituo cha polisi Moivo katika kata ya Sekei Mkoani Arusha Afisa...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi waingia nyumbani kwa Nabii GeorDavie,wakabidhiwa gari ya Million 30 aliyoitengeneza

    Nabii Mkuu Dkt GeorDavie amekabidhi gari moja la mkuu wa kituo cha polisi Tengeru kati ya mawili anayoyatengeneza kwa jeshi la polisi Mkoani Arusha kwa lengo la kupambana na uhalifu nakuimarisha ulinzi huku akitarajia kujenga kituo cha polisi Moivo katika kata ya Sekei Mkoani Arusha Afisa...
  10. JamiiForums Tanzania Website ya Jeshi la Polisi imeboreshwa na nimeipenda

    Waungwana Hamjambo? Website ya Jeshi letu pendwa la Polisi imependeza. Kama mtembeleaji na Mdau wa Jeshi letu Leo nimetembelea nimeona mabadiliko. Kwanza Heko Kwa graphic designer Kwa rangi na boldness of it. Pia nimeipenda walivoweka an update feed Kwa post a recent video of police force...
  11. JamiiForums Tanzania Utandawazi usikuharibu, Epuka mahusiano na binti au vijana wa shule! Jela kupo na vyumba vya cell za polisi vinahitaji watu.

    Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa nyingi za mahusiano baina ya wanafunzi na walimu au hata watu wengine tu ambao si walimu zinafika...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyekatwa Mkono akiamua ugomvi Uchunguzi wakwama, Polisi wadai Bajeti imekosekana

    Mwanamke aitwaye Nancy Simon, Balozi wa mtaa wa Olekeriani, kata ya Olasiti jijini Arusha, ambaye alikatwa mkono akijaribu kumuokoa mwanamke aliyekuwa akishambuliwa na mume wake, ameeleza kuwa uchunguzi wa kesi yake umegonga mwamba. Askari mpelelezi wa tukio hilo amesema kuwa kesi hiyo haiwezi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Polisi Kilimanjaro wadaiwa kushikilia simu za tajiri tukio la kumwagiwa tindikali kada wa CCM Idrisa Makishe

    Jiehi la plisi mkoani Kilimanjaro,linashilikia simu za kiganjani za mfanyabiashara maarufu mjini moshi(jia tunalo)akihusishwa na tukio la kumwagiwa kimiminika kinachoaminika kuwa ni tindikali kada wa ccm,Idrisa Makishe. Makishe(38)mkazi wa Bomambuzi Manispaa ya Moshi,yupo kitandani akipambania...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wiki moja baada ya agizo la RC Kilimanjaro: Wizi wa Vitabu vya Majina ya Wakazi, Polisi mmefikia wapi?

    Ni zaidi ya Wiki moja sasa tangu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alipotoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale waliohusika katika wizi wa vitabu vya majina ya wakazi katika kituo cha Josho, kijiji cha Kikelelwa, wilayani Rombo. Tangu wakati huo, hakuna taarifa...
  15. JamiiForums Tanzania Msumbiji: Waandamanaji wachoma Moto kituo cha Polisi, Majengo ya Maafisa na Ofisi za Frelimo

    Wananchi wanaodaiwa kutokubaliana na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu katika maeneo ya Lalalua na Nampula wamechoma Moto Kituo cha Polisi cha Moma ikiwa ni mwendelezo wa Maandamano ya kupinga matokeo hayo Imeelezwa kuwa Wananchi hao walichukua Silaha aina ya AK 47 na kuchoma majengo mengine zaidi...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaodaiwa kuwa ni polisi Dodoma wafanya upekuzi nyumba ya Honesty Msacky Mwanachama wa CHADEMA

    Watu wanaodaiwa kuwa ni Askari wa Jeshi Polisi mkoa wa Dodoma wamefanya upekuzi katika nyumba ya mwanachama na kigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Honesty Msacky nyumbani kwake Nzuguni B kwa madai ya kuwa anamiliki silaha kinyume na taratibu za nchi. Akizungumza baada ya upekuzi...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi 10 wauawa Iran baada ya shambulio huko Sistan, Iran.

    Washambuliaji wenye silaha waliwavamia na kubadilishana risasi na vikosi viwili vya doria ya polisi katika jimbo la Sistan na Baluchistan, kusini mashariki mwa Iran, siku ya Jumamosi, na kuua maafisa wa polisi wasiopungua 10. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran, Eskandar Momeni, ameagiza uchunguzi...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Kituo cha Polisi na Polisi kuwa Chombo cha Usuluhishi wa migogoro ya kijamii?

    Kum-radhi kama bandiko langu litakuwa na maana/maudhui ya tofauti na kuhitaji kufahamishwa na kuelimishwa. Ni mimi wako UWESUTANZANIA. Katika jamii nyingi na maeneo tofauti tofauti hapa nchini kwetu kumekuwa na desturi ya watu kukimbilia polisi na polisi kupokea na kusikiliza kesi hata...
  19. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Ndoo sio choo, tusubirie utekelezaji wake

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Magereza kuchukua hatua zinazowezekana kwa kutumia rasiliamli zilizopo, kuondoa dhana ya kudhalilisha utu na kukiuka haki za binadamu kwa wafungwa. https://youtu.be/u-0S0jmUsuQ?si=lWVDbgKVZmI5KlP6...
  20. JamiiForums Tanzania Polisi yakiri changamoto za Mikopo Mtandaoni, TCRA yajiweka kando yasema "haituhusu"

    UCHUNGUZI wa Nipashe umebaini baadhi ya namba za simu zinazotumika kudhalilisha wakopaji hazina utambulisho wa Tanzania, yaani ZIP CODE +255. Katika ufuatiliaji wake, mwandishi alibaini kuwa kwa siku mtu mmoja anaweza kupigiwa simu na watu 10 tofauti wakizungumza jambo tofauti juu ya mkopo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…